Kwanini Mawakala wa Vyama Malawi Wasipewe Nakala za Matokeo ya Kituo Husika Kama Uchaguzi Ni Huru na Tume ya Uchaguzi ni Huru Pia?

SankaraBoukaka

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2019
Posts
2,603
Reaction score
4,028
Kwakuwa Tume ya Uchaguzi ya watu wa Malawi ni Huru , basi hakuna sababu ya kuzuia mawakala kupata nakala ya matokeo waliyoshuhudia.
Kunyima nakala ni uhuni, uwazi unahitaji kila chama kuthibitisha takwimu... Tume Huru haipaswi kuogopa ushahidi, kwani ukweli hudumu kupitia uwazi na usawa.
Ila shida inakuja hayo Matokeo yatakuwa ya Kura Halisi au pamoja na zile zilizotoka NIDA ya Malawi?

"Mawakala wa vyama hawaruhusiwi kuingia na simu za mkononi, kamera au vifaa vyovyote vya kurekodia katika vituo vya kupigia au kuhesabia kura."
 
Hakuna sehemu uhuru hauna mipaka, huo uhuru mnaoutaka ni uhuru wa aina gani lazima vigezo na masharti yazingatiwe
 
Back
Top Bottom