UDSM kama kawaida yao, wanaishi kwa nguvu ya jina, huwezi kufungia mkongwe kama IMTU ukaacha UDSM, pale UDSM wanaishi kwa party time lecturers from Bugando&Muhimbili, akipatikana mwalim wanapigwa pindi non stop asubuhi mpaka usiku, wiki moja anasepa wanakaa kusubiri mwingine, shame on you mmeleta lecturers from Russia kufundisha UDOM, mmejenga hospitali kubwa pale halafu mnafungia course isifundishwe mnaacha UDSM ambao hata hospitali hawana, sielewi kabisa, ningekua mimi mapema sana ningefungia UDSM nikachukua na hao waliopo nikapeleka UDOM huko wakapige shule...alaaaaa..!!!!!