Kwanini Mkoa wa Kigoma unakosewa heshma?

Kigoma iko level kama ya UK, USA na nchi zingine zilizoendelea. Wanajitahidi kuifundisha dunia ya tz kuwa siasa hazikufanyi umubague mtu na chama hakikufanyi ujenge uadui na mwingine kiasi cha kutofungamana. Ni mko pekee wenye wabunge mchanganyiko NCCR, CCM, CDM kwa kuwa wanakigoma hupima mtu na si chama.

Kwa haraka mwaka 2010 ukimweka Slaa na Kikwete ukawapima bila kujali vyama vyao Kikwete anamwacha Slaa mbali sana. Kigoma wasingeweza kuchagua mtu mwenye kashifa za kuoa au kusambaratisha ndoa za watu. Aliyefungiwa duniani na mbinguni kafungiwa sasa Slaa alishashindwa na ya dini ataweza ya siasa?

Acheni kigoma iitwe kigoma, hawataki ubabaishaji, ni wanyoofu kiasi cha kutopenda kufanya kazi wa watu waliozoea kupindisha ukweli wa mambo! Kuiba mali za umma na kupora ruzuku za vyama huku wananchi wakiteseka. Mikoa mingine ikifikia level ya kigoma basi dunia itawapongeza vinginevyo ninyi ni mabwanyenye wa siasa.
 
Mods tafadhari naomba usiunganishe uzi huu. Katika hali ya kusikitishwa napenda kusema kuwa wanakigoma wanadharaulika sana japo sina nia ya uchochezi ila nasema ukweli.

Kigoma imetajwa na wengi kuwa ni mkoa unaotoka wasaliti hasa humu jf, waha wajinga, wanatumikia ccm, sio watanzania etc. Sasa cha kujiuliza mbona mikoa inajinasibu kuwa ndio wapinzani wa kweli hawaongozi kwa kura za kumpa mgombea urais wa upinzani? Na iongoze kigoma 2010?.

Msmamo wa ukawa kuhusu s3 umetokana na maoni mengi kutoka kigoma? Mnataka upinzani upi tofauti na huo wenye tija? Tujenge misingi ya kuaminiana. Wasira nae kaongezea.

Kigoma ni wasaliti kwa sababu wengi wao ni mchanganyiko na warundu na ndio maana wametaka serikali tatu ili muunagano uvunjike
 
Mayange, suala la maoni ya katiba si wanakigoma pekee waliohojiwa hata mama yako, baba yako na ndugu zako walitoa maoni. Unaposema kwamba KGM wanataka serikali tatu basi hapo ndipo unaonesha kuwa unatumia ubongo wa miguuni au kiunoni. Jaribu kutoa hoja kama mtu uliyezaliwa na mwanamke asiyekuwa kahaba!
 
...

Msmamo wa ukawa kuhusu s3 umetokana na maoni mengi kutoka kigoma? Mnataka upinzani upi tofauti na huo wenye tija? Tujenge misingi ya kuaminiana. Wasira nae kaongezea.

Hapana Mkuu, umekwenda mbali mno lakini pia kumbuka kwenye msafara wa mamba na mikenge nayo inajihudhurisha. Hivyo usishangae ni kwanini wanaoitwa wasaliti wameamua kujikita Kigoma; jibu ni rahisi kwamba kenge wameamua kujiingiza kwenye msafara wa mamba wakali (wana Kigoma) kwa sababu wanazozijua wao lakini pengine kubwa kutaka kusambaratisha nguvu kubwa za upinzani unaooneshwa na watu wa Kigoma ambao kumsingi umeongeza chachu ya maendeleo na demokrasia kitaifa.

La pili, usidhani CCM wanapenda sana upinzani na mwamko wa kidemokrasia unaooneshwa na wana-Kigoma hadi maoni mengi ya Serikali 3 kutokea humo; la hasha. Hivyo propaganda nyingi za kuwatukana na kuwadharau wana-Kigoma, kama zipo kama unavyodai, si ajabu zinakuwa fabricated na kuenezwa na CCM na mawakala wao. Mkuu, za kuambiwa changanya na zako.
 
Nyie Waha mnajimaliza wenyewe kisiasa ndio maana mnadharaulika. Hebu tazama njaa na usaliti wa viongozi wenu: Kabouru, Zitto, Kafulila.... Sasa hapo unategemea sifa muitoe wapi tena?

mkuu ukienda kigoma utaona jinsi watu wa kule walivo na chuki hasa kigoma mjini.
Niliwahi kukaa pale kigoma mjini,kwa kuwa mimi napenda habari za siasa
nilikuwa nikipendelea kukaa pale wanapaita kwa mchaga,kijiwe kinaitwa Urusi yenye nguvu,aise hawa watu hawana uvumilivu kabisa,wanaubaguzi wa hali ya juu.
Tatizo la ndugu zetu wa kigoma wanaamini kila wanacholishwa na wanasiasa hasa msukule wao Zitto.
Bora kafulila ila zitto na kabouri ni hatar wana tabia za kitusi
 
Last edited by a moderator:

..... Mkuu Kwan Wewe Hujui, Kauli Za Kuibagua Kigoma Zimekua Zinatolewa Na Viongozi Serekalin Mfano Wassira
 
Kuna siku nilipanda haisi,mdau mmoja alikuwa akisoma gazeti,ukurasa wa mbele alionekana mbowe .
Kuna mzee mmoja akamkejel msomaji na kusema unasoma habari za mchaga zinakusaidia nini? Si bora usome za zitto wa nyumbani??
Hii kauli ilinistua sana
 
Mkuu Chikuntetema, umemaliza sina cha kuongeza ngoja tuwaache madesa wahangaike kujiuliza na kujijibu wenyewe. Hiyo ndio kgm chezea wewe bonge la wasaliti, hapa nina maanisha hao viongozi wanavyo wasaliti wananchi wanao wategemea.
 
Nyie Waha mnajimaliza wenyewe kisiasa ndio maana mnadharaulika. Hebu tazama njaa na usaliti wa viongozi wenu: Kabouru, Zitto, Kafulila.... Sasa hapo unategemea sifa muitoe wapi tena?

Bado kuna mmoja akiitwa Boniface jina la pili nimelisahau ila gumu utadhani mitishamba.
 
Nyie Waha mnajimaliza wenyewe kisiasa ndio maana mnadharaulika. Hebu tazama njaa na usaliti wa viongozi wenu: Kabouru, Zitto, Kafulila.... Sasa hapo unategemea sifa muitoe wapi tena?

Ww sijui ni mpemba nenda ukafie huko kwenu hatuweI bishana na mtu asiejitambuqa
 
Mods tafadhari naomba usiunganishe uzi huu. Katika hali ya kusikitishwa napenda kusema kuwa wanakigoma wanadharaulika sana japo sina nia ya uchochezi ila nasema ukweli.

Kigoma imetajwa na wengi kuwa ni mkoa unaotoka wasaliti hasa humu jf, waha wajinga, wanatumikia ccm, sio watanzania etc. Sasa cha kujiuliza mbona mikoa inajinasibu kuwa ndio wapinzani wa kweli hawaongozi kwa kura za kumpa mgombea urais wa upinzani? Na iongoze kigoma 2010?.

Msmamo wa ukawa kuhusu s3 umetokana na maoni mengi kutoka kigoma? Mnataka upinzani upi tofauti na huo wenye tija? Tujenge misingi ya kuaminiana. Wasira nae kaongezea.

Mayange sisi tumetukanwa sana hususani na misukule wa cdm
Tunasema tumejitambuwa kama wao wameona upinzani ni lazima uwe cdm watasubiri sana
Tuliipenda cdm
Sasa basi hatuitaki tena
Wamebaki masaliya tu mkowani
 
Kigoma ni wasaliti kwa sababu wengi wao ni mchanganyiko na warundu na ndio maana wametaka serikali tatu ili muunagano uvunjike

Sawa tunakubali utuite warundi wa kongo wa zambia wa rwanda majina hayo yote na kshfa zote tumekubali
Lakini tunamsimamo wa kile tulicho simamiya
 
Mazuri yanafanywa na wanakigoma walioko Kigoma.. Wale wanakigoma walionje Kigoma ndio chanzo cha nyie kutukanwa. Kaeni chini mjitathmini.
 
Tunatukanwa na wafwsi wa cdm kutuita warundi wasaliti wao wanajuwa ili uwe mpinzani ni lazima umchaguwe myu kutoka cfm tu
Hivi hao waliopo nccr sio wapinzani?
Jifunzeni
2015 sio mbali wana cdm tuwanyoosha tu
 
Sawa tunakubali utuite warundi wa kongo wa zambia wa rwanda majina hayo yote na kshfa zote tumekubali
Lakini tunamsimamo wa kile tulicho simamiya

.... Ni Kweli Mkuu Niko Nawewe, Kwani Kwetu Tu Kuna Watu Wa Asili Ya Nchi Zingine?? Arafu Tena Warundi Na Wanyarwanda Ni Ndugu Zetu Wa Karibu Sana, Sioni Haja Ya Kuwabagua Coz Na Wao Ni Watu Kama Sisi
 
mkuu ukienda kigoma utaona jinsi watu wa kule walivo na chuki hasa kigoma mjini.
Niliwahi kukaa pale kigoma mjini,kwa kuwa mimi napenda habari za siasa
nilikuwa nikipendelea kukaa pale wanapaita kwa mchaga,kijiwe kinaitwa Urusi yenye nguvu,aise hawa watu hawana uvumilivu kabisa,wanaubaguzi wa hali ya juu.
Tatizo la ndugu zetu wa kigoma wanaamini kila wanacholishwa na wanasiasa hasa msukule wao Zitto.
Bora kafulila ila zitto na kabouri ni hatar wana tabia za kitusi

.... Toa Upuuzi Wako Hapa, Kwani Watutsi Wana Tabia Gani.. Kwani Siyo Watu Kama Wewe, Mbna Una Lugha Za Kibaguz Sana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom