Kwanini mnaenda kulewa wakati msiba unaendelea?

Habarini wanajf I hope mko good kabisa.

Niende kwenye key point direct bila kupoteza wakati hii issue ikoje watu mnaenda msibani kuzika then mnatoroka na kwenda kunywa pombe baa za jirani hatimaye mnalewa hovyo na kuonyesha picha mbaya kwa wafiwa.
Acheni hiyo tabia sio nzuri hata kidogo.

Hivi ni kwanini mnaenda kulewa wakati wa msiba unaendelea ni kwamba ni stress za msiba au mnasherekea kifo cha mwendazake?

Asanteni!!
Kwasababu waliokufa hawarudi
 
Dah umenikumbusha dogo mmoja utotoni alikuwa mtoto wa mama kinyama kuna kipindi alipokuwa kidogo baba yake akapata kazi South Africa wakasepa bonge wakakaa huko mda mrefu.Waliporudi dogo alikuwa amepinda mbaya.Siku moja walikuja kanisani kifamilia kutoa shukrani kuna mda wakati ibada inaendelea dogo akachomoka kidogo kwenda kupiga bia moja mbili na kurudi tena church
 
Nitabia ya ajabu
Sasa wakisha lewa wengine huanza kulia hovyo kama watoto
huku wakimtaja marehemu na vituko walivyokuwa wakifanya pamoja enzi za uhai wake
Wengine bila kuchanganya na pombe hawachangamki msibani,kuna jamaa yangu tulienda nae msibani ili tunakaribia kufika Msibani akaomba udhuru kidogo akashtue kinywaji(Pombe) alivyorudi tu alianza kumlilia marehemu hadi kila mtu alimounea huruma kwa maana alikuwa analia kwa uchungu sana.Kunywa mnywe ila kistaarabu ili msifanye vituko msibani najua jambo la kufiwa linauma sana kila mtu ana feeling zake.
IN GOD WE TRUST.
 
Habarini wanajf I hope mko good kabisa.

Niende kwenye key point direct bila kupoteza wakati hii issue ikoje watu mnaenda msibani kuzika then mnatoroka na kwenda kunywa pombe baa za jirani hatimaye mnalewa hovyo na kuonyesha picha mbaya kwa wafiwa.
Acheni hiyo tabia sio nzuri hata kidogo.

Hivi ni kwanini mnaenda kulewa wakati wa msiba unaendelea ni kwamba ni stress za msiba au mnasherekea kifo cha mwendazake?

Asanteni!!
Inasikitisha sana
 
Ni kuvuta muda unajua muda huwa hauendi

Afu nimegundua kwa tunao lala nje kwenye mikeka au maturubai,ukiwa umelewa unalala usingizi mzur sana hata huisi maumivu ya kulala chini
 
Habarini wanajf I hope mko good kabisa.

Niende kwenye key point direct bila kupoteza wakati hii issue ikoje watu mnaenda msibani kuzika then mnatoroka na kwenda kunywa pombe baa za jirani hatimaye mnalewa hovyo na kuonyesha picha mbaya kwa wafiwa.
Acheni hiyo tabia sio nzuri hata kidogo.

Hivi ni kwanini mnaenda kulewa wakati wa msiba unaendelea ni kwamba ni stress za msiba au mnasherekea kifo cha mwendazake?

Asanteni!!

Wapi imeandikwa hilo ni kosa.
 
Wengine bila kuchanganya na pombe hawachangamki msibani,kuna jamaa yangu tulienda nae msibani ili tunakaribia kufika Msibani akaomba udhuru kidogo akashtue kinywaji(Pombe) alivyorudi tu alianza kumlilia marehemu hadi kila mtu alimounea huruma kwa maana alikuwa analia kwa uchungu sana.Kunywa mnywe ila kistaarabu ili msifanye vituko msibani najua jambo la kufiwa linauma sana kila mtu ana feeling zake.
IN GOD WE TRUST.
Indeed IN GOD WE TRUST
 
Dah umenikumbusha dogo mmoja utotoni alikuwa mtoto wa mama kinyama kuna kipindi alipokuwa kidogo baba yake akapata kazi South Africa wakasepa bonge wakakaa huko mda mrefu.Waliporudi dogo alikuwa amepinda mbaya.Siku moja walikuja kanisani kifamilia kutoa shukrani kuna mda wakati ibada inaendelea dogo akachomoka kidogo kwenda kupiga bia moja mbili na kurudi tena church
Hahahah 😂
 
Habarini wanajf I hope mko good kabisa.

Niende kwenye key point direct bila kupoteza wakati hii issue ikoje watu mnaenda msibani kuzika then mnatoroka na kwenda kunywa pombe baa za jirani hatimaye mnalewa hovyo na kuonyesha picha mbaya kwa wafiwa.
Acheni hiyo tabia sio nzuri hata kidogo.

Hivi ni kwanini mnaenda kulewa wakati wa msiba unaendelea ni kwamba ni stress za msiba au mnasherekea kifo cha mwendazake?

Asanteni!!
Ni tabia ambayo siyo nzuri sababu tamaduni zetu unapokwenda msibani ni kwa nia ya kumfariji mfiwa na zaidi kama kuna cha kusaidia. Sasa unatoka kwako hadi msibabni halafu unatafuta baa nje kwenda kunywa haipendezi kiukweli. Ni bora ungebaki kwako tu uakaendelea kunywa huko huko. Si kitendo cha kiungwana kwenda msibani na kugeuza sehemu au kijiwe cha kunywa pombe.
 
Sio vyema kabisa
 
Habarini wanajf I hope mko good kabisa.

Niende kwenye key point direct bila kupoteza wakati hii issue ikoje watu mnaenda msibani kuzika then mnatoroka na kwenda kunywa pombe baa za jirani hatimaye mnalewa hovyo na kuonyesha picha mbaya kwa wafiwa.
Acheni hiyo tabia sio nzuri hata kidogo.

Hivi ni kwanini mnaenda kulewa wakati wa msiba unaendelea ni kwamba ni stress za msiba au mnasherekea kifo cha mwendazake?

Asanteni!!
Arusha na Kilimanjaro
 
Back
Top Bottom