Kwanini mimi napata wanaume wa binafsi eti??

Acha kumsifia huyo hakuna mtu anaye jua mtu humu then aje expose maisha yake hadharani. Wewe unataka mumpa Kiki wanaume tumparamie tu
Unawashwa wewe! Sifa nzuri za mtu kuexpose humu kwangu sioni ubaya ila zingekua mbaya nisingefanya hivyo.

Nilichoongea nina uhakika nacho 99%
 
Mbona umeropoka udwanzi? 😂

Mimi Nimetoa mawazo yangu tu! Na kingine kizuri hakijiuzi mwanakwenda wewe.
 
Acha kumsifia huyo hakuna mtu anaye jua mtu humu then aje expose maisha yake hadharani. Wewe unataka mumpa Kiki wanaume tumparamie tu
Sasa mnaniparamiaje mie wakawaida ila sina njaa mwaya .
Ila nahitaji mtu anayeeleweka ika sio humu .
Kaa kwa kutulia basi kidogo nikulipue
 
MSaada jamani mimi napataga wanaume wa binafsi tu .
MF. Hai Tate Mkuu huyu baba anahela sana tu ila kunipa aah yeye anipa zile kuku za wateja tu.
YAani mtu unampa muda wako upendo unamjali ila hata mia tu hakupi unajipambania sijui hii shida nini huwa .
yaani mawazo yenu yatasaidia
Unampa muda, upendo na unamjali, mbona haya hayahitaji kununuliwa kwa pesa, maana na yeye anakupa huo muda wake, upendo na anakujali mbona wewe hutoi pesa.
Kama unamuuzia sema hajakulipa mlichokubaliana.
 
MSaada jamani mimi napataga wanaume wa binafsi tu .
MF. Hai Tate Mkuu huyu baba anahela sana tu ila kunipa aah yeye anipa zile kuku za wateja tu.
YAani mtu unampa muda wako upendo unamjali ila hata mia tu hakupi unajipambania sijui hii shida nini huwa .
yaani mawazo yenu yatasaidia
Njoo Dm nikushauri zaidi
 
Hii mbinu huwa unaweza wapata warugaruga. Mi nliitumia miaka ya 2000s huko.
 
Mleta Uzi kumbe ndiye Tate 😂
Utani wa ngumi huu! 😄
Yaani Tate Mkuu ambaye ni Mzee wa Lushoto, aanze tu kumiliki ID ya kike!

Ndugu zangu SweetyCandy ni KE, halafu ni Babe wangu kitambo sana. Tumekuwa tukitambulishana hivyo humu jukwaani. Amenipiga kibuti miezi michache iliyopita baada ya kunituhumu kwa kuwa mbinafsi kupitiliza! Simjali, nk. Hakuna multiple ID za kujianzishia uzi kwa lengo la kujipakulia minyama
 
Back
Top Bottom