Kwanini matokeo ya Tume ya Uchunguzi wa Kuungua Masoko huwa hayawekwi wazi?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,954
156,116
Limeungua soko la Kariakoo, waziri mkuu akaunda tume, hadi leo wahanga hawajulishwa, wala umma haujajulishwa ni nini kilichopo ndani ya ripoti hizo.

Sio tu Kariakoo, bali masoko yote yaliyowahi kuungua hakujawahi kuwa na majibu ya wazi kwa ripoti za uchunguzi.

Ukimya wa serikali unasababishwa na nini? Je wananchi hatuna haki ya kupata taarifa?

Pia soma: Soko la Kariakoo lateketea kwa moto
 
Limeungua soko la Kariakoo, waziri mkuu akaunda tume, hadi leo wahanga hawajulishwa, wala umma haujajulishwa ni nini kilichopo ndani ya ripoti hizo.

Sio tu Kariakoo, bali masoko yote yaliyowahi kuungua hakujawahi kuwa na majibu ya wazi kwa ripoti za uchunguzi.

Ukimya wa serikali unasababishwa na nini? Je wananchi hatuna haki ya kupata taarifa?
Angalia nini kinaendelea katika masoko hayo ndo utajua, majibu huwezi kuyapata humu Kama vyombo husika tu hawajayatoa!
Majibu utayapata kwa kuangalia picha halisi.
 
Wanasema hawapangiwi hiyo ni siri ya sirikali bwashee
Limeungua soko la Kariakoo, waziri mkuu akaunda tume, hadi leo wahanga hawajulishwa, wala umma haujajulishwa ni nini kilichopo ndani ya ripoti hizo.

Sio tu Kariakoo, bali masoko yote yaliyowahi kuungua hakujawahi kuwa na majibu ya wazi kwa ripoti za uchunguzi.

Ukimya wa serikali unasababishwa na nini? Je wananchi hatuna haki ya kupata taarifa?
 
Mpaka jambo liwekwe wazi ujue kuna la kuweka wazi. Sasa kama dhamira ya kutokea kwa tukio imetimia unataka waweke wazi nini.

Ikitokea ukafanya fumigation ndani ya nyumba yake, je mfanya fumigation huwa anakupa matokeo ya kwanini panya na mende wamekufa? Kikubwa ni kuwa dhamira ya kuua wadudu imetimia, anaondoka zake. Kwa wanaolewa washaelewa.
 
Kwa hiyo tume inayoteuliwa kuchunguza inakuwa imeteuliwa kabla soko halijaungua, ambapo kazi yao ya kwanza ni kulianzisha, na kazi ya pili ni kuondoa ushahidi, au siyo
 
Kwasababu wanasiasa ni sehemu ya tatizo huunguza hayo masoko makusudi kwa interest zao.

Hilo nimelijua baada ya kuona jana walioamua kujenga vibanda vyao upya kule Karume usiku polisi wakaenda kuwavunjia tena na kuweka ulinzi mkali watu wasisogee.
 
Kwa sababu huwa hakuna uchunguzi bali ni uongo wa kupiga hela tu
Kuna mtaalamu kweli wa kujua moto ulianza na njiti ya kibiriti au ni umeme kwetu?
Au kipisi cha sigara alichotupa mteja?

Hii ikija kufika huko basi kweli tutajivuna sana
 
Back
Top Bottom