Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 75,015
- 156,374
Limeungua soko la Kariakoo, waziri mkuu akaunda tume, hadi leo wahanga hawajulishwa, wala umma haujajulishwa ni nini kilichopo ndani ya ripoti hizo.
Sio tu Kariakoo, bali masoko yote yaliyowahi kuungua hakujawahi kuwa na majibu ya wazi kwa ripoti za uchunguzi.
Ukimya wa serikali unasababishwa na nini? Je wananchi hatuna haki ya kupata taarifa?
Pia soma: Soko la Kariakoo lateketea kwa moto