Kwanini mnamkomalia Mwambe peke yake?

Kwanini mnamkomalia Mwambe peke yake?

Nani ni mbunge wa Ndanda na kwa chama gani?
Katiba ya JMT ibara ya 76(2) inasema kama jimbo litakuwa vacant. Lazima uchaguzi uitishwe. Mimi nina uhakika spika anajua jimbo la Ndanda sio vacant.
 
Kwani Komu na Selasini wanakaa kama wabunge wa Chama gani? Maana wameshatangaza kuhama na hawatagombe kupitia Chadema. Na yeye ndio hivyo hivyo. Majibu anayo spika, acheni amalizie ili avute posho.
Tumia akili kdg basi, Mwambe alipewa hadi kadi ya ccm na Pole Pole, hao wengine wana kadi ya chama gani zaidi ya chadema?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa ujumla anainfluence kubwa maana Ccm walimletea mizengwe akaenda kujibanza Chadema na akashinda.
Yawezekana lakini ana watu wa damu yake ambao wapo CCM na wanaheshimika, Shangazi yake wa kuzaliwa na baba yake ambaye alimsomesha ni mmoja kati ya wengi, Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Dar es salaam Mama Kate Kamba.
 
Komu na selasini hawajarudisha kadi ya chama na hawajachukua kadi ya chama kingine chochote.hizi ni kesi mbili tofauti,bwana Mwambe amepokea kadi ya CCM mbele ya press conference.kiufupi bunge limeyumba,msitupoteze maboya kwa hoja zisizo na miguu
Wanafanana wote, kwa sababu kuna ushahidi wa wazi wa kujiunga na vyama vingine. Ukitaka kuvaa miwani unaweza usione hilo, lakini wote wamekikana chama.Unapotamka wazi na clip yapo ikatembea na bado ikabaki ushahidi kama itatakiwa.
 
Hasara waliyopata wazazi wako haipimiki ! kumtetea Ndugai kuhusiana na aibu ya kumbeba Mwambe ni lazima uwe kichaa mjinga
Nyani haoni kundule. Pitia comments zako nyingi au nyuzi zako ulizowakilisha humu. Labda utuambie huwa unfanya makusudi. Kinyume chake comment uliyo weka hapo ni ya kwako.
 
Ccm inajijua imepotea
20200510_234631.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Au labda anaetetea awe Mwambe mwenyewe.

Bashiri ambaye ni KM-CCM alichukua ndege binafsi toka Dsm mpaka Mtwara ambako tena alikuwa na msafara mkubwa kwenda Ndanda kumkabidhi Mwambe kadi ya Chama.
Ccm wametumia gharama kubwa sana kumchukua Mwambe embu fikiria boda boda wa Mtwara zaidi ya 200 walijaziwa mafuta ya elfu 10 na posho buku 5 kwenda kumpokea Bashiru Airport, sio hivyo tu DG wa TIC ametumia hela za Serikali na rasilimali zingine kumrubuni ndg yake Cecil.

Sent using Jamii Forums mobile app
TIC ni kitu gani
 
Ahaaa. Mtu mnatoa kwenye group la watsapp alafu unasema bado ni mwanachama wenu? Silinde je? Mwambe nafikiri hajakabidhi barua kwa spika. Alitangaza nia ya kuhama tu.
Kumbe unafikiri,basi wewe itakuwa unatokea mwezini hujui kinachoendelea katika siasa za bongo.
Kitu kama hukijui kaa kimya,kuuliza si ujinga,hapa ni mahala pa magreat thinkers wacha kujiaibisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwacheni amalizie muda wake maana zimebaki siku chache ili bunge livunjwe. Sio mbunge peke yake ambae alishatangaza kuondoka CHADEMA.

Yeye aliondoka sababu kuna ukiritimba na matumizi mabaya ya pesa za chama. Makatibu wa wilaya hawalipwi, wabunge wanalazimishwa kuchangia chama kama vile wanalipia pango la nyumba.

Kuna wabunge zaidi ya wanne wameshatangaza wamehama CHADEMA na watagombea kupitia Nccr Mageuzi mbona hamjataka Spika awatimue bungeni?

Cecil Mwambe alisema amehama CHADEMA na atagombea kupitia CCM kwenda Bungeni kumalizia hizi siku kumi na nane ili avute mpunga wake mnaleta wivu. Mbona nyie watu mna sumu mbaya sana.

Wabunge wenu wameonyesha picha mbaya sana. Wametoroka bungeni baada ya kuweka kibindoni perdiem.

Hivyo mwacheni Mwambe akalie vile viti ambavyo nyie mlivikimbia mkisema vina Corona. Maana alivyoondoka Mwambe ni sawa na Komu na Selasini walivyoondoka.
Jaribu kutumia akili japo kidogo basi!
 
Kaka,
Mwambe ajavuliwa uwanachama kwanza elewa hapo,

Mwambe kajivua uanachama mwenyewe na karudisha kadi na kachukua kadi ya ccm

Kwa maana hiyo mbunge ambae amekufa ataendelea kulipwa mpaka chama kipeleke death certificate?

Au nyarandu anaweza kurudi bungeni?
Kufa ni jambo jingine, na taratibu Zake ni tofauti naona Kama unachanganya Mada.
Ni spika ndio anaetoa taarifa ya kifo cha mbunge na bunge lianshiriki msiba kadiri ya taratibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baba yake Cecil alikuwa Daktari maarufu na aliyeheshimika sana pale Ndanda Mission hospital.

Dr Mwambe alikuwa ni mwadilifu kweli kweli hata Cecil alishinda Uchaguzi kwa sababu ya umaarufu wa baba yake siyo yeye.

Cecil anapaswa kulikumbuka hilo pia...... anaweza akatumika sasa na baadae CCM wakamtosa kwa udhaifu huo huo.

Mkuu lini unehama Lumumba buku 7?
 
Back
Top Bottom