Kwanini Mbatia hapatani na kila chama cha upinzani chenye nguvu?

Jamesy Mbata hajawahi kuwa chama cha uinzani hata siku moja. Yeye ni Sisiemu damu damu na kila unapoona yuko kwenye chama cha upinzani ni kwamba yuko kazini kusababisha chokochoko kwa manufaa ya sisiemu na kwamba inawezekana kabisa mshahara wake kwa kazi ukawa mara dufu ya daktari bingwa wa hapa tizedi.
 
Tatizo kubwa lipo kwa Kikwete.
Mbatia ameteuliwa kwa amri ya Riz1 Jk angefanyaje?
Kwa Kikwete iko siku tutashuhudia chizi akiteuliwa waziri.
 
Je mlisha wahi kumsikia anaogelea suala la EPA? yeye na Mdogo wake mbuge wa africa Mashariki yule dada wa NCCR mageuzi wanamteteta sana Mkapa Pamoja na Mramba. wao walinufaika kwa njia fulani je mbatai amtuzana hazina marehemu wa CCM ilkuwaje nao???

Mkuu wewe kila post yako lazima useme Mbatia na dada yake wote wabunge, nadhani Mbatia sio wa kwanza kuwa mbunge yeye pamoja na dada yake...hata Tundu Lissu yeye na dada yake wote wabunge wa Chadema, Ndesamburo yeye na mtoto wake wote ni wabunge wa Chadema.
 
Jamani msisahau kuwa hii posti ni ya 24/11/2010, kwa hiyo kuteuliwa kwake jana kumettoa jibu kwa shaka ya muda mrefu. Namfahamu Mbatia tangu enzi za NCCR ya Mrema, alikuwa karibu sana na Daniel Nsanzugwanko (nadhani mnajua Daniel aliko hivi sasa!) Kisiasa hana tofauti sana na Jussa, kimaumbile ni Shoga aliethibitika (hata Sioi wa Arumeru ana afadhali)
 
Huyu jamaa haelewki, Kitendo cha Kutaka Kwenda Mahakamani kumpinga Halima pale Kawe kimenisikitisha sana, Mgombea wa CCM tu Hana hata hali halafu yeye kubwa zima linalalamika kwa kadada kama HM, Shame on you Mbatiwa.

mhhhh...hii thread naogopa kuchangia maana akitajwa Mbatia mi niko very emotional nisije pewa ban bure....ila Mbatia si mpinzani na hajawahi kuwa mpinzani...
 
Sidhani kama baba amemchagua kwa hiari yake kutoka moyoni ..hili kama si shinikizo la baba mkubwa cameroon sidhani natia shaka sana maana si muda baba cameroon alisema kama hamtaki kishare second name yangu basi hakuna misaada.. Usikute huyu ndo katolewa kama sample ya kuwakilisha Cameoon..but any way who cares! Akapakuliwe chakula tu akishiba atawaachia na wengine..

Hivi ile issue ya kameruni jamaa bado ana practice? Kweli mwendawazimu haponi! Anapata nafuu tu. Kama mkuu wa kaya bado anapata shinikizo kutoka london na serikali ilivyoishiwa, basi atakuwa amemchagua jamaa ili kum"please" ba'mkubwa.
 
Kwa kumbukumbu zangu mimi tangia Mbatia achukue madaraka NCCR - Mageuzi sijawahi kuona anakua n urafiki wa chama cha upinzani chenye nguvu, Nikimaanisha hajawahi kuwa karibu na chama ambacho kinaichachafya CCM. Hii ipo evidenced na matukio kibao ambayo kayafanya against Wapinzani tangia alipochukua madaraka NCCR.
1. Alishawahi kuwawekea pingamizi wagombea wa CUF kule Pemba
2. Yeye ndiyo chanzo cha muunganiko wa upinzani ulioanza 2007 kuvunjika baada ya kuwa against na CHADEMA kule TARIME.
3. Sasa yupo karibu na CUF baada ya kuona CUF wapo karibu na CCM
4. Amewakataza wabunge wake wasiwe wabishi bungeni means wawe friendly kwa government.
5. Pia now anatumia advantage za chokochoko za CHADEMA thats why wengi waliotoka CHADEMA wameenda NCCR.
Kwa sababu hizo anaonekana yupo kwa ajili kubomoa upinzani siyo kujenga thats why wengine wanamuita kibaraka wa CCM.
Ni mtazamo tu!
N a wewe kwanini umeleta thread hii leo???????????au ni wivu tu?
 
Mkuu wewe kila post yako lazima useme Mbatia na dada yake wote wabunge, nadhani Mbatia sio wa kwanza kuwa mbunge yeye pamoja na dada yake...hata Tundu Lissu yeye na dada yake wote wabunge wa Chadema, Ndesamburo yeye na mtoto wake wote ni wabunge wa Chadema.

zitto na dada yake mhonga pia...kuna watu wanayo macho lakini wanajifanya eti hawaoni
 
Tatizo kubwa lipo kwa Kikwete.
Mbatia ameteuliwa kwa amri ya Riz1 Jk angefanyaje?
Kwa Kikwete iko siku tutashuhudia chizi akiteuliwa waziri.

Na tutakapouliza mbona umetuchagulia chizi sasa?! watasema, ndo dhana ya 'uwakilishi mpana' ili 'kuharakisha' maendeleo!!
Maana naona kwa sasa wanaangalia zaid namna ya kuridhisha umma kwa kuweka 'wawakilishi wa makundi' kuliko kuangalia tija inayoweza kupatikana kwa uwepo wa hao 'wawakilishi wateuliwa' ndan ya mfumo ule ule.
Lakini ipo siku inakuja...... tena si mbali:frusty::frusty:!!
 
Mkuu wewe kila post yako lazima useme Mbatia na dada yake wote wabunge, nadhani Mbatia sio wa kwanza kuwa mbunge yeye pamoja na dada yake...hata Tundu Lissu yeye na dada yake wote wabunge wa Chadema, Ndesamburo yeye na mtoto wake wote ni wabunge wa Chadema.

vp suala lake na Mrema mmeliweka sawa? pana tuhuma Mrema alizitoa kuhusu Mbatia yale masuala ya Kikamerun wote wakiwa wabunge, inaakuwaje watawala sababu Kamerun kawaambia msifiche? Pia Kamerun amewaona wanafiki kwa kuwa mwajifanya hampend kumbe ndo waraf wakubwa. Pana wazir ndo kama hivyo tena, mwapenda kula kitu roho zapenda bas acheni unafiki kuwen wazi.
 
Naona wakuu leo mumemuamkia vilivyo huyu nduguye CAMEROON! Kikwete ni mjanja sana, namkubali kwa akili aliyoicheza kwa wafadhili wake!
Otherwise bajeti ya mwaka huu ingegonga mwamba iwapo asingemteua huyu shoga! C mnajua wakuu mashariti aliyopewa wafadhili. Big up sana Mkuu wa kaya pale Magogoni!
 
Leo Mwamsakama Mbatia kwa sababu kateuliwa UBUNGE??? Majuzi mlimsifia alipofuta kesi dihidi ya Halima Mdee. Nyie CDM mbona mna usahaulifu wa panzi!!
 
kwa kumbukumbu zangu mimi tangia mbatia achukue madaraka nccr - mageuzi sijawahi kuona anakua n urafiki wa chama cha upinzani chenye nguvu, nikimaanisha hajawahi kuwa karibu na chama ambacho kinaichachafya ccm. Hii ipo evidenced na matukio kibao ambayo kayafanya against wapinzani tangia alipochukua madaraka nccr.
1. Alishawahi kuwawekea pingamizi wagombea wa cuf kule pemba
2. Yeye ndiyo chanzo cha muunganiko wa upinzani ulioanza 2007 kuvunjika baada ya kuwa against na chadema kule tarime.
3. Sasa yupo karibu na cuf baada ya kuona cuf wapo karibu na ccm
4. Amewakataza wabunge wake wasiwe wabishi bungeni means wawe friendly kwa government.
5. Pia now anatumia advantage za chokochoko za chadema thats why wengi waliotoka chadema wameenda nccr.
Kwa sababu hizo anaonekana yupo kwa ajili kubomoa upinzani siyo kujenga thats why wengine wanamuita kibaraka wa ccm.
Ni mtazamo tu!
bwabwa!!!
 
Back
Top Bottom