Uchaguzi 2020 Kwanini Marekani, Umoja wa Ulaya wanamuunga mkono Tundu Lissu? Kosa la Magufuli ni lipi?

kwenye uchaguzi hata bila NEC huru Magufuli anaweza asichomoke.

mwanzoni nilikuwa siamini but sasa hivi ninaanza kuuona uwezekano wa Lissu kuingia Magogoni October.
na Lissu anatamka kwa kujiamini kabisa "uchaguzi huu tumeshinda!".
Hata Lowasa alikuwa kama Lisu tena akawambia pigine kura kazi ya kuzilinda niachieni mimi. Nafikiri unajua kilichowakuta.
.
Lisu hafiki popote na binafsi naona wanasema Lisu atakuwa raia ni wapumbavu.
 

Unabweka tu kwa sababu huwezi kuandika haya wakati ili uishi ni lazima ulambe ass za wazungu!Kama huwezi kujitegemea kiuchumi na kitechnologia you don't have sovereignty.Kwa kifupi sana ni kwamba umeolewa na wazungu na unatumikia ndoa kiroho safi kabisa
 
Hivi umesoma Hadi la ngapi, Rudi shule akili ikomae vizuri. Naona unatoka kwenye ujinga spidi inaelekea kwenye upumbavu
 
Sababu kubwa ya hao mabeberu ya kumpenda Lissu na ku
Mishale inatoka kila kona!View attachment 1587832
He has no concrete and reasonable arguments, what he does is reacting to petty issues like summons directed to Lissu by relevant authorities.
 
Hii ni message tolea jipya. Endeleeni!
 
SOMA WARAKA WAO WANAMUUNGA LISSU WAPI...? SEMA UNATAKA KUSEMAJE MPUUZI WEWE.
 
Sio siri ccm muda mwingi imekuwa ikichezea kura za wananchi.

Ni dhahiri jitihada za Lisu zitarejesha heshima ktk sanduku la kura.

Lengo lao ni kuhakikisha shida ya uchaguzi Tanzania ijulikane. Shida ni nini hasa ni kweli ccm inadhinda ki uhalali au inaiba?

Naona pia wanataka democrasia ya nchi i machue
 
Wewe kwa uelewa na nafsi yako unaona wanayofanya NEC ,ccm na vyombo vya dola ni haki?
Kwa nini Lissu asiongee na "wanaomsimamisha" barabarani iwe kosa ila kwa magufuli/samia sawa?
Tuwe wakweli!
 
Ubabe
 
Tatizo la Magufuli ni udikteta. Utakuwa unalijua hili tangu 2015 na kabla hajawa Rais.
 
Hahahaa ivi Magu akipewa airtime na CNN au Foxnews atatumia lugha gani kujibu maswali wakati hata mdahalo wa ndani na Lissu anaugopa kama ukoma?
Anatumia lugha ya Kiswahili, wew ulitaka atumie nini?
Kujua kiingereza hakikufanyi ujue uongozi au ujue kila kitu mzee
Acha kukumbatia lugha za watu ili hali na wew una lugha yako
 
Nawaangalia Halafu Nasema Hii Bhaghoshaa
πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜€πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜„
 
yani umekaa umeandika maneno yote haya sijaona point ata moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…