Kwanini mimi napata wanaume wa binafsi eti??

Kwanini mimi napata wanaume wa binafsi eti??

Utani wa ngumi huu! 😄
Yaani Tate Mkuu ambaye ni Mzee wa Lushoto, aanze tu kumiliki ID ya kike!

Ndugu zangu SweetyCandy ni KE, halafu ni Babe wangu kitambo sana. Tumekuwa tukitambulishana hivyo humu jukwaani. Amenipiga kibuti miezi michache iliyopita baada ya kunituhumu kwa kuwa mbinafsi kupitiliza! Simjali, nk. Hakuna multiple ID za kujianzishia uzi kwa lengo la kujipakulia minyama
Kuna jamaa aliniambia unajipakulia minyama. Kumbe ni muongo tu!
 
Nichangie japo kidogo.

Maisha ni mapenzi na mapenzi na wapenzi ni two way traffic.
Jaribu kumsoma sana mwanaume ulinae yaani jitahidi umjue huyo mpenzi wako ili asikusumbue.

Hapa namaanisha kuna watu wamezaliwa ni watoaji, wengine si watoaji kabisa, Wachoyo, wabinafsi na wala wa changu changu.
Ukimjua mwanaume uliye nae hapo sasa ni uhuru wako kukaa ukatulia au ukaendelea na safari ya kusaka unayemuhitaji wa vigezo vyako kitu ambacho si kibaya.

Wanaume wengine kuanza kutoa mpaka umchangamshe etiiiiii!!!!!!
kuchangamsha kupo aina nyingi

1. Mpe mambo mpe mahaba ya dhati mpe mapenzi ya dhati...... si kitandani tu bali kuanzia tabia jinsi unavyoishi nae na kadhalika

2. Tengeneza class yako
levels babe levels,, kuhongwa kunatokana na class hakikisha level yako unaifahamu na unaitendea haki ili kusudi ukipewa elfu kumi au 50 usimchukie au kushangaa mpenzi wako kwani pesa inatoka kulingana na hadhi ya mtu.

3. Ushirikiano
Hapo unaweza kuwa na mpenzi ambae ni mnapeana nipe nikupe. lakini hii mpaka uwe na akili na mjanja sanala sivyo utaliwa mchana kweupe.

Kiuhalisia wanaume wanaotoa pesa wapo wachache sana kwa sasa hivi hasa ukiwa huna kitu. wanaume wengi siku hizi wako kwenye target japo sio wote.......


1. Mpe mambo mpe mahaba ya dhati mpe mapenzi ya dhati...... si kitandani tu bali kuanzia tabia jinsi unavyoishi nae na kadhalika
 
Back
Top Bottom