Kwanini mnamkomalia Mwambe peke yake?

Kwanini mnamkomalia Mwambe peke yake?

Mwacheni amalizie muda wake maana zimebaki siku chache ili bunge livunjwe. Sio mbunge peke yake ambae alishatangaza kuondoka CHADEMA.

Yeye aliondoka sababu kuna ukiritimba na matumizi mabaya ya pesa za chama. Makatibu wa wilaya hawalipwi, wabunge wanalazimishwa kuchangia chama kama vile wanalipia pango la nyumba.

Kuna wabunge zaidi ya wanne wameshatangaza wamehama CHADEMA na watagombea kupitia Nccr Mageuzi mbona hamjataka Spika awatimue bungeni?

Cecil Mwambe alisema amehama CHADEMA na atagombea kupitia CCM kwenda Bungeni kumalizia hizi siku kumi na nane ili avute mpunga wake mnaleta wivu. Mbona nyie watu mna sumu mbaya sana.

Wabunge wenu wameonyesha picha mbaya sana. Wametoroka bungeni baada ya kuweka kibindoni perdiem.

Hivyo mwacheni Mwambe akalie vile viti ambavyo nyie mlivikimbia mkisema vina Corona. Maana alivyoondoka Mwambe ni sawa na Komu na Selasini walivyoondoka.
Hasara waliyopata wazazi wako haipimiki ! kumtetea Ndugai kuhusiana na aibu ya kumbeba Mwambe ni lazima uwe kichaa mjinga
 
Mwacheni amalizie muda wake maana zimebaki siku chache ili bunge livunjwe. Sio mbunge peke yake ambae alishatangaza kuondoka CHADEMA.

Yeye aliondoka sababu kuna ukiritimba na matumizi mabaya ya pesa za chama. Makatibu wa wilaya hawalipwi, wabunge wanalazimishwa kuchangia chama kama vile wanalipia pango la nyumba.

Kuna wabunge zaidi ya wanne wameshatangaza wamehama CHADEMA na watagombea kupitia Nccr Mageuzi mbona hamjataka Spika awatimue bungeni?

Cecil Mwambe alisema amehama CHADEMA na atagombea kupitia CCM kwenda Bungeni kumalizia hizi siku kumi na nane ili avute mpunga wake mnaleta wivu. Mbona nyie watu mna sumu mbaya sana.

Wabunge wenu wameonyesha picha mbaya sana. Wametoroka bungeni baada ya kuweka kibindoni perdiem.

Hivyo mwacheni Mwambe akalie vile viti ambavyo nyie mlivikimbia mkisema vina Corona. Maana alivyoondoka Mwambe ni sawa na Komu na Selasini walivyoondoka.
Angalia video za Mwambe YouTube wakati anatangaza kuhamia ccm utajua unachoandika hakina maana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwacheni amalizie muda wake maana zimebaki siku chache ili bunge livunjwe. Sio mbunge peke yake ambae alishatangaza kuondoka CHADEMA.

Yeye aliondoka sababu kuna ukiritimba na matumizi mabaya ya pesa za chama. Makatibu wa wilaya hawalipwi, wabunge wanalazimishwa kuchangia chama kama vile wanalipia pango la nyumba.

Kuna wabunge zaidi ya wanne wameshatangaza wamehama CHADEMA na watagombea kupitia Nccr Mageuzi mbona hamjataka Spika awatimue bungeni?

Cecil Mwambe alisema amehama CHADEMA na atagombea kupitia CCM kwenda Bungeni kumalizia hizi siku kumi na nane ili avute mpunga wake mnaleta wivu. Mbona nyie watu mna sumu mbaya sana.

Wabunge wenu wameonyesha picha mbaya sana. Wametoroka bungeni baada ya kuweka kibindoni perdiem.

Hivyo mwacheni Mwambe akalie vile viti ambavyo nyie mlivikimbia mkisema vina Corona. Maana alivyoondoka Mwambe ni sawa na Komu na Selasini walivyoondoka.
Hapa ndipo nasema huko CCM hakuna hata mmoja mwenye akili, yaani kesi ya Mwambe unalinganisha na ya Selasini au Komu? Ujinga ni mzigo
 
Wabunge wannne? Nani na nani?

Cecil ni jinsia gani?
 
Ni lini Selasini na Komu wamerudisha kadi za Chadema na kupewa za NCCR?
 
Maendeleo hayana Chama
Baba yake Cecil alikuwa Daktari maarufu na aliyeheshimika sana pale Ndanda Mission hospital.

Dr Mwambe alikuwa ni mwadilifu kweli kweli hata Cecil alishinda Uchaguzi kwa sababu ya umaarufu wa baba yake siyo yeye.

Cecil anapaswa kulikumbuka hilo pia...... anaweza akatumika sasa na baadae CCM wakamtosa kwa udhaifu huo huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Q: Pigpenny, why are you so dirty? When, in the world are you going to clean up?

Pigpenny: I have accumulated on me the dust of centuries.
Who am I to disturb history?

They are going on with their dirty deals simply because they are indifferent to history.

But the course of history can certainly be changed.

Just look around and you will see.
 
Komu na selasini hawajarudisha kadi ya chama na hawajachukua kadi ya chama kingine chochote.hizi ni kesi mbili tofauti,bwana Mwambe amepokea kadi ya CCM mbele ya press conference.kiufupi bunge limeyumba,msitupoteze maboya kwa hoja zisizo na miguu
Ni wivu tu.
 
Imagine mwambe angekua ndio.mwenyekiti
FB_IMG_1589055279562.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tutamuuliza spika atupe majibu maana labda vyombo vya habari vilimnukuu vibaya. Ila yeye na akina Selasini bado ni wabunge. Ndio maana bado alikuwa analipwa kama kawaida.Kwa hiyo hakuna sehemu ambapo katiba imesiginwa.

Kwa mantiki hiyo basi nyarandu nae ni mbunge, katani wa cuf nae ni mbunge so wote warudi
 
Mwacheni amalizie muda wake maana zimebaki siku chache ili bunge livunjwe. Sio mbunge peke yake ambae alishatangaza kuondoka CHADEMA.

Yeye aliondoka sababu kuna ukiritimba na matumizi mabaya ya pesa za chama. Makatibu wa wilaya hawalipwi, wabunge wanalazimishwa kuchangia chama kama vile wanalipia pango la nyumba.

Kuna wabunge zaidi ya wanne wameshatangaza wamehama CHADEMA na watagombea kupitia Nccr Mageuzi mbona hamjataka Spika awatimue bungeni?

Cecil Mwambe alisema amehama CHADEMA na atagombea kupitia CCM kwenda Bungeni kumalizia hizi siku kumi na nane ili avute mpunga wake mnaleta wivu. Mbona nyie watu mna sumu mbaya sana.

Wabunge wenu wameonyesha picha mbaya sana. Wametoroka bungeni baada ya kuweka kibindoni perdiem.

Hivyo mwacheni Mwambe akalie vile viti ambavyo nyie mlivikimbia mkisema vina Corona. Maana alivyoondoka Mwambe ni sawa na Komu na Selasini walivyoondoka.
Wewe kweli una kiwango kidogo cha akili ,hujui hata ubunge unakomaje,kwanini unaandika kitu usichokijua? Mwambe kajiuzulu Selasini na Komu hawajajiuzu tumia akili mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom