Kwanini michepuko ni watamu sana?

Kwanini michepuko ni watamu sana?

Ila mke mtamu jamani nina just imagine mlioa yani unaamka unae, unarudi toka job unae, weekend yote upo naye, unakula unasaza mnajenga familia, mnapata watoto dah, nyie majamaa hivi mkichepuka hamjisiki vibaya?
mwanamke ukikaa nae kunafika mda unamuona wakawaida tu ndo maana kunachepuka, kuna mda mnaweza lala wote hata wiki bila hata kugegedana
 
Hakuna mwanamke asiyekuwa mtamu ni ww tu kumuweka jinsi utakavyo ww ili akunogee.
 
Kama mkeo yuko humu atakujibu kwa nini ni mtamu sana kwa mchepuko wake.
 
natumai hamjambo.

wakuu kwa nini hawa viumbe wakuitwa michepuko ni watam sana kuliko wenza wetu majumbani?

nimekua nikijiuliza sana swali hili coz kama ni nyuchi ni zile zile bt attention tunayoipata kwa michepuko ni ya pekee sana jambo ambalo hufanya hata wanaokomeaga goli moja wakapga goli nyingi.

je wakuu hali hiyo inasababishwa na nini?
Wizi
 
Mbona hata huyu wa kwako ni mzuri tu kwangu....?
 
CCM wanafurahia vijana w Tanzania kujadili mambo haya.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom