Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 7,898
- 15,366
Tumia wataalam sio maneno kujua kama maji yapo, ni very simple processNilikuwa na mpango nitoboe maji kijijini kwetu wilaya ya newala ila watu wa kule wananiambia maji inawezekana yasipatikane au gharama nikashindwa... nilikuwa na nia nifanye kilimo cha bustani