Kwanini matajiri wengi wakubwa Tanzania ni Waislamu na sio Wakristo ambao asili yao ni kutoka kwa matajiri wa dunia?

Status
Not open for further replies.
Matunduizi chukua hii point afu ufunge uzi wako hapa, usiendelee kutujazia severs za simu.

"Jiwekeeni hazina zenu mbinguni ambapo nondo hazitaota kutu kamwe"
Kuna watu hua wanaridhika mapema na kujiona wamesha win maisha,na kuna watu ambao wanajua kua maisha ni safari na pesa haina limit,

Huo utofauti ndio unafanya watu fulani wewe matajiri na wengine masikini,

Sijataja mtu wala dini wala kabila lolote.
 
hapa bado wanatengeneza tatzo maana tutatoka kwenye utaifa ;mwarabu,mhindi n.k then tutahamia kwny ukabila,,,tunahtaji matajiri wa kitanzania na sio wa kisukuma
Tunajua hayo ndio maana tumeanza kutengeneza matajiri wa kisukuma.
Tumeanza na kuwapa uwaziri, ukuu wa majeshi, mikoa, ubunge wa kuteuliwa na ubalozi
 
Matunduizi chukua hii point afu ufunge uzi wako hapa, usiendelee kutujazia severs za simu.

"Jiwekeeni hazina zenu mbinguni ambapo nondo hazitaota kutu kamwe"
hahahaha
Hilo fungu linahusu Mbinguni mkuu. Baba wa Imani Ibra alikuwa bilionea lkn alikuwa na matrilioni ya hazina mbinguni hadi sisi tunamuiga.

Pia hata Yesu alisaidiwa Kaburi na mfuasi wake tajiri Yusufu wa armathaya. Hawa wakina sijui yakobo, Petro, Yohana wote walikuwa wameshalala mbele kwa sababu walitafsiri vibaya hiyo statement kama wewe

Shida sio hazina, shida ni kipaumbele.
 
Nitakupa sababu moja kubwa sana na ukiweza, ifanyie utafiti.
"Waislam wanajua na wanafuata sana taratibu za kiroho".
1. Kumtolea Mungu zaka, wapo vizuri
2. Kusaidia wasiojiweza, wapo vizuri


Wakristo wengi ni wabinafsi sana kwa Muumba wao lakini na kwa binadamu wanaotuzunguka. Na hivyo tunapishana na Baraka ambazo Mungu alituwekea.
Mungu alipombariki Ibrahimu, alimpa baraka za aina mbili. Moja ni Mbaraka wake na ya pili ilikuwa ni Mbaraka wa wengine.
Na hata sasa, huwa Mungu anatuamini pia katika kutupa hizo baraka, lakini kwa sababu ya ubinafsi wetu, huwa tunashikilia hata vile vya wengine na hivyo hutokea Mungu kuachana nasi.

WaKristo tubadilike ili agano la Mungu liishi ndani yetu.

Naomba kusema hili, mimi ni MKristo.
Mkuu nimekuelewa.
Wakristo ndio mabingwa wa kuhamasisha utajiri lkn hakuna mkristo anajitolea hata 30 % ya mamilioninyake kwa Mungu.
Ni wachache sana alafu wakitoa wanataka kutawala hadi wachungaji na kanisa lote.

Ingawa natambua kuna waaminifu wachache
 
elimu waliyopewa ni ya ku "maintain status quo" na sio kuwa "self realized"
ukifika tinde kuna waarabu hadi fundi viatu huko ndanindani.
Nadhani uarabu wao sioni kama ni sababu, maana kuna waarabu wengi wanashida tu.

Kwa nini Wakristo mfano wa Bukoba huko ambako elimu ilifika siku nyingi wasiwazidi hao waarabu. Maana sisi tunadirct connection na Ulaya kwa matajiri na mabeberu wao ni middle east tu ambako wengi ni choka mbaya vilevile
 
ila pia usisahau kujiuliza, kwanini watanzania weusi wenye kipato cha kati(middle income tanzanians) wengi wao ni wakristo na wa kipato cha chini wengi wao ni waislamu.

haihitaji tafiti za kisomi kulijua hilo.
Ulifanyia wapi utafiti wako? Au mpaka watu waanze ku flex na EVOQUE pamoja na ROLEX ndo waonekane matajiri? Ila all in all utajiri una definition tofauti kwa kila mtu.
 
Ndipo mumshauri.
MEKO kahakikisha wachagga wanafukuzwa CRB. BANDARI, TANESCO, BOT na sehemu nyeti kama TISS,kwenye ukuu wa majeshi pia.
Ameshindwa kuelewa vijana wa kilimanjaro ni ma fighter, wanatafuta maisha popote,wapo duniani kote, mkoa unaongoza kwa kuingiza fedha za kigeni a watoto wanatumia wazazi wao fedha.
Mkoa una waomi wengi kama vile bukoba na Mbeya.

cha kushangaza JIWE anataka kuwakomoa watu haawa ndani ya miaka yake 5, never!
mkuu haya majungu haya. maana yanahitaji uwe Tiss au ulishiriki hiyo michongo ya kuwatimua ili ujimwambafai hadharani na kauli hizi.

Ila pia kama kiongozi, yeye ajue anachokifanya na kitafuta wasaidizi anoona wanamfaa ili kutimiza malengo, hata akitaka Kukodi wachina wamsaidie kama Pinochet alivyokodi wasomi wa uchumi kutoka Chicago ni yeye tu.
Kibaya ni kutuzingua na kushindwa kutimiza lengo.

Turudi kwenye mada mkuu, Biashara
 
elimu waliyopewa ni ya ku "maintain status quo" na sio kuwa "self realized"
mkuu mbona wazungu ndio wanasoma hayahaya, na yametoka hukohuko.
Hata wabongo wakienda kusoma ulaya wakirudi hawana jipya. wanagombania ajira tu, hawezi hata biashara ya pipi
 
ila pia usisahau kujiuliza, kwanini watanzania weusi wenye kipato cha kati(middle income tanzanians) wengi wao ni wakristo na wa kipato cha chini wengi wao ni waislamu.

haihitaji tafiti za kisomi kulijua hilo.
Wengi wao wameibia serikali
 
nakubaliana na ww, shule inatupotezea mda lakn nmekuja kugundua kwamba wazaz huwa wanasisitiza shule kwa sababu wanaamini ndio njia pekee ya kupata maisha mazuri,, na hili jambo liko kimfumo zaid
Shule zimetuchelewesha sana,na zitaendelea kutuchelewesha,kuna jamaa zangu nilioanza nao primary walishindwa kuendelea na shule za kati na vyuo vikuu sababu ya uwezo mdogo wa nyumbani,saiv ni matajiri ukilinganisha na mimi niliyepotezwa na wazazi wangu kwa kufikiri wananipenda,kumbe ndio wananiangamiza,nimeishia kuajiriwa lkn maisha yangu ni ya kawaida sana nikijiringanisha na hawa miamba,i hate schools,kamwe kupitia shule kwa Africa ni nadra sana kufikia ndoto za utajiri,mia kwa mmoja!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom