Nenda MEMKWA ukajiongezee maarifa, you sound like hujahitimu hata ngumbalu!Ahaaa. Mtu mnatoa kwenye group la watsapp alafu unasema bado ni mwanachama wenu? Silinde je? Mwambe nafikiri hajakabidhi barua kwa spika. Alitangaza nia ya kuhama tu.

Spika sidhani Kama anatakiwa kuchukua hatua kwa kusikia bila Hatua ya muhusika kuandika barua au Chama chake kuandika barua.Komu na selasini wameamua kutoka chadema kwenda Nccr na watahama rasmi baada ya kumaliza ubunge wao
Mwambe alisema amejiuzulu nafasi zake za chama na ubunge wake.. Ni kama alivyofanya Nyarandu au je nyarandu nae anatakiwa kurudi bungeni?
Kama alijiuzulu kwa nini hakuna uchaguzi uliofanyika? Mimi nimeishia la saba naomba unisaidieWewe kweli una kiwango kidogo cha akili ,hujui hata ubunge unakomaje,kwanini unaandika kitu usichokijua? Mwambe kajiuzulu Selasini na Komu hawajajiuzu tumia akili mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe hujui kujiuzuru kunapaswa kukamilika kwa taratibu Gani?Wewe kweli una kiwango kidogo cha akili ,hujui hata ubunge unakomaje,kwanini unaandika kitu usichokijua? Mwambe kajiuzulu Selasini na Komu hawajajiuzu tumia akili mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
"Itabaki story sekenke"Spika sidhani Kama anatakiwa kuchukua hatua kwa kusikia bila Hatua ya muhusika kuandika barua au Chama chake kuandika barua.
Na hata Chama kikiandika barua Lazima kiambatanishe barua ya mbunge na kama mbunge hajaandika barua basi chama kiambatanishe muhutasari wa kikao kilichomvua uanachama kwamujibu wa taratibu.
Sasa kama spika hajataarifiwa kwa maandishi na ngaraka kamilifu kwa mujibu wa taratibu basi inabaki kuwa stori tu.
Labda wanaolalamika waseme taratibu zote zilifuatwa na spika akakiuka la sihivyo inakua tunalalamika kwa kuwa spika kafuta tartibu bila vionjo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwacheni amalizie muda wake maana zimebaki siku chache ili bunge livunjwe. Sio mbunge peke yake ambae alishatangaza kuondoka CHADEMA.
Yeye aliondoka sababu kuna ukiritimba na matumizi mabaya ya pesa za chama. Makatibu wa wilaya hawalipwi, wabunge wanalazimishwa kuchangia chama kama vile wanalipia pango la nyumba.
Kuna wabunge zaidi ya wanne wameshatangaza wamehama CHADEMA na watagombea kupitia Nccr Mageuzi mbona hamjataka Spika awatimue bungeni?
Cecil Mwambe alisema amehama CHADEMA na atagombea kupitia CCM kwenda Bungeni kumalizia hizi siku kumi na nane ili avute mpunga wake mnaleta wivu. Mbona nyie watu mna sumu mbaya sana.
Wabunge wenu wameonyesha picha mbaya sana. Wametoroka bungeni baada ya kuweka kibindoni perdiem.
Hivyo mwacheni Mwambe akalie vile viti ambavyo nyie mlivikimbia mkisema vina Corona. Maana alivyoondoka Mwambe ni sawa na Komu na Selasini walivyoondoka.

Spika anazo taarifa rasmi kama Mwambe alijiuzuru? Mbona uchaguzi haujafanyika?Selasini kajitoa kwenye group la whatsapp la CHADEMA means ana mpango wa kujitoa ila bado hajajitoa,maana kesi yake ipo kwenye mikono ya kamati kuu ya CHADEMA kama wamuanze wao kabla au wamuache ajitoe mwenyewe.kwa kesi ya Mwambe ni kwamba alitangaza mwenyewe kwamba ameshajitoa CDM na kujiunga CCM,hivyo kwa mujibu wa katiba siyo mbunge tena na jimbo la Ndanda lipo wazi,hapo siyo ishu ya CHADEMA tena ni ishu ya Tume ya uchaguzi
Spika sidhani Kama anatakiwa kuchukua hatua kwa kusikia bila Hatua ya muhusika kuandika barua au Chama chake kuandika barua.
Na hata Chama kikiandika barua Lazima kiambatanishe barua ya mbunge na kama mbunge hajaandika barua basi chama kiambatanishe muhutasari wa kikao kilichomvua uanachama kwamujibu wa taratibu.
Sasa kama spika hajataarifiwa kwa maandishi na ngaraka kamilifu kwa mujibu wa taratibu basi inabaki kuwa stori tu.
Labda wanaolalamika waseme taratibu zote zilifuatwa na spika akakiuka la sihivyo inakua tunalalamika kwa kuwa spika kafuta tartibu bila vionjo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hayo majimbo yapo wazi? Jimbo la Ndanda lina mbunge wake.
Alihamia Ccm?Jimbo la katani nalo liko wazi
....Yan muanzisha uzi kakaa were na kufikiria na kuja na hicho alichoandika. Anyway, binadamu tunatofautiana sana upeo na uelewa wa Mambo. Common sense is not always commonKwa hili la Mwambe ukiwa na akili timamu huwezi kulitetea....!. Labda ujitoe ufahamu........
Sent using Jamii Forums mobile app
Au labda anaetetea awe Mwambe mwenyewe.Kwa hili la Mwambe ukiwa na akili timamu huwezi kulitetea....!. Labda ujitoe ufahamu........
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio, amehamia CCM na kadi alipewa Nanyamba mbele ya Chikota na Ghasia.Alihamia Ccm?
Kama anarudi bungeni safi sana.Kwani spika ana taarifa rasmi?Ndio, amehamia CCM na kadi alipewa Nanyamba mbele ya Chikota na Ghasia.
Na yeye pia kuna tetesi anaweza kurudi bungeni ingawa suala la Mwambe limepewa uzito kwa sababu alikuwa mbunge wa Chadema. Sasa akina Lwakatare wakisimama tu wabunge wote wa CCM wanagonga meza kwa mbwembwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa taarifa yako kuna majimbo kadhaa hayana wabunge.Spika anazo taarifa rasmi kama Mwambe alijiuzuru? Mbona uchaguzi haujafanyika?
We jamaa nenda kasome Katiba sifa za mbunge kukoma au kutokuwa mbunge halafu utajiona wewe ni 'mpumbavu' kwa sababu sifa ya mtu 'mpumbavu' ni kushupalia jambo na hataki kuelimishwa.Vi
Kama anarudi bungeni safi sana.Kwani spika ana taarifa rasmi?
We jamaa ndio huelewi kabisa.Na wewe hujui kujiuzuru kunapaswa kukamilika kwa taratibu Gani?
Au ukisema tu bila kuandikia mamlaka husika unakua umejiuzuru?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama Mwambe anajijua ni mbunge kwa nini asubiri mpaka aitwe na Spika?Spika sidhani Kama anatakiwa kuchukua hatua kwa kusikia bila Hatua ya muhusika kuandika barua au Chama chake kuandika barua.

Alihamia Ccm?