cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,067
- 46,709
Ndio hivo mtu achepuke kwa tamaa zake na sio kulinganisha mke, mume na mchepuko. Uchepukaji ni choice tu Sasa kulinganisha na mke au mume ni ukichaaUkioa mchepuko basi tena utatafuta mwingine mchepuko