Kwanini mimi napata wanaume wa binafsi eti??

Kwanini mimi napata wanaume wa binafsi eti??

Nichangie japo kidogo.

Maisha ni mapenzi na mapenzi na wapenzi ni two way traffic.
Jaribu kumsoma sana mwanaume ulinae yaani jitahidi umjue huyo mpenzi wako ili asikusumbue.

Hapa namaanisha kuna watu wamezaliwa ni watoaji, wengine si watoaji kabisa, Wachoyo, wabinafsi na wala wa changu changu.
Ukimjua mwanaume uliye nae hapo sasa ni uhuru wako kukaa ukatulia au ukaendelea na safari ya kusaka unayemuhitaji wa vigezo vyako kitu ambacho si kibaya.

Wanaume wengine kuanza kutoa mpaka umchangamshe etiiiiii!!!!!!
kuchangamsha kupo aina nyingi

1. Mpe mambo mpe mahaba ya dhati mpe mapenzi ya dhati...... si kitandani tu bali kuanzia tabia jinsi unavyoishi nae na kadhalika

2. Tengeneza class yako
levels babe levels,, kuhongwa kunatokana na class hakikisha level yako unaifahamu na unaitendea haki ili kusudi ukipewa elfu kumi au 50 usimchukie au kushangaa mpenzi wako kwani pesa inatoka kulingana na hadhi ya mtu.

3. Ushirikiano
Hapo unaweza kuwa na mpenzi ambae ni mnapeana nipe nikupe. lakini hii mpaka uwe na akili na mjanja sanala sivyo utaliwa mchana kweupe.

Kiuhalisia wanaume wanaotoa pesa wapo wachache sana kwa sasa hivi hasa ukiwa huna kitu. wanaume wengi siku hizi wako kwenye target japo sio wote.......
Wewe kwenye haya mambo una PhD
 
Tafuta wanawke wazoefu wa kuhongwa wakupe ABC za nini ufanye ili uhongwe.

Ila ni umasikini wa fikra mtu kukaa kuwaza nini ufanye ili mwanaume akupe pesa, sema ndio dada zetu mmeji-tune hivyo.
Hujaelewa lazima umtunzee mwanamke wako sasa kama hata hela ya saloon hatoi una mtu kweli ?? Wenzako wananunuliwa watakacho wanapewa hela ya saloon hadi ya kucha ?? Mimi chakula tu nitabu eti
 
MSaada jamani mimi napataga wanaume wa binafsi tu .
MF. Hai Tate Mkuu huyu baba anahela sana tu ila kunipa aah yeye anipa zile kuku za wateja tu.
YAani mtu unampa muda wako upendo unamjali ila hata mia tu hakupi unajipambania sijui hii shida nini huwa .
yaani mawazo yenu yatasaidia
Pole sana. Inabidi uongee na wenzio wanaojiuza ili wakupe mbinu jinsi wao wanavyowapata wenye hela. Kuna sehemu labda unakosea kwenye biashara yako.
 
Hujaelewa lazima umtunzee mwanamke wako sasa kama hata hela ya saloon hatoi una mtu kweli ?? Wenzako wananunuliwa watakacho wanapewa hela ya saloon hadi ya kucha ?? Mimi chakula tu nitabu eti
Nimeelewa mkuu,
Ndio maana nikakuambia utafute wadada wazoefu wa kuhongwa, wao wanajua mbinu gani wanatumia kupata hela za wanaume.

Kumbuka sio rahisi mtu kutoa tu hela yake, labda ya kuiba au madili. Hadi upate mtu anakupa kila utakacho ujue kuna kitu amekiona kwako sio bure, otherwise atakuwa anakulipa kwa huduma kila mkikutana.

Huu utaratibu wa ku-demand kutunzwa ni vile dada zetu mna umasikini wa fikra, mtu mzima na afya ya akili unademand vipi kutunzwa?
 
Back
Top Bottom