Kwanini mnaenda kulewa wakati msiba unaendelea?

Red black

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2019
Posts
12,113
Reaction score
37,569
Habarini wanajf I hope mko good kabisa.

Niende kwenye key point direct bila kupoteza wakati hii issue ikoje watu mnaenda msibani kuzika then mnatoroka na kwenda kunywa pombe baa za jirani hatimaye mnalewa hovyo na kuonyesha picha mbaya kwa wafiwa.
Acheni hiyo tabia sio nzuri hata kidogo.

Hivi ni kwanini mnaenda kulewa wakati wa msiba unaendelea ni kwamba ni stress za msiba au mnasherekea kifo cha mwendazake?

Asanteni!!
 
Habarini wanajf I hope mko gud kabsa.
Niende kwenye key point direct bila kupoteza wakati hii issue ikoje watu mnaenda msibani kuzika then mnatoroka na kwenda kunywa pombe baa za jirani hatimaye mnalewa hovyo na kuonyesha picha mbaya kwa wafiwa.
Acheni hiyo tabia sio nzuri hata kidogo.
Hivi ni kwanini mnaenda kulewa wakati wa msiba unaendelea ni kwamba ni stress za msiba au mnasherekea kifo cha mwendazake???

Asanteni!!
Mbona watu wanalewa kila siku cha ajabu hapo nini?
 
Habarini wanajf I hope mko good kabisa.

Niende kwenye key point direct bila kupoteza wakati hii issue ikoje watu mnaenda msibani kuzika then mnatoroka na kwenda kunywa pombe baa za jirani hatimaye mnalewa hovyo na kuonyesha picha mbaya kwa wafiwa.
Acheni hiyo tabia sio nzuri hata kidogo.

Hivi ni kwanini mnaenda kulewa wakati wa msiba unaendelea ni kwamba ni stress za msiba au mnasherekea kifo cha mwendazake?

Asanteni!!
Walishasema wazuri hawafi
 
Ulalamishi wa aina hii ni wa kipambaff sana.Haujui kwamba wakilewa ni ibada ya kuongeza machozi na dua njema kwa "al-marhum"?
 
Back
Top Bottom