UDSM kama kawaida yao, wanaishi kwa nguvu ya jina, huwezi kufungia mkongwe kama IMTU ukaacha UDSM, pale UDSM wanaishi kwa party time lecturers from Bugando&Muhimbili, akipatikana mwalim wanapigwa pindi non stop asubuhi mpaka usiku, wiki moja anasepa wanakaa kusubiri mwingine, shame on you mmeleta lecturers from Russia kufundisha UDOM, mmejenga hospitali kubwa pale halafu mnafungia course isifundishwe mnaacha UDSM ambao hata hospitali hawana, sielewi kabisa, ningekua mimi mapema sana ningefungia UDSM nikachukua na hao waliopo nikapeleka UDOM huko wakapige shule...alaaaaa..!!!!!
We ndo hamnazo UDSM wanatoa MD tena wameanza mwaka Jana usikurupuke fikiri kabla ya kunena utachekwa bure kwa ubishi usio na maanaUDSM haitokei degree ya MD. Labda ulinamaanisha MUHAS ambao wanatumia hospital ya Muhimbili. Kwa taarifa yako tu, hiki ndicho chuo kilichotoa watumishi wengi kwny sekta ya afya! She will never do that even if the government does not want the university to use the hospital.
Tubapozungumzia hospital tunamaanisha ambazo ziko labeled na wizara ya Afya kwa ajili ya mafunzo hata Kairuki kuna hospital kubwa hu lakini haitumiki kwa mafunzo tumia akili wakati unajibu maswali ya great thinkers we unafikiri amekurupuka kuandika vileneenda UDSM ndo uje hapa kusema hawana hospital. Mkuu UDSM wana hospitali tena kubwa tu. Iko kama unaelekea chuo cha ARDHI
seriously . Mkuu usidanganye uma. kariuki ni hospitali kubwa na inatumiwa na wanafunzi pia. Naona unaleta maada za kusimuliwa. pole yako. kwanza unaanza kudanyanya umma tu hapa. Kwa taarifa yako hospitali ambayo mpaka ina ma specialist unasema haitambulikan lol!Tubapozungumzia hospital tunamaanisha ambazo ziko labeled na wizara ya Afya kwa ajili ya mafunzo hata Kairuki kuna hospital kubwa hu lakini haitumiki kwa mafunzo tumia akili wakati unajibu maswali ya great thinkers we unafikiri amekurupuka kuandika vile
Inatambulika lakini haikua labeled tofautisha mtafute Rais wako umuulize kama hospital yenu Iko labeled maana ni ya kulipia nilikua kwenye kikao kama ulisikia dodoma cha marais wa vyuo nikimuwakilisha rais wa chuo chetu hakuwepo na Joyce Ndalichako akasema kua ataomba wizara ya Afya wailabel mojakwa moja hospital hiyo. Sitaki kubishana na we we waulizie viongozi wakoseriously . Mkuu usidanganye uma. kariuki ni hospitali kubwa na inatumiwa na wanafunzi pia. Naona unaleta maada za kusimuliwa. pole yako. kwanza unaanza kudanyanya umma tu hapa. Kwa taarifa yako hospitali ambayo mpaka ina ma specialist unasema haitambulikan lol!
Inatambulika lakini haikua labeled tofautisha mtafute Rais wako umuulize kama hospital yenu Iko labeled maana ni ya kulipia nilikua kwenye kikao kama ulisikia dodoma cha marais wa vyuo nikimuwakilisha rais wa chuo chetu hakuwepo na Joyce Ndalichako akasema kua ataomba wizara ya Afya wailabel mojakwa moja hospital hiyo. Sitaki kubishana na we we waulizie viongozi wako
Sasa utasikiaje wakati hukuwepo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ukisoma comment yako na yangu utaelewa. Ndo maana unakurupuka tu. Soma vizuri nan anasikia kati yangu na weweSasa utasikiaje wakati hukuwepo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Architecture wanahitaji maabara ili wasome mkuu???, unajua kama architecture ilikua inafundishwa Udsm kabla ya Ardhi???Nakubaliana na mleta mada... wamepeleka tena Architecture pale ilihali sifa za kufundiisha course hiyo hawana... kiufupi hakuna maandalizi....
Chuo cha UDSM nadhani kimebaki jina.... course nyingi ni outdated so wanatafuta namna watakayoweza kuvutia wanafunzi kuja UDSM
Standards za hospitals huwekwa na chombo maalum, hivyo KH imeonekana inawezekana kuserve kama teching hospital ya hicho chuo. TCU na Board/Council ya Udakitari watakuwa wameihakiki hiyo hospital. Kwenye website yao wameandika:Tubapozungumzia hospital tunamaanisha ambazo ziko labeled na wizara ya Afya kwa ajili ya mafunzo hata Kairuki kuna hospital kubwa hu lakini haitumiki kwa mafunzo tumia akili wakati unajibu maswali ya great thinkers we unafikiri amekurupuka kuandika vile
Si kejeli ..that guy is right..udsm wanabebwa na jina tuKejeli zako kuhusu UDSM zinalenga kukupatia faraja ya muda tu.Utapata taabu mno kushawishi wengine;alimradi umeweza kujishawishi mwenyewe,pongezi nyingi sana.
Architecture wanahitaji maabara ili wasome mkuu???, unajua kama architecture ilikua inafundishwa Udsm kabla ya Ardhi???
kwahiyo ulikua hujaelewa what i meant????....Architecture ipi iliyokuwa UDSM na sio Ardhi. Unachotakiwa ni kuwa at one time Ardhi ilikuwa part of UDSM nadhani ndio unachomaanisha. Ila nje ya hapo Architecture imekuwa inatolewa na Ardhi University pekee chini ya majina tofauti tofauti kwa nyakati tofauti kuanzia Ardhi Institute, UCLAS (as a college of UDSM kama COET) na sasa ARU
Tumesoma maoni yako.Yameeleweka,lakini kwa sababu za wazi kabisa tumeamua kuyapuuza..Sio kejeri ..the guy is right..udsm wanabebwa na jina tu
Nmesoma post gradute pale ndo nkajua hakuna kitu kabisa...mtu had unaingia kwny UE ujui una course work ya ngapi..had matokeo yanatoka ..alafu prof anasema mnaambiwa msihofu mnaogopa nn wote mtafulu
wivu utakuuaKwanza kabisa napinga kufungia MD kwenye vyuo kama UDOM na IMTU ma kuiacha UDSM (MD), TCU inapaswa kuulizwa kwa makini sababu za msingi za kuacha MD course pale wakati tunajua kama kuna jipu basi ni hiyo course ya MD hapo UDSM.
Wamezuiwa kutumia hospital ya Muhimbili wanasema wanafunzi watapelekwa Mbeya. Jaman Ndalichako usimuogope Mukandala kwakuwa alikua mwalimu au VC wako, hapa kazi tu. Dhihirisha kama kweli umekomaa katika uongozi.
MD ya pale ni jipu, wanaosoma Medicine wanaelewa nazungumza nini.