KIGOMA: Mji wa Wastaarabu na Waungwana

kikaniki

JF-Expert Member
Nov 20, 2014
502
938
Ilikuwa mida ya saa nane mchana, PS wa ofisi yetu ananiletea barua. Kujifungua tu, nakuta neno YAH: UHAMISHO

Maandalizi ya kuhamia Kigoma yakaanza. Siku ya safari, nilipanda treni kutoka Dodoma kwenda Kigoma. Daraja la 2. Tuliondoka Dodoma mida ya saa 12 magharibi na saa tatu usiku siku ya pili, tukafika stesheni ya Kigoma. Safari ya zaidi ya masaa 30.

Wakaazi wa Kigoma wengi wao ni Waha na Wamanyema. Ni Mkoa uliobarikiwa sana. Wakaazi wa Kigoma ni wakarimu sana, Waungwana na wastaarabu sana.

Ni kweli kama alivyosema mdau Prakatatumba abaabaabaa katika mji wa Ujiji zinaa ambayo yeye ameiita mbususu ni ngumu sana kupata, na hiyo ni kwa sababu ya maadili mema (ya kiislamu) ambayo yanakataza zinaa. Na ndio maana kama unamhitaji Binti wa watu, nenda Kwa wazazi wake Kwa ajili ya ndoa. Ingawa kwa Dunia ilivyo sasa, mzinifu anaonekana mjanja na mwanamke anayesitiri nafsi na mwili wake anaonekana mshamba.

Ni kweli ni ngumu kupata nyumba ya kupanga Ujiji na sababu kubwa ni kuwa, ni mji ambao tayari umejaa makazi ya watu tofauti na maeneo kama Burega, Mji Mwema, Mwasenga, Buronge, Kilimahewa etc

Watu wa Kigoma wanasemwa kuwa ni wabishi. Lakini nilichokibaini ni kuwa, wanaitwa wabishi kwa kuwa wana uelewa mkubwa mno. Wanajua haki zao. Na ushahidi ni kuwa, kwa Tanzania Bara, Kigoma ndio mkoa wa kwanza kupokea mabadiliko na hata mbunge wa kwanza kutoka Chama cha upinzani alitoka Kigoma mwaka 1994 (Dr Amani Kabourou). Lakini pia, katika mchakato wa mabadiliko ya Katiba, Kigoma ndio mkoa ambao ulitoa watu wengi zaidi katika kutoa maoni.

Kwa Kigoma kama maeneo mengine yaliyo, imani za kishirikina hazikosekani. Iwe Mwanza, Dar, Arusha etc

Kigoma ni sehemu ya kuishi. Ni mji mtulivu sana wenye watu wenye upendo wa hali ya juu. Starehe kubwa ya Kigoma na Wana Kigoma ni mpira wa miguu na michezo kama draft huku watu wakila mihogo mibichi na karanga, tofauti na mikoa ya kaskazini ambapo starehe kubwa ni pombe.

Hiyo ndio Kigoma ninayoifahamu, tofauti na Kigoma aliyoiona Prakatatumba abaabaabaa
 
Kigoma ni Kati ya Miji michache sana hapa Tanzania yenye mandhari Kali sana.

Kuchelewa kwake kupata miundombinu kumeifanya ijengwe Kisasa yaani Kila kitu kipya huko kama Dom vile.
 
ngumu sana kuwatetea wana kigoma,watu kama zitto,baba levo ndio aina ya watu wa kigoma walivyo.
 
Ilikuwa mida ya saa nane mchana, PS wa ofisi yetu ananiletea barua. Kujifungua tu, nakuta neno YAH: UHAMISHO

Maandalizi ya kuhamia Kigoma yakaanza. Siku ya safari, nilipanda treni kutoka Dodoma kwenda Kigoma. Daraja la 2. Tuliondoka Dodoma mida ya saa 12 magharibi na saa tatu usiku siku ya pili, tukafika stesheni ya Kigoma. Safari ya zaidi ya masaa 30.

Wakaazi wa Kigoma wengi wao ni Waha na Wamanyema. Ni Mkoa uliobarikiwa sana. Wakaazi wa Kigoma ni wakarimu sana, Waungwana na wastaarabu sana.

Ni kweli kama alivyosema mdau Prakatatumba abaabaabaa katika mji wa Ujiji zinaa ambayo yeye ameiita mbususu ni ngumu sana kupata, na hiyo ni kwa sababu ya maadili mema (ya kiislamu) ambayo yanakataza zinaa. Na ndio maana kama unamhitaji Binti wa watu, nenda Kwa wazazi wake Kwa ajili ya ndoa. Ingawa kwa Dunia ilivyo sasa, mzinifu anaonekana mjanja na mwanamke anayesitiri nafsi na mwili wake anaonekana mshamba.

Ni kweli ni ngumu kupata nyumba ya kupanga Ujiji na sababu kubwa ni kuwa, ni mji ambao tayari umejaa makazi ya watu tofauti na maeneo kama Burega, Mji Mwema, Mwasenga, Buronge, Kilimahewa etc

Watu wa Kigoma wanasemwa kuwa ni wabishi. Lakini nilichokibaini ni kuwa, wanaitwa wabishi kwa kuwa wana uelewa mkubwa mno. Wanajua haki zao. Na ushahidi ni kuwa, kwa Tanzania Bara, Kigoma ndio mkoa wa kwanza kupokea mabadiliko na hata mbunge wa kwanza kutoka Chama cha upinzani alitoka Kigoma mwaka 1994 (Dr Amani Kabourou). Lakini pia, katika mchakato wa mabadiliko ya Katiba, Kigoma ndio mkoa ambao ulitoa watu wengi zaidi katika kutoa maoni.

Kwa Kigoma kama maeneo mengine yaliyo, imani za kishirikina hazikosekani. Iwe Mwanza, Dar, Arusha etc

Kigoma ni sehemu ya kuishi. Ni mji mtulivu sana wenye watu wenye upendo wa hali ya juu. Starehe kubwa ya Kigoma na Wana Kigoma ni mpira wa miguu na michezo kama draft huku watu wakila mihogo mibichi na karanga, tofauti na mikoa ya kaskazini ambapo starehe kubwa ni pombe.

Hiyo ndio Kigoma ninayoifahamu, tofauti na Kigoma aliyoiona Prakatatumba abaabaabaa

View: https://twitter.com/KigomaTanzania/status/1718584758316200385?t=BH3iMzqwNXEi_DYEB7BMHg&s=19
 
Dah ila watu bhna . Unaongelea kigoma ya wapi au mie ndo sipajui kigoma. Inachukua miaka mingapi kuona haya uloyasema maana mie nilikaa miaka 5 sikuyaona hayo uyasemayo
 
Mkuu vipi pale kizota band bado ipo??
Kibo pale mjini je na mitaa ya zanzibar lodge mbususu haikosekani
 
Ilikuwa mida ya saa nane mchana, PS wa ofisi yetu ananiletea barua. Kujifungua tu, nakuta neno YAH: UHAMISHO

Maandalizi ya kuhamia Kigoma yakaanza. Siku ya safari, nilipanda treni kutoka Dodoma kwenda Kigoma. Daraja la 2. Tuliondoka Dodoma mida ya saa 12 magharibi na saa tatu usiku siku ya pili, tukafika stesheni ya Kigoma. Safari ya zaidi ya masaa 30.

Wakaazi wa Kigoma wengi wao ni Waha na Wamanyema. Ni Mkoa uliobarikiwa sana. Wakaazi wa Kigoma ni wakarimu sana, Waungwana na wastaarabu sana.

Ni kweli kama alivyosema mdau Prakatatumba abaabaabaa katika mji wa Ujiji zinaa ambayo yeye ameiita mbususu ni ngumu sana kupata, na hiyo ni kwa sababu ya maadili mema (ya kiislamu) ambayo yanakataza zinaa. Na ndio maana kama unamhitaji Binti wa watu, nenda Kwa wazazi wake Kwa ajili ya ndoa. Ingawa kwa Dunia ilivyo sasa, mzinifu anaonekana mjanja na mwanamke anayesitiri nafsi na mwili wake anaonekana mshamba.

Ni kweli ni ngumu kupata nyumba ya kupanga Ujiji na sababu kubwa ni kuwa, ni mji ambao tayari umejaa makazi ya watu tofauti na maeneo kama Burega, Mji Mwema, Mwasenga, Buronge, Kilimahewa etc

Watu wa Kigoma wanasemwa kuwa ni wabishi. Lakini nilichokibaini ni kuwa, wanaitwa wabishi kwa kuwa wana uelewa mkubwa mno. Wanajua haki zao. Na ushahidi ni kuwa, kwa Tanzania Bara, Kigoma ndio mkoa wa kwanza kupokea mabadiliko na hata mbunge wa kwanza kutoka Chama cha upinzani alitoka Kigoma mwaka 1994 (Dr Amani Kabourou). Lakini pia, katika mchakato wa mabadiliko ya Katiba, Kigoma ndio mkoa ambao ulitoa watu wengi zaidi katika kutoa maoni.

Kwa Kigoma kama maeneo mengine yaliyo, imani za kishirikina hazikosekani. Iwe Mwanza, Dar, Arusha etc

Kigoma ni sehemu ya kuishi. Ni mji mtulivu sana wenye watu wenye upendo wa hali ya juu. Starehe kubwa ya Kigoma na Wana Kigoma ni mpira wa miguu na michezo kama draft huku watu wakila mihogo mibichi na karanga, tofauti na mikoa ya kaskazini ambapo starehe kubwa ni pombe.

Hiyo ndio Kigoma ninayoifahamu, tofauti na Kigoma aliyoiona Prakatatumba abaabaabaa
wastaarabu na waungwana
what's the difference
 
Back
Top Bottom