Kwanini mnafanya mapenzi kabla ya ndoa?

tatizo siku hizi watu hatuaminian tenaaa,na watu wamebadilika sana

kama uko makini utaona siku hz ndoa nyingi zinafungwa baada ya mdada kuwa mjamzito au hata kuwa na mtoto au watoto licha ya huko kungonoka tu...........

naamin ndoa zingekuwa na heshima sana kama kweli watu tungekuwa tunakwenda kulianzia hilo tendo ndani ya ndoa
 
Faida ya kufanya sex kabla ya ndoa

  1. Mnasomana mapema na huyo mwenza wako kama mpo compatible or not. Swala la sex ni kizungumkuti, watu wametofautiana katika tabia na uhimili wa sex. That is to say for instance umepata mtu ambaye yeye game kwake ni dakika 5 tu na hali wewe ni dakika 90, ni mtihani mkubwa. Usaliti ni kwa kiasi kikubwa sana kuweza kutokea...
  2. Mazoea, kusomana... Kama umewahi kuwa katika mahusiano utagundua kuwa waweza mfahamu vema mpenzi wako; lakini ikitokea sasa mkalalana ndio hasa kuna vitu vingine utafahamu zaidi juu yake. Vitu hasa viendanavo na attitude for sasa kila mmoja anajiachia kuliko before...
  3. Nafasi ya kuwa intimate zaidi, mnakuwa more than marafiki, makuwa wazi zaidi hivo kuna baadhi ya mambo ambayo ni msingi kwa wapenzi yanaweza kuwa sorted out mapema. Hivo kukupa nafasi ya kujua kama huyo mtu atafaa in the long run or ni wa kuachia ngazi mapemaaaa!

Hasara ya kufanya sex kabla ya ndoa (hizi zaidi kwa sie akina mama)

  1. Kusomeka tabia kirahisi, hivo kama tabia yako ni mbovu katika vipengele mbali mbali ni rahisi mtu kukuacha. Hii ni kutokana na jinsi ambavo mnakuwa intimate katima mahusiano hivo kujiachia kwa sana. Maana kama kisha lala na wewe kuna kitu gani kimebaki ambacho chaweza muweka aendelee kuwepo?
  2. Katika kufanya mapenzi kuna tabia ya ndani ya mtu waweza pata glimpse, kama morals za huyo mtu... Nature ya huyo mtu, msimamo wake ki maadili kwa misingi ya kukuza familia na the like. Hivo ni rahisi pia kumpoteza mtu ambae ulitarajia uwe nae hadi ndoa.
  3. Kuwa na idadi kubwa ya wapenzi, mara nyingi watu wengi huwa katika mahusiano hopping kuwa huyo alie naye ndio jackpot, which with time proves other wise... Tena na tena wajaribu, tena na tena watemwa... Kuna kaka alishawahi niambia, If only women knew kuwa kama a guy wants her sana na akambania kufanya mapenzi; mwanaume anaweza hata amua kuoa. (I did not by the line, ila niliona kuna ukweli ndani yake, hakuna tamu to guys kama kutaka kitu alafu hawezi kukipata but kuna mbadala wa kupata...)
 
Nilimsikia cleric mmoja anasema utakosa ufalme wa mbinguni na kuchomwa moto wa milele!
 
AshaDii my dia, nimekusoma. na kwa bahati nzuri hii mada imekuja wakati nikijiuliza swali kwamba "hivi ngono ni kipimo cha mapenzi au upendo" make utakuta mnafahamiana kwa muda mfupi lakini yeye ( mwanaume) analazimisha kufanya mapenz et kwa kauli kwamba "ngono ni kiungo cha kufanya hitimisho la maridhiano" akimaanisha kuwa ngono ndo sign ya kwamba mmekuwa wapenzi. nikabaki najiuliza hv mkishafanya mapenzi afu ukagundua udhaifu, utaachana nae na kutafta mwingne na mwingine na mwingne mpk umpate alie kamil
 
Last edited by a moderator:
Ngono siyo kpmo cha upendo ila ni kpmo cha hisia na uhalisia wa mtu husika, nikimaanisha kimaumbile na kimapokeo. Mf mm cmtaki ke aliyekeketwa ntamjuaje? Cmtaki mchafu,mvivu kitandani, etc ntamjuaje? Lkn kama ishu ni kuoa kwa akili na siyo hisia, ngono haina nafac.
 
Sipati picha babu yangu SLAA atakuwa kwenye moto wa category ipi miaka 70 anamega tu duhh
Nilimsikia cleric mmoja anasema utakosa ufalme wa mbinguni na kuchomwa moto wa milele!
 
Faida ya kufanya sex kabla ya ndoa

  1. Mnasomana mapema na huyo mwenza wako kama mpo compatible or not. Swala la sex ni kizungumkuti, watu wametofautiana katika tabia na uhimili wa sex. That is to say for instance umepata mtu ambaye yeye game kwake ni dakika 5 tu na hali wewe ni dakika 90, ni mtihani mkubwa. Usaliti ni kwa kiasi kikubwa sana kuweza kutokea...
  2. Mazoea, kusomana... Kama umewahi kuwa katika mahusiano utagundua kuwa waweza mfahamu vema mpenzi wako; lakini ikitokea sasa mkalalana ndio hasa kuna vitu vingine utafahamu zaidi juu yake. Vitu hasa viendanavo na attitude for sasa kila mmoja anajiachia kuliko before...
  3. Nafasi ya kuwa intimate zaidi, mnakuwa more than marafiki, makuwa wazi zaidi hivo kuna baadhi ya mambo ambayo ni msingi kwa wapenzi yanaweza kuwa sorted out mapema. Hivo kukupa nafasi ya kujua kama huyo mtu atafaa in the long run or ni wa kuachia ngazi mapemaaaa!

Hasara ya kufanya sex kabla ya ndoa (hizi zaidi kwa sie akina mama)

  1. Kusomeka tabia kirahisi, hivo kama tabia yako ni mbovu katika vipengele mbali mbali ni rahisi mtu kukuacha. Hii ni kutokana na jinsi ambavo mnakuwa intimate katima mahusiano hivo kujiachia kwa sana. Maana kama kisha lala na wewe kuna kitu gani kimebaki ambacho chaweza muweka aendelee kuwepo?
  2. Katika kufanya mapenzi kuna tabia ya ndani ya mtu waweza pata glimpse, kama morals za huyo mtu... Nature ya huyo mtu, msimamo wake ki maadili kwa misingi ya kukuza familia na the like. Hivo ni rahisi pia kumpoteza mtu ambae ulitarajia uwe nae hadi ndoa.
  3. Kuwa na idadi kubwa ya wapenzi, mara nyingi watu wengi huwa katika mahusiano hopping kuwa huyo alie naye ndio jackpot, which with time proves other wise... Tena na tena wajaribu, tena na tena watemwa... Kuna kaka alishawahi niambia, If only women knew kuwa kama a guy wants her sana na akambania kufanya mapenzi; mwanaume anaweza hata amua kuoa. (I did not by the line, ila niliona kuna ukweli ndani yake, hakuna tamu to guys kama kutaka kitu alafu hawezi kukipata but kuna mbadala wa kupata...)
Well said,auntie Ashadii
 
Kiwembe kiwembe tuu, ukiwahi tabuu, ukichelewa tabuu.. Utajitunza atakucheat pia,na humo atapata magumegume makali kunako 6*6,ambapo akija kukuoa wewe ambae hujawah do nae b4ndoa,na mpo in a relatnshp,heeh,kazi itakuwepo!!

Ngono ni ngao ya mikataba fekelo ya commitment fekelo katika mahusiano..but vitu fekelo differs depends on how u handle them! Chaweza dumu wakati mwingine.
Ngono yaweza tumika kama ufunguo wa mtu kuwa na control over you!o you over him o her.
 
Kimaadili na kidini ngono kabla ya ndoa haina maana kabisa. Watu tumerahisisha kuwa siwezi uziwa mbuzi kwenye gunia au kufahamiana zaidi, kuna baadhi ya watu walingonoka sana enzi za uchumba wao na wakajuana ki sana tu kwa miaka sita. Walipooana wakapata mtoto mmoja wameishi mwaka mmoja na nusu tu, ndoa yao chali, ishapotea. Kila mtu yupo kwao. Ngono ni swala lingine, but cha muhimu ni upendo wa dhati kabisa.
 
AshaDii my dia, nimekusoma. na kwa bahati nzuri hii mada imekuja wakati nikijiuliza swali kwamba "hivi ngono ni kipimo cha mapenzi au upendo" make utakuta mnafahamiana kwa muda mfupi lakini yeye ( mwanaume) analazimisha kufanya mapenz et kwa kauli kwamba "ngono ni kiungo cha kufanya hitimisho la maridhiano" akimaanisha kuwa ngono ndo sign ya kwamba mmekuwa wapenzi. nikabaki najiuliza hv mkishafanya mapenzi afu ukagundua udhaifu, utaachana nae na kutafta mwingne na mwingine na mwingne mpk umpate alie kamil

Sex bwana ni moja ya maeneo yenye kuleta utata wa hali ya juu sana. Katika mahusiano 'ngono' na 'mapezi' yana uzito na nafasi tofauti... Sex ni kipimo (aidha kwa uwepo ama kukosekana kwake) na pia upendo ni kipimo (vivo hivo kwa uwepo ama kukosekana kwake).

Bahati mbaya sana hakuna formula ya haya mambo, ni hivo hivo tunajitahidi huku tukiomba Mungu siku zinavozidi kwenda uwezekano wa maumivu kuisha ukue. Kuwa wapenzi sio lazima muwe mmelalana, ila tu hio ndio kilele cha kuongeza intimacy kwa kiwango cha hali ya juu sana.

Hilo wazo lako la mwisho, kwa mtazamo wangu HAKUNA alie kamilifu katika mapenzi... Ndio mana fimbo kubwa ya kuboresha Penzi ni 'compromise' na hata kama kuna ku compromise ndio mana ni bora kuwa na mtu ambae walau mwaendana katika mengi yaliyo misingi kwa penzi kuimarika.
 
ASHADII-Ok Mdada nikupendae hapa jamiiforum,mtazamo wangu kwenye hili ni kwamba i think mdada wanatakiwa wawe na uwakika kwamba jamaa anampenda sex is not prove of love cause sex ni hisia na love it go beyond hisia,and love grow,how it grow? inategemea na vision mponayo kwenye mahusiano,utajuaje mkaka anakupenda? atakuwa mvumilivu kukusubiri sababu sex is one part of love,aweza kuwa tayari kukupoteza cause umemwambia asubiri,tatizo watu wanaingia kwenye mahusiano na public opions matokeo yake mtu anachezewa ana achwa,woman u should give a chance man to prove tha he loves u though endurance
 
Faida ya kufanya sex kabla ya ndoa

  1. Mnasomana mapema na huyo mwenza wako kama mpo compatible or not. Swala la sex ni kizungumkuti, watu wametofautiana katika tabia na uhimili wa sex. That is to say for instance umepata mtu ambaye yeye game kwake ni dakika 5 tu na hali wewe ni dakika 90, ni mtihani mkubwa. Usaliti ni kwa kiasi kikubwa sana kuweza kutokea...
  2. Mazoea, kusomana... Kama umewahi kuwa katika mahusiano utagundua kuwa waweza mfahamu vema mpenzi wako; lakini ikitokea sasa mkalalana ndio hasa kuna vitu vingine utafahamu zaidi juu yake. Vitu hasa viendanavo na attitude for sasa kila mmoja anajiachia kuliko before...
  3. Nafasi ya kuwa intimate zaidi, mnakuwa more than marafiki, makuwa wazi zaidi hivo kuna baadhi ya mambo ambayo ni msingi kwa wapenzi yanaweza kuwa sorted out mapema. Hivo kukupa nafasi ya kujua kama huyo mtu atafaa in the long run or ni wa kuachia ngazi mapemaaaa!

Hasara ya kufanya sex kabla ya ndoa (hizi zaidi kwa sie akina mama)

  1. Kusomeka tabia kirahisi, hivo kama tabia yako ni mbovu katika vipengele mbali mbali ni rahisi mtu kukuacha. Hii ni kutokana na jinsi ambavo mnakuwa intimate katima mahusiano hivo kujiachia kwa sana. Maana kama kisha lala na wewe kuna kitu gani kimebaki ambacho chaweza muweka aendelee kuwepo?
  2. Katika kufanya mapenzi kuna tabia ya ndani ya mtu waweza pata glimpse, kama morals za huyo mtu... Nature ya huyo mtu, msimamo wake ki maadili kwa misingi ya kukuza familia na the like. Hivo ni rahisi pia kumpoteza mtu ambae ulitarajia uwe nae hadi ndoa.
  3. Kuwa na idadi kubwa ya wapenzi, mara nyingi watu wengi huwa katika mahusiano hopping kuwa huyo alie naye ndio jackpot, which with time proves other wise... Tena na tena wajaribu, tena na tena watemwa... Kuna kaka alishawahi niambia, If only women knew kuwa kama a guy wants her sana na akambania kufanya mapenzi; mwanaume anaweza hata amua kuoa. (I did not by the line, ila niliona kuna ukweli ndani yake, hakuna tamu to guys kama kutaka kitu alafu hawezi kukipata but kuna mbadala wa kupata...)

nimekusoma sna da Ashadii, mimi nimefanya utafiti mdogo wa atu kumi waliooana baada ya kufanya ngono, taarifa ni kwamba asiilimia 80 yao wana kua na mipango mingi ya kando, na hao watano walioingia kwenye ndo bila ku ..do wanaaminiana sana na wanakuwa bila wasiwasi pindi mwanamume anapochelewa sehemu au anakuwa na imani kubwa na anacho ambiwa na mwenziwe.
 
Hasara:jasiri haachi asili,hivo tegemea mwendelezo wa hiyo tabia hata baada ya kuoana.
Pia azinie na mwanamke hana akili kabisa afanya jambo la kuangamiza nafsi yake(kitabu cha mith)
Kahaba ni shimo refu....(Mith pia).

Hasara nadhani ni nyingi kuliko faida kama zipo.
 
Mume: Nilitamani sana muda huu ufike.

Mke: Vipi wataka niondoke?

Mume: Hapana hata kidogo.

Mke: Unanipenda?

Mume: Ndio maana yake.

Mke: Utaniletea demu mwingine ndani?

Mume: Siwezi kufanya huo upuuzi

Mke: Je utanibusu milele?

Mume: Kila mara kila wakati.

Mke: Je utanipiga?

Mume: Aa haiwezi kutokea

Mke: Naweza kukuamini?

Mume: Ndio

Mke: Aaaaaah Mpenzi?

Ukitaka kujuwa uhalisia wa mambo baada ya ndoa huwaje anza kusoma thread hii mahojiano ya Mume na Mke kutoka chini kwenda juu.
 
Iwapo mwanamke unayempenda kakubali ufanye nae mapenzi kabla ya ndoa ujuwe huyo hatawacha kukusaliti. na wewe mwanamme kama unampenda mpenzio kwanini utake kufanya kabla ya ndoa?
 
Back
Top Bottom