that is a new fashion in town.......,
kuna ka umuhimu kake jamani kuna mtu yeye mpenzi wake
alimwambia tusubiri hadi tufunge ndoa,ndoa imefungwa bishost
anakutana na mume mtarimbo doro akawa anaomba ushauri afanyaje!!!!!
sometimes its best to test oeach other
Mpendwa hayo ni maadili ya dini gani? Mbona tumekuwa waumini wa usasa zaidi.
mapenzi hayana kanuni hakuna mtu anampenda mtu eti kwa sababu alifanya naye mapenzi kabla ya ndo au mtu anamchukia mtu kisa eti alifanya naye mapenzi kabla ya ndoa. mapenzi ni kusikilizana sasa kama una mpenzi ambae mnapanga kuoana unakataa kufanya naye mapenzi unafanya na watu wengine huo ni ujinga. kama hujisikii kufnya mapenzi na mtu unasingizia mpaka tuoane inawezekana humpendi. nijuavyo mimi hamu ya kufanya mapenzi inatoka ndani ya mwili wako na ukikutana na unayempenda hata bila kukuambia nitakuoa unakubali mwenyewe. na kwa taarifa yako mimi ukinikatalia kuwa tusifanye mpaka ndoa nikaja nikakukuta wewe kumbe ulikwisha fanya hapo nakuchukia.
Iwapo mwanamke unayempenda kakubali ufanye nae mapenzi kabla ya ndoa ujuwe huyo hatawacha kukusaliti. na wewe mwanamme kama unampenda mpenzio kwanini utake kufanya kabla ya ndoa?
hebu tuongee ukweli si kusema kufurahisha huku kinachofanyika ni tofauti. kwa wakati tulionao wa watu kuingia kwenye ndoa katika miaka 30 na kitu hiyo ni ngumu huku wakiingia kwenye mapenzi wakiwa na kumi nakitu. Wala si mmonyoko wa maadili bali ni kutambua mwili wa mwanadamu na kuweka taratibu za kusaidia kama kuanzisha watoto shule mapema ili waanze maisha wakiwa na umri mdogo. maadili yaliyowekwa Enzi hizo wakati mtu akibalehe tu anaolewa au anaoa ni tofauti na sasahakuna kitu kama hicho, ni mmomonyoko wa maadili! Turudi kwenye vitabu vya dini vinatuasa vipi? Tatizo watu wamehalalisha mabaya na kuyakataa mema. Kama wewe mwanaume unajua huwezi kazi kwa nini uoe? Mwanamke km mumeo hawezi kazi na wataalam wa afya wamethibitisha ndoa inatanguliwa kisheria acheni hizo! Mtatest wangapi? C ndo chanzo cha magonjwa ya zinaa? Binafsi mtu akinishauri 'kutest' kabla ya ndoa huyo namput off moja kwa moja. What i blv is, if u are faithful, prayerfully, God will give u the right choice!!
Unanunua kiatu pasipo kutest kama kinakufit then ndo ukajipime home,je kikiwa kidogo au kikubwa zaidi utamlaumu nani?Napenda kuwauliza ndugu zangu, kwa nini mnafanya mapenzi kabla ya ndoa? Why don't u wait until muoane?
Research zinaonyesha hii inasababisha mahusiano mengi yasidumu.
Kiwembe kiwembe tuu, ukiwahi tabuu, ukichelewa tabuu.. Utajitunza atakucheat pia,na humo atapata magumegume makali kunako 6*6,ambapo akija kukuoa wewe ambae hujawah do nae b4ndoa,na mpo in a relatnshp,heeh,kazi itakuwepo!!
Ngono ni ngao ya mikataba fekelo ya commitment fekelo katika mahusiano..but vitu fekelo differs depends on how u handle them! Chaweza dumu wakati mwingine.
Ngono yaweza tumika kama ufunguo wa mtu kuwa na control over you!o you over him o her.
Atleast a strong point,niPM