Kwanini Tume huru ya Kenya inapata kigugumiz kufungua servers za matokeo ya uchaguzi?

Artifact Collector

JF-Expert Member
Mar 7, 2019
6,539
10,007
KENYA HOLLOW DEMOCRACY

Baada ya Raila kuomba servers za matokeo ya urais ziweke wazi ili ijulikane wazi kumetokea kigugumizi kikubwa kwenye tume ya uchaguzi

Swali la kujiuliza tume ya uchaguzi kenya wanaogopa nin kufungua servers kama ni kweli ruto alishinda au wanasubiria nini

Mim nilikuw ni mtu nayeamin na kuisifia katiba ya kenya ila nimegundua katiba ya kenya inamapungufu mengi sana
  1. Corruption/rushwa ukiangalia hiki kigugumiz cha tume ya uchaguzi kuweka server open ni wazi Ruto aliiba uchaguzi wanatakiwa waprove kwa kuweka servers wazi na sio vinginevyo
  2. Ukabila ukiangalia nafasi Ruto alizoteua majority ni wakalenjin alafu wakikuyu sasa kwa nchi ambao ina makabila mengi kwanin katiba haijaongelea swala la uteuzi ambao uko inclusive sababu alichofanya na anachofanya ruto ni kuendeleza ile karata ya ukabila
Tuwe wa kweli Tanzania hatuna kitu kikubwa cha kujifunza kutoka kenya sababu katiba yao bado ina mapungufu mengi na bado yale matatizo sugu imeshindwa kuya-address

Ila Ruto na yeye yuko bize kumshukuru Mungu kumbe aliiba kura ila viongozi wa Afrika ni wanafki sana wanatumia dini kuficha maovu yao
 
Waacheni wakenya wako mbali sana. Sis tunaoelekeshwa na misisiemu kama midoli
 
Thubutu, hawatafanya hilo kosa.... Raila angetawazwa raisi wa Kenya kesho asubuhi, but nasikia yule kamanda m-Venezuela aliyempa uraisi Ruto (Jose Camargo) katua tena Nairobi, nadhani safari hii kaja kufuta ushahidi, Raila kuwa makini sana.... wa-Venezuela wamekuja ku-fomart IEBC server.
 
KENYA HOLLOW DEMOCRACY

Baada ya Raila kuomba servers za matokeo ya urais ziweke wazi ili ijulikane wazi kumetokea kigugumizi kikubwa kwenye tume ya uchaguzi

Swali la kujiuliza tume ya uchaguzi kenya wanaogopa nin kufungua servers kama ni kweli ruto alishinda au wanasubiria nini

Mim nilikuw ni mtu nayeamin na kuisifia katiba ya kenya ila nimegundua katiba ya kenya inamapungufu mengi sana
  1. Corruption/rushwa ukiangalia hiki kigugumiz cha tume ya uchaguzi kuweka server open ni wazi Ruto aliiba uchaguzi wanatakiwa waprove kwa kuweka servers wazi na sio vinginevyo
  2. Ukabila ukiangalia nafasi Ruto alizoteua majority ni wakalenjin alafu wakikuyu sasa kwa nchi ambao ina makabila mengi kwanin katiba haijaongelea swala la uteuzi ambao uko inclusive sababu alichofanya na anachofanya ruto ni kuendeleza ile karata ya ukabila
Tuwe wa kweli Tanzania hatuna kitu kikubwa cha kujifunza kutoka kenya sababu katiba yao bado ina mapungufu mengi na bado yale matatizo sugu imeshindwa kuya-address

Ila Ruto na yeye yuko bize kumshukuru Mungu kumbe aliiba kura ila viongozi wa Afrika ni wanafki sana wanatumia dini kuficha maovu yao
Hakuna kigugumizi,isipokuwa wanasubiriwa wavenezuela ili waje wasaidie kufungua.Kenya hakuna mtaalamu wa kuweza kuzifungua.
 
Tuwe wa kweli Tanzania hatuna kitu kikubwa cha kujifunza kutoka kenya sababu katiba yao bado ina mapungufu mengi na bado yale matatizo sugu imeshindwa kuya-address
Tanzania hata kupata matokeo ya kura kwenye runinga na internet ni kizungumkuti sasa iweje mambo ya server
 
FB_IMG_1681819094602.jpg
 
Back
Top Bottom