leo dada
JF-Expert Member
- Oct 26, 2023
- 2,962
- 14,937
Huku ni kujituma tu mama hakuna zaidi.Jamani tusaidie wengine
Huku ni kujituma tu mama hakuna zaidi.Jamani tusaidie wengine
Na hao wote wamechakata hiyo papuchi alafu kesho uje useme mmeo kibamiaMSaada jamani mimi napataga wanaume wa binafsi tu .
MF. Hai Tate Mkuu huyu baba anahela sana tu ila kunipa aah yeye anipa zile kuku za wateja tu.
YAani mtu unampa muda wako upendo unamjali ila hata mia tu hakupi unajipambania sijui hii shida nini huwa .
yaani mawazo yenu yatasaidia
Huu ndo ushamba ambao wanawake wa kimatumbi bado wanao.levels babe levels,, kuhongwa kunatokana na class hakikisha level yako unaifahamu na unaitendea haki ili kusudi ukipewa elfu kumi au 50 usimchukie au kushangaa mpenzi wako kwani pesa inatoka kulingana na hadhi ya mtu.
Pole sana mkuu, tumebaki wachache sana!MSaada jamani mimi napataga wanaume wa binafsi tu .
MF. Hai Tate Mkuu huyu baba anahela sana tu ila kunipa aah yeye anipa zile kuku za wateja tu.
YAani mtu unampa muda wako upendo unamjali ila hata mia tu hakupi unajipambania sijui hii shida nini huwa .
yaani mawazo yenu yatasaidia
Pole sana,MSaada jamani mimi napataga wanaume wa binafsi tu .
MF. Hai Tate Mkuu huyu baba anahela sana tu ila kunipa aah yeye anipa zile kuku za wateja tu.
YAani mtu unampa muda wako upendo unamjali ila hata mia tu hakupi unajipambania sijui hii shida nini huwa .
yaani mawazo yenu yatasaidia
Ngoja nichukue hili jukumu kama uko tayariJamani tusaidie wengine
Umerogwa na Mshana JrMSaada jamani mimi napataga wanaume wa binafsi tu .
MF. Hai Tate Mkuu huyu baba anahela sana tu ila kunipa aah yeye anipa zile kuku za wateja tu.
YAani mtu unampa muda wako upendo unamjali ila hata mia tu hakupi unajipambania sijui hii shida nini huwa .
yaani mawazo yenu yatasaidia
Sawa bwana ila hamjanielewaKama una upendo unataka mia ya kazi gani? Ukimpa upendo ujue ni sadaka subiri Yesu arudi akufanye mfano wa kuigwa
Jamani kila kitu kimeuzwa sasa mimi nihaingike ya nini mwenye kukabidhiwa amesha mkabidhi deogratious kijana ambaye hata mama yangu anamsifia kuwa ni mchapa kaziMtu hata hajali nchi haina makamu wa raisi ye anaomba hela tu ♥️
Mleta Uzi kumbe ndiye Tate 😂Unajipakulia minyama tuu au sio.
Sio ishu, utawalomba tuu
Wakati mnakubaliana kuingia kwenye mahusiano kipengele cha kupeana hela kilikuwepo?MSaada jamani mimi napataga wanaume wa binafsi tu .
MF. Hai Tate Mkuu huyu baba anahela sana tu ila kunipa aah yeye anipa zile kuku za wateja tu.
YAani mtu unampa muda wako upendo unamjali ila hata mia tu hakupi unajipambania sijui hii shida nini huwa .
yaani mawazo yenu yatasaidia
Acha kumsifia huyo hakuna mtu anaye jua mtu humu then aje expose maisha yake hadharani. Wewe unataka mumpa Kiki wanaume tumparamie tuTokea nijue SweetyCandy ni mdada corporate na ana class yake nje ya jf.
Nikiona humu unatuchangamsha kwa kujitoa akili naishia kucheka tu.