Kwanini mnamkomalia Mwambe peke yake?

Kwanini mnamkomalia Mwambe peke yake?

Tutamuuliza spika atupe majibu maana labda vyombo vya habari vilimnukuu vibaya. Ila yeye na akina Selasini bado ni wabunge. Ndio maana bado alikuwa analipwa kama kawaida.Kwa hiyo hakuna sehemu ambapo katiba imesiginwa.
Selasini kajitoa kwenye group la whatsapp la CHADEMA means ana mpango wa kujitoa ila bado hajajitoa,maana kesi yake ipo kwenye mikono ya kamati kuu ya CHADEMA kama wamuanze wao kabla au wamuache ajitoe mwenyewe.kwa kesi ya Mwambe ni kwamba alitangaza mwenyewe kwamba ameshajitoa CDM na kujiunga CCM,hivyo kwa mujibu wa katiba siyo mbunge tena na jimbo la Ndanda lipo wazi,hapo siyo ishu ya CHADEMA tena ni ishu ya Tume ya uchaguzi
 
Mwacheni amalizie muda wake maana zimebaki siku chache ili bunge livunjwe. Sio mbunge peke yake ambae alishatangaza kuondoka CHADEMA.

Yeye aliondoka sababu kuna ukiritimba na matumizi mabaya ya pesa za chama. Makatibu wa wilaya hawalipwi, wabunge wanalazimishwa kuchangia chama kama vile wanalipia pango la nyumba.

Kuna wabunge zaidi ya wanne wameshatangaza wamehama CHADEMA na watagombea kupitia Nccr Mageuzi mbona hamjataka Spika awatimue bungeni?

Cecil Mwambe alisema amehama CHADEMA na atagombea kupitia CCM kwenda Bungeni kumalizia hizi siku kumi na nane ili avute mpunga wake mnaleta wivu. Mbona nyie watu mna sumu mbaya sana.

Wabunge wenu wameonyesha picha mbaya sana. Wametoroka bungeni baada ya kuweka kibindoni perdiem.

Hivyo mwacheni Mwambe akalie vile viti ambavyo nyie mlivikimbia mkisema vina Corona. Maana alivyoondoka Mwambe ni sawa na Komu na Selasini walivyoondoka.

sijuhi unaishi wapi ndugu,
Maana haya yote yalishajibiwa, ila nitakusaidia tu:-
1. Mwambe alitangaza wmeneywe kuhama na kadi ya CCM akachukua Lumumba mbele ya polepole
2. hao wengine wametangaza hawtaagombea tena chadema na sio kuhama.
3. Mungozo wa WHO, unasema ukikutana na mgonjwa waCORONA unapaswa kujitenga kwa kukaa alone ili kama umeambukizwa basi usije kuambukiza wengine.
 
Selasini kajitoa kwenye group la whatsapp la CHADEMA means ana mpango wa kujitoa ila bado hajajitoa,maana kesi yake ipo kwenye mikono ya kamati kuu ya CHADEMA kama wamuanze wao kabla au wamuache ajitoe mwenyewe.kwa kesi ya Mwambe ni kwamba alitangaza mwenyewe kwamba ameshajitoa CDM na kujiunga CCM,hivyo kwa mujibu wa katiba siyo mbunge tena na jimbo la Ndanda lipo wazi,hapo siyo ishu ya CHADEMA tena ni ishu ya Tume ya uchaguzi
Kama lipo wazi mbona NEC hawajaitisha uchaguzi?
 
sijuhi unaishi wapi ndugu,
Maana haya yote yalishajibiwa, ila nitakusaidia tu:-
1. Mwambe alitangaza wmeneywe kuhama na kadi ya CCM akachukua Lumumba mbele ya polepole
2. hao wengine wametangaza hawtaagombea tena chadema na sio kuhama.
3. Mungozo wa WHO, unasema ukikutana na mgonjwa waCORONA unapaswa kujitenga kwa kukaa alone ili kama umeambukizwa basi usije kuambukiza wengine.
Hawatagombea kupitia Cdm sababu imekosa dira na msimamo. Mtu anatoa kauli kama hiyo alafu unasema bado ni mwanachama wa Cdm?
 
Wewe hazimo kichwani. Akina Komu hawajajitoa chadema, walisema watajitoa muda ukiisha. Mwambe yeye alijivua kabisa uanachama akachukuwa na kadi ya ccm.
Kwani Komu na Selasini wanakaa kama wabunge wa Chama gani? Maana wameshatangaza kuhama na hawatagombe kupitia Chadema. Na yeye ndio hivyo hivyo. Majibu anayo spika, acheni amalizie ili avute posho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawatagombea kupitia Cdm sababu imekosa dira na msimamo. Mtu anatoa kauli kama hiyo alafu unasema bado ni mwanachama wa Cdm?
Hivi unajua maana ya notisi?wewe ukimuambia mwenye nyumba wako kwamba kodi ikiisha nitahama,atakuambia kuwa uhame leo leo?hao waliotangaza kuwa watahama na bado wapo ndio hawana msimamo
 
Hivi unajua maana ya notisi?wewe ukimuambia mwenye nyumba wako kwamba kodi ikiisha nitahama,atakuambia kuwa uhame leo leo?hao waliotangaza kuwa watahama na bado wapo ndio hawana msimamo
Mfano gani sasa huu? Kwenye vyama kuna kutoa notisi eti nitahama?
 
Kukaa mbele ya press conference sio kuwa umerudisha kadi. Ni kutoa taarifa kwa Umma. Kwani wakati Edward Lowassa anakuja Cdm alirudisha ya Ccm? Akili zako lazima ziwe zinajiongeza mkuu.
Kwahiyo yale yalikuwa maigizo au tamthilia?
 
Wewe hazimo kichwani. Akina Komu hawajajitoa chadema, walisema watajitoa muda ukiisha. Mwambe yeye alijivua kabisa uanachama akachukuwa na kadi ya ccm.

Sent using Jamii Forums mobile app
Katiba ya JMT ibara ya 76(2) inasema kama jimbo litakuwa vacant. Lazima uchaguzi uitishwe. Mimi nina uhakika spika anajua jimbo la Ndanda sio vacant.
 
Unataka mwenyewe kutukanwa, maana unaeleshwa huelewi, kama ulikuwa na hoja zako, so unataka kutulazimisha tuzikubali hata kama si za kweli? Mtashangilia upuuzi wa viongozi wenu. Mjue kuna maisha baada ya hawa waliopo. Siku moja mwaweza juta.
Unaweza kunitukana unavyotaka. Ila waneshajitoa impliedly. Kama wangekuwa na ubavu wange wafukuza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka mwenyewe kutukanwa, maana unaeleshwa huelewi, kama ulikuwa na hoja zako, so unataka kutulazimisha tuzikubali hata kama si za kweli? Mtashangilia upuuzi wa viongozi wenu. Mjue kuna maisha baada ya hawa waliopo. Siku moja mwaweza juta.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo kuambiwa kwamba Komu,Selasini,Mwambe,Silinde n.k n.k walishahama Chadema ndio unalia na kugalagala?
 
sijuhi unaishi wapi ndugu,
Maana haya yote yalishajibiwa, ila nitakusaidia tu:-
1. Mwambe alitangaza wmeneywe kuhama na kadi ya CCM akachukua Lumumba mbele ya polepole
2. hao wengine wametangaza hawtaagombea tena chadema na sio kuhama.
3. Mungozo wa WHO, unasema ukikutana na mgonjwa waCORONA unapaswa kujitenga kwa kukaa alone ili kama umeambukizwa basi usije kuambukiza wengine.
Sitagombea tena kupitia Chadema ila hawajahama? Mh...
 
Ndio bado ni CHADEMA na kwa kuwa CHADEMA ni chama cha demokrasia wameheshimu mawazo yao. Wao wamesema Bunge hili likiisha watagombea kupitia NCCR- Mageuzi lakini hawajasema kwa sasa kwamba wameshahamia NCCR- Mageuzi.

Kwenye katiba ya CHADEMA hakuna mahala pameandikwa kwamba mtu akitangaza kwamba mbele ya safari atahama chama basi anakuwa amehama chama. Mwambe alihama chama.
Sijawahi kuona Dunia nzima.Ni Chadema pekee wana huu utaratibu.
 
Back
Top Bottom