Kwa kumbukumbu zangu mimi tangia Mbatia achukue madaraka NCCR - Mageuzi sijawahi kuona anakua n urafiki wa chama cha upinzani chenye nguvu, Nikimaanisha hajawahi kuwa karibu na chama ambacho kinaichachafya CCM. Hii ipo evidenced na matukio kibao ambayo kayafanya against Wapinzani tangia alipochukua madaraka NCCR.
1. Alishawahi kuwawekea pingamizi wagombea wa CUF kule Pemba
2. Yeye ndiyo chanzo cha muunganiko wa upinzani ulioanza 2007 kuvunjika baada ya kuwa against na CHADEMA kule TARIME.
3. Sasa yupo karibu na CUF baada ya kuona CUF wapo karibu na CCM
4. Amewakataza wabunge wake wasiwe wabishi bungeni means wawe friendly kwa government.
5. Pia now anatumia advantage za chokochoko za CHADEMA thats why wengi waliotoka CHADEMA wameenda NCCR.
Kwa sababu hizo anaonekana yupo kwa ajili kubomoa upinzani siyo kujenga thats why wengine wanamuita kibaraka wa CCM.
Ni mtazamo tu!