eennko
Member
- Oct 25, 2015
- 96
- 81
Aise mbolea tena
Mkuu kinatokea nini kama ni vi fili fili au vunza ujue hiyo nyama inaoza haraka ikiwa mbichi labda kama kuna lingine
Maana kama ni uchafu tunakula sana mbolea ya binadamu kupitia kwa hawa Dada zetu wenye kucha ndefu