Kwanini mnamkomalia Mwambe peke yake?

Kwanini mnamkomalia Mwambe peke yake?

Kwa hiyo Komu na Selasini bado wapo Chadema?
Wamepoke kadi za hivyo vyama?
Kuna kiongozi wa NCCR alie wapokea?
Umewaona wakirudisha kadi zao za CHADEMA na kupokea kadi za NCCR?
Kasome Ibara ya 71(i) .e Katiba ya JMT.
 
Kwani Komu na Selasini wanakaa kama wabunge wa Chama gani? Maana wameshatangaza kuhama na hawatagombe kupitia Chadema. Na yeye ndio hivyo hivyo. Majibu anayo spika, acheni amalizie ili avute posho.
Walitangaza kuhama na wakahama?
 
Wamepoke kadi za hivyo vyama?
Kuna kiongozi wa NCCR alie wapokea?
Umewaona wakirudisha kadi zao za CHADEMA na kupokea kadi za NCCR?
Kasome Ibara ya 71(i) .e Katiba ya JMT.
Where the member of parliament ceases to be a member of the party to which he belonged... Lakini ofisi ya bunge lazima ipelekewe taarifa ya kimaandishi kuthibitisha kuwa ameachana na hicho chama. Mwambe hakupeleka barua wala Chadema haikupekeka barua. Bado siku kadhaa bunge livunjwe tumuache amalizie.
 
Attachments

Ibara ipi imesema lazma Spika apelekewe barua?
Ni kanuni namba ngapi kati ya 157 kwenye kanuni za kudumu za Bunge zinamtaka aliejiuzuru ampe barua Spika?
 
Bunge halifanyi mambo kienyeji kila kitu lazima kiwe in formal written statement.
 
Mwacheni amalizie muda wake maana zimebaki siku chache ili bunge livunjwe. Sio mbunge peke yake ambae alishatangaza kuondoka CHADEMA.

Yeye aliondoka sababu kuna ukiritimba na matumizi mabaya ya pesa za chama. Makatibu wa wilaya hawalipwi, wabunge wanalazimishwa kuchangia chama kama vile wanalipia pango la nyumba.

Kuna wabunge zaidi ya wanne wameshatangaza wamehama CHADEMA na watagombea kupitia Nccr Mageuzi mbona hamjataka Spika awatimue bungeni?

Cecil Mwambe alisema amehama CHADEMA na atagombea kupitia CCM kwenda Bungeni kumalizia hizi siku kumi na nane ili avute mpunga wake mnaleta wivu. Mbona nyie watu mna sumu mbaya sana.

Wabunge wenu wameonyesha picha mbaya sana. Wametoroka bungeni baada ya kuweka kibindoni perdiem.

Hivyo mwacheni Mwambe akalie vile viti ambavyo nyie mlivikimbia mkisema vina Corona. Maana alivyoondoka Mwambe ni sawa na Komu na Selasini walivyoondoka.
N.b naweka randama ili wale bichwa maji wa chama flani wapate jibu sahihi.

Katiba ni roho ya nchi lazima ilindwe. Mimi sio CHADEMA ila siungi mkono kudharau katiba. Mleta mada acha ujinga.
 
Hukusikia walichosema?
Kumbe walisema ila awakuama chama na kupokelewa na kiongozi wa NCCR! Ila Mh.Mwambe aliama ,kukabizi kadi ya CHADEMA na kupokea kadi ya CCM.
Au unataka kusema Mh.Pole Pole na Mh.Dr.Bashiru Kakulwa walikua wanafanya tu uhuni na maigizo?
 
Ibara gani inasema ayo mkuu...maana tunabidi tuwaelimisha awa CHADEMA.
Kwa hiyo hata serikali kufanya shughuli zake kwa maandishi unataka katiba itamke? Mbona hata kutaja mali zao wanafanya kwa maandishi?
 
Kumbe walisema ila awakuama chama na kupokelewa na kiongozi wa NCCR! Ila Mh.Mwambe aliama ,kukabizi kadi ya CHADEMA na kupokea kadi ya CCM.
Au unataka kusema Mh.Pole Pole na Mh.Dr.Bashiru Kakulwa walikua wanafanya tu uhuni na maigizo?
Mbona unarudiarudia mambo? Wote walishahama wanasubiri mafao wagombee kwa kupitia Ccm au Nccr Mageuzi.
 
Back
Top Bottom