Kwanini MD ya University Of Dar es Salaam imeachwa?

Hakuna haja ya malumbano, tafuta kijana anaejielewa anaesoma MD hapo udsm umchukue maelezo akwambie yanayojiri hapo
Huo muda sina na hata ningekuwa nao nisingeweza kutekeleza ''ushauri''wako.Nakushauri achana na mambo ya UDSM na wala isikuumize sana kichwa.Jina lenyewe lilitakiwa kukutisha.Ninalojua kwa hakika ni kwamba watu wa aina yako mmekuwepo,mpo na na mtaendelea kuwepo.Mwisho,kwa idadi wa wanafunzi wa elimu ya Juu,haiwezekani wote tusome UDSM.Ridhikia tu na huko ulipo,acha maneno.Sisi hatujishughulishi kujua unasoma wapi na kinachoendelea huko,kwa hiyo usihangaike na sisi.
 
Sunday, July 24, 2016

TCU YAFUNGIA VYUO VINGINE KUDAHILI.

BAADA ya wiki jana kutangaza orodha ya vyuo ambavyo havitaruhusiwa kudahili Wanafunzi Kwa Mwaka wa Masomo 2016/17, leo Tume hiyo imetoa orodha nyingine ya vyuo ambavyo vimefungiwa kufanya udahili kutokana na sababu mbalimbali. Vyuo vilivyozuiwa kudahili ni pamoja na;

1. Katavi University of Agriculture - Kozi zote.

2. Ekernforde Tanga University - Kozi zote.

3. Hubert Kairuki Memorial University - Kozi ya udaktari.

4. Muslim University of Morogoro - Kozi ya uandishi wa habari na mawasiliano ya umma.

5. St. Joseph University In Tanzania (St.Mark's University College) - Kozi zote.

6. United African University of Tanzania - Kozi zote.

7. Tanzania International University - Kozi zote.

8. Kampala International University, Dar es Salaam College - Kozi ya Sayansi ya Kompyuta.

9. St. Joseph University College of Management and Commerce - Kozi zote.

10. Tumaini University, Dar es Salaam College - Kozi ya uandishi wa habari na mawasiliano ya umma.

12. Stefano Moshi Memorial University College - Kozi zote.

13. Teofilo Kisanji University, Tabora campus - Kozi zote.

14. University of Arusha, Musoma campus - Kozi zote.

15. Mount Meru University, Mwanza campus - Kozi zote.

16. University of Mbeya - Kozi zote.

17. Mzumbe University, Mwanza campus - Kozi zote.

18. Stella Maris Mtwara University College - Kozi zote.

19. ArchBishop James University College - Kozi zote.

20. Mwalimu Julius K. Nyerere University of Science and Technology - Kozi zote.

21. Josiah Kibira University College - Kozi zote.

22. College of Business Education, Mwanza campus - Kozi zote za shahada na shahada na Shahada ya Uzamili.
 
Sio kejeri ..the guy is right..udsm wanabebwa na jina tu
Nmesoma post gradute pale ndo nkajua hakuna kitu kabisa...mtu had unaingia kwny UE ujui una course work ya ngapi..had matokeo yanatoka ..alafu prof anasema mnaambiwa msihofu mnaogopa nn wote mtafulu
Umeshapata kiki [emoji23] alafu uandishi wako hausadifu Postgraduate ya UDSM..
 
Kwanza kabisa napinga kufungia MD kwenye vyuo kama UDOM na IMTU ma kuiacha UDSM (MD), TCU inapaswa kuulizwa kwa makini sababu za msingi za kuacha MD course pale wakati tunajua kama kuna jipu basi ni hiyo course ya MD hapo UDSM.

Wamezuiwa kutumia hospital ya Muhimbili wanasema wanafunzi watapelekwa Mbeya. Jaman Ndalichako usimuogope Mukandala kwakuwa alikua mwalimu au VC wako, hapa kazi tu. Dhihirisha kama kweli umekomaa katika uongozi.

MD ya pale ni jipu, wanaosoma Medicine wanaelewa nazungumza nini.

huwezi fungia kozi chuo kama UDSM, pale kile chuo tayari kina maturity katika suala zima la quality. Huwezi fananisha na chuo kama IMTU
 
Sunday, July 24, 2016

TCU YAFUNGIA VYUO VINGINE KUDAHILI.

BAADA ya wiki jana kutangaza orodha ya vyuo ambavyo havitaruhusiwa kudahili Wanafunzi Kwa Mwaka wa Masomo 2016/17, leo Tume hiyo imetoa orodha nyingine ya vyuo ambavyo vimefungiwa kufanya udahili kutokana na sababu mbalimbali. Vyuo vilivyozuiwa kudahili ni pamoja na;

1. Katavi University of Agriculture - Kozi zote.

2. Ekernforde Tanga University - Kozi zote.

3. Hubert Kairuki Memorial University - Kozi ya udaktari.

4. Muslim University of Morogoro - Kozi ya uandishi wa habari na mawasiliano ya umma.

5. St. Joseph University In Tanzania (St.Mark's University College) - Kozi zote.

6. United African University of Tanzania - Kozi zote.

7. Tanzania International University - Kozi zote.

8. Kampala International University, Dar es Salaam College - Kozi ya Sayansi ya Kompyuta.

9. St. Joseph University College of Management and Commerce - Kozi zote.

10. Tumaini University, Dar es Salaam College - Kozi ya uandishi wa habari na mawasiliano ya umma.

12. Stefano Moshi Memorial University College - Kozi zote.

13. Teofilo Kisanji University, Tabora campus - Kozi zote.

14. University of Arusha, Musoma campus - Kozi zote.

15. Mount Meru University, Mwanza campus - Kozi zote.

16. University of Mbeya - Kozi zote.

17. Mzumbe University, Mwanza campus - Kozi zote.

18. Stella Maris Mtwara University College - Kozi zote.

19. ArchBishop James University College - Kozi zote.

20. Mwalimu Julius K. Nyerere University of Science and Technology - Kozi zote.

21. Josiah Kibira University College - Kozi zote.

22. College of Business Education, Mwanza campus - Kozi zote za shahada na shahada na Shahada ya Uzamili.
Nyuzi mbili za aina hii zimepotea kiaina hapa JF elimu, na ukienda TCU website hakuna hizi habari. Kuna kila dalili kuwa taarifa hii ni ya kupikwa. Tusiwachanganye vijana.
 
Huo muda sina na hata ningekuwa nao nisingeweza kutekeleza ''ushauri''wako.Nakushauri achana na mambo ya UDSM na wala isikuumize sana kichwa.Jina lenyewe lilitakiwa kukutisha.Ninalojua kwa hakika ni kwamba watu wa aina yako mmekuwepo,mpo na na mtaendelea kuwepo.Mwisho,kwa idadi wa wanafunzi wa elimu ya Juu,haiwezekani wote tusome UDSM.Ridhikia tu na huko ulipo,acha maneno.Sisi hatujishughulishi kujua unasoma wapi na kinachoendelea huko,kwa hiyo usihangaike na sisi.
Siwezi kutishwa na chuo ambacho wanakodi part time lecturers kutoka chuoni kwangu, nabaki kuwashangaa tu mnavyojigamba
 
Usingekuwa umetishika,usingejisumbua kujibu hoja yangu!
Vinginevyo mjadala umefungwa.
Uwe na masomo mema huko ulipo;lakini kumbuka Prof.Ndalichako na TCU wanaendelea na msako wa wanafunzi na vyuo dhaifu.
Yakikuta usije kulalamika.
 
Nenda kakariri anatomy bna, maana mwalimu kafundisha vitu vya semester nzima kwa wiki mbili, pole sana
 
  • Thanks
Reactions: B2L
Nenda kakariri anatomy bna, maana mwalimu kafundisha vitu vya semester nzima kwa wiki mbili, pole sana

Kwa fikra dhaifu kama hizi ninaendelea kumpongeza Prof.Ndalichako kwa kuongeza vigezo vya kujiunga Chuo Kikuu.Aibu sana.Fedheha sana.
 
Kuisema UDSM hakufanyi hvo vyuo vyenu vingine viwe bora

Maana naona hadi mmeanza kubishana na TCU na Wizara ya afya
 
Sunday, July 24, 2016

TCU YAFUNGIA VYUO VINGINE KUDAHILI.

BAADA ya wiki jana kutangaza orodha ya vyuo ambavyo havitaruhusiwa kudahili Wanafunzi Kwa Mwaka wa Masomo 2016/17, leo Tume hiyo imetoa orodha nyingine ya vyuo ambavyo vimefungiwa kufanya udahili kutokana na sababu mbalimbali. Vyuo vilivyozuiwa kudahili ni pamoja na;

1. Katavi University of Agriculture - Kozi zote.

2. Ekernforde Tanga University - Kozi zote.

3. Hubert Kairuki Memorial University - Kozi ya udaktari.

4. Muslim University of Morogoro - Kozi ya uandishi wa habari na mawasiliano ya umma.

5. St. Joseph University In Tanzania (St.Mark's University College) - Kozi zote.

6. United African University of Tanzania - Kozi zote.

7. Tanzania International University - Kozi zote.

8. Kampala International University, Dar es Salaam College - Kozi ya Sayansi ya Kompyuta.

9. St. Joseph University College of Management and Commerce - Kozi zote.

10. Tumaini University, Dar es Salaam College - Kozi ya uandishi wa habari na mawasiliano ya umma.

12. Stefano Moshi Memorial University College - Kozi zote.

13. Teofilo Kisanji University, Tabora campus - Kozi zote.

14. University of Arusha, Musoma campus - Kozi zote.

15. Mount Meru University, Mwanza campus - Kozi zote.

16. University of Mbeya - Kozi zote.

17. Mzumbe University, Mwanza campus - Kozi zote.

18. Stella Maris Mtwara University College - Kozi zote.

19. ArchBishop James University College - Kozi zote.

20. Mwalimu Julius K. Nyerere University of Science and Technology - Kozi zote.

21. Josiah Kibira University College - Kozi zote.

22. College of Business Education, Mwanza campus - Kozi zote za shahada na shahada na Shahada ya Uzamili.
Mbona sion jipu la Open University? Hawa nao n tatizo kubwa quality iko poor sana.
 
nakelwa Sana na hisi siasa za Tz mpaka katila sekta nyeti kufungia IMTU na UDOM na kuiacha KAMPALA INTERNATIONAL UNIVERSITY WAKATI WOTE WANAJUA MATATIZO YAKE hii ni zaidi ya siasa pia lazima tujue "mzee akijamba katika kundi Lao wote hawaongei ila Kama Kuna mtoto ataa.biwa ndiye kajamba"

wamoja hulindana
 
Tumesoma maoni yako.Yameeleweka,lakini kwa sababu za wazi kabisa tumeamua kuyapuuza..
Aidha,udhaifu wako wa kifikra na kiuelewa ulioupata huko unapopajua usisingizie UDSM.Hata uandishi wako haufanani na mtu aliyesoma Post graduate pale.Inasikitisha sana.
Hehe, yan point umeilewa ukaamua uanze kucorrect spelling mistakes [emoji2] ...we bisha kataa ndo hivyo lakini...nmegraduate pale chuo chenu mnakiita chuo mama...hakuna jipya nliloliona..tena nmepata gpa kubwa ambayo hata undergraduate sikuipata..alafu mdai kufaulu udsm ni kazi. Wakati mitihani na test zenu zote past paper wanarudia kama zilivyo kasoro tarehe..yani mtu akikomaa na past paper tu yeye ni victory..
Nyie watoto wa udsm mko tayari kutetea chuo chenu hata kama nnajua watu wanachosema ni sahihi..
Elimu sio siasa..haiitaji ushabiki
 
(a) Umefanikiwa kuonyesha umesoma Post Graduate UDSM.Pongezi nyingi sana.
(b) Umeweza pia kuonyesha umepata GPA kubwa kuliko ulikotoka.Unastahili sifa.
(c) Hakuna mahali nimesema nimepata GPA ya ngapi wala nimesoma ama ninasoma ngazi gani UDSM.
(d) Hujui tofauti za kiumri kati yangu na wewe,lakini mara moja unaniita ''mtoto''!Na bado unataka uonekane ni mtu makini,mwenye elimu ya Post Graduate!Fedheha kubwa sana.Ungekuwa muungwana,ungesema umesoma wapi Shahada ya Kwanza ili urahisishe kazi ya kukujadili.
(e) Mwisho,mwenye hekima hajikwezi wala kujieleza bila sababu.Si GPA yako-wengine hatuwezi kuthibitisha ukweli wake-wala kusoma Post Graduate vilikuwa rellevant information.Baada ya maelezo hayo,mjadala umefungwa rasmi.
 
UDSM kama kawaida yao, wanaishi kwa nguvu ya jina, huwezi kufungia mkongwe kama IMTU ukaacha UDSM, pale UDSM wanaishi kwa party time lecturers from Bugando&Muhimbili, akipatikana mwalim wanapigwa pindi non stop asubuhi mpaka usiku, wiki moja anasepa wanakaa kusubiri mwingine, shame on you mmeleta lecturers from Russia kufundisha UDOM, mmejenga hospitali kubwa pale halafu mnafungia course isifundishwe mnaacha UDSM ambao hata hospitali hawana, sielewi kabisa, ningekua mimi mapema sana ningefungia UDSM nikachukua na hao waliopo nikapeleka UDOM huko wakapige shule...alaaaaa..!!!!!
Teh...
Pole sana Shangazi..!
 
Kama ni baba yake mbona amekatazwa kufanyia mazoezi pale tumia akili badala yake wanafunzi wa MD UDSM wanapelekwa mbeya referral hospital na pia pale yupo mama Emmy na Hortencia kwa upande waAnatomy wote wana masters ten a mmoja ana higher diploma tumia akili ma lecturer hakuna msiende na jina nenda na ubora ....... Wanaosoma medicine najua wanaelewa kua UDOM na IMTU ni Mara kumi ya hiyo UDSM yenu
Wewe ulifaa uwe WAZIRI wa ELIMU..!
hongera kijana..!
 
Povu veepe...!!, nimegusa penyewe eeh, tulia dawa iingie sasa ila udsm school of medicine hamna kitu.
NB: Nazielewa medical schools kuliko wewe na Ndalichako pia, ongea na wanafunzi usiskilize stori za jf.
Ooh...
Kuliko Ndalichako tena..!!!
Wewe ulifaa kabisa kuwa Waziri wa ELIMU piah...
Naomba mkuu wa nchi apite huku...
Unaweza pata SHAVU hata TCU mama..!
 
Nakubaliana na mleta mada... wamepeleka tena Architecture pale ilihali sifa za kufundiisha course hiyo hawana... kiufupi hakuna maandalizi....

Chuo cha UDSM nadhani kimebaki jina.... course nyingi ni outdated so wanatafuta namna watakayoweza kuvutia wanafunzi kuja UDSM
Endelea kujitekenya..!!!
 
Back
Top Bottom