yeah wote ni the same mkuuSijui na wa upande wa pili hujihisi hivyo? Yaani mchepuko wa kiume. Mungu nisaidie nisichepuke maana ntapotelea huko nisione njia ya kurudi
Mchepuko mtamu kama alivyokuwa mkeo siku za mwanzo. Baadaye mchepuko utapoteza ladha.natumai hamjambo.
wakuu kwa nini hawa viumbe wakuitwa michepuko ni watam sana kuliko wenza wetu majumbani?
nimekua nikijiuliza sana swali hili coz kama ni nyuchi ni zile zile bt attention tunayoipata kwa michepuko ni ya pekee sana jambo ambalo hufanya hata wanaokomeaga goli moja wakapga goli nyingi.
je wakuu hali hiyo inasababishwa na nini?
NakaziaMindset tu hiyo bro hakuna jipya. Hata wa kwako ukimtune vizuri huyo mchepuko utauacha
Yaani wewe unasifia mchepuko hivyo, hata mkeo akiwa na mchepuko wake hivyo hivyo anausifia na tena ukiwa karibu utapewa vinono kuliko wewe usiombe apike mboga nzuri wewe unapewa za kusolowa mchepuko anapewa zile za kwanza, wewe cheat tu pia uwe unakumbuka na kwako pia kuna liwanatumai hamjambo.
wakuu kwa nini hawa viumbe wakuitwa michepuko ni watam sana kuliko wenza wetu majumbani?
nimekua nikijiuliza sana swali hili coz kama ni nyuchi ni zile zile bt attention tunayoipata kwa michepuko ni ya pekee sana jambo ambalo hufanya hata wanaokomeaga goli moja wakapga goli nyingi.
je wakuu hali hiyo inasababishwa na nini?
mkuu kusifia ni jambo la kawaida, mbona nyie mkipigwaga show kali na michepuko mnatoaga hadi sili za ndani?Ni ujinga kusifia mchepuko kuliko mke, Mimi mchepuko hata uweje haiwezi ziba nafasi ya nimpendayo mchepuko ni like dildo
Wanawake tuna Siri za kufa hajui mtu, huwezi linganisha mtu uliye na life commitment na mpita njia aisee never.mkuu kusifia ni jambo la kawaida, mbona nyie mkipigwaga show kali na michepuko mnatoaga hadi sili za ndani?
Niliposoma kichwa cha habari tu kichwa kikaja na hii komenti " mweka mada amesharogwa na karidhia kurogwa na karogeka"..
Mkuu kumbuka na mkeo huenda ni mchepuko wa lijamaa fulani na lenyewe linamuona mkeo mtamu..[emoji23][emoji28]
Ukioa mchepuko basi tena utatafuta mwingine mchepukoWanawake tuna Siri za kufa hajui mtu, huwezi linganisha mtu uliye na life commitment na mpita njia aisee never.
nyie wanawake ndo mnawathamini sana michepuko, ikiwa mnafikiaga hatua ya kuwaambia mtawazalia akat mnajua mpo katika ndoa nin maana yakeWanawake tuna Siri za kufa hajui mtu, huwezi linganisha mtu uliye na life commitment na mpita njia aisee never.
Kitu chochote unachokipata kwa nadra ndio huwa kitamu kuliko cha bwerere. Fuatilia hata chakula ndio hivyo. Wachumi wanaelewa issue ya marginal utility, kadri unavyokula nyama ya kuku kwa wingi ndio utamu wake unavyozidi kupotea mwisho wa siku utaona kero tu ni bora ya ng'ombe. Na ndio ilivyo kwa wenzi wa ndoa ni kama nyama ya kuku inayoliwa kwa wingi na mara kwa mara mwishowe ukaichoka ukafuata zingine. Hiyo haimaani nyama imeacha kuwa tamu ila tatizo ni wewe.natumai hamjambo.