Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 17,099
- 55,071
- Thread starter
- #21
Wanakunywa pombe wanalewa wanaleta fujo mpka kupigana ndugu kwa ndugu...Sherehe zipo tatu; kuzaliwa, kuoa/kuolewa/utawa na kifo...
Shuhuli ni watu. Wakutanapo lazima kiumane. Pombe kitu gani mkuu?. Kwani wasipokunywa ndo marehemu atafufuka? Muhimu shera zisivunjwe, amani na itawale.