pleo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 3,590
- 3,012
Hayo mazao niliyotaja ndio yanaliwa zaidi kwa soko la kusini, hapo ukiongeza mihogo.....Kwahiyo boss Maharage na vitunguu havikubali? , mana nadhani maharage yanasoko kuliko kunde .
haukukuwa na kawaida ya kusini kuleta mazao Dar, mazao yake yanaenda India kwa meli, korosho, dengu, choroko, karanga na njugu mawe ndio maana zinalimika miaka naenda Rudi.
Kwa soko la Comoro mfumo unaweza ukabadirika kidogokidogo