Kwanini mnamkomalia Mwambe peke yake?

Kwanini mnamkomalia Mwambe peke yake?

Baba yake Cecil alikuwa Daktari maarufu na aliyeheshimika sana pale Ndanda Mission hospital.

Dr Mwambe alikuwa ni mwadilifu kweli kweli hata Cecil alishinda Uchaguzi kwa sababu ya umaarufu wa baba yake siyo yeye.

Cecil anapaswa kulikumbuka hilo pia...... anaweza akatumika sasa na baadae CCM wakamtosa kwa udhaifu huo huo.

Mkuu lini unehama Lumumba buku 7?
 
Ahaaa. Mtu mnatoa kwenye group la watsapp alafu unasema bado ni mwanachama wenu? Silinde je? Mwambe nafikiri hajakabidhi barua kwa spika. Alitangaza nia ya kuhama tu.

Ila wewe jamaa ni poyoyo sijapata kuona.
Hivi mtu alitetangaza kuhama na akapokelewa ccm mbele ya waandishi wa habari na makamera ndio unasema eti ametangaza tu nia. ??

Halafu ww unaongea kwa utashi wako lakini sheria hazisemi hivo.
 
Lazima ofisi ya bunge ipate taarifa rasmi ya maandishi. Jambo ambalo halikufanyika.
 
Attachments

Kwani Komu na Selasini wanakaa kama wabunge wa Chama gani? Maana wameshatangaza kuhama na hawatagombe kupitia Chadema. Na yeye ndio hivyo hivyo. Majibu anayo spika, acheni amalizie ili avute posho.
Kutangaza kuhama chama co kuhama chama wewe juha. Hta nyerere alishasema ccm co baba wala mama yangu naweza kuhama ! Alihama?
NANI ALIYEMPA SUMU NA KUTAKA KUMUA MZEE MANGULA NA KWANINI? HUYO MANGULA SASA YUPO WAPI?
DAMU YA MYU MBAYA SANA HADI WATU KWENDA KUJILAZA KWENYE MAWE KWA HOFU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Out of point.
 
Ila wewe jamaa ni poyoyo sijapata kuona.
Hivi mtu alitetangaza kuhama na akapokelewa ccm mbele ya waandishi wa habari na makamera ndio unasema eti ametangaza tu nia. ??

Halafu ww unaongea kwa utashi wako lakini sheria hazisemi hivo.
Umekaririshwa? Au unadhani mwili mkubwa ndio kuwa na akili?
 
Attachments

Ahaaa. Mtu mnatoa kwenye group la watsapp alafu unasema bado ni mwanachama wenu? Silinde je? Mwambe nafikiri hajakabidhi barua kwa spika. Alitangaza nia ya kuhama tu.
Kwani group la WhatsApp ni register ya wanachama.

CCM wanakosea sana kuingiza wachovu wa shule kama huyu, kuandika tu mtihani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

Back
Top Bottom