Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,694
Iweje jiji dogo kama la Mbeya waweze kuwa na usafiri hadi jioni lakini jiji kubwa kama Mwanza washindwe kuwa na usafiri wa uhakika wa kutoka Mwanza -Dar (jioni)
Sio wote tuna uwezo wa kukwea mwewe jamani. wekeni coaster jioni jamani walau mara 2 kwa wiki!
Wadau wa usafirishaji hii imekaaje? Leo mtu anakata tiketi anaambiwa hadi alhamisi kwenda Dar kisa usafiri ni mgumu inakuja kweli? Mbona hili jiji linamuingiliano sana na mikoa ya mbali? Wekeni gari jioni jamani! Watu wa Musoma na Sirari hawatasumbuka..
Watu tumestuck!👎