Uchaguzi 2020 Kwanini Marekani, Umoja wa Ulaya wanamuunga mkono Tundu Lissu? Kosa la Magufuli ni lipi?

Ni dhahiri hawa wazungu sasa wanaonyesha sura zao kamili kwa matamko yanayoendelea

Wanatishia wapo makini kwa jicho kubwa kuwa kuna ukandamizaji wa haki za binadamu na uhuru Tanzania wakilenga serikali na vyombo vya ulinzi na usalama

Mbinu hizi lazima tutazikwepa tu,
Mtego wao wa kwanza walilenga lissu asumbuliwe pale airport halafu wangetupiga vikwazo vya hakuna kuuza wala kuagiza vifaa tiba toka ulaya hivyo madawa yangekosekana mahosipitali na watu kufa ,Tukawashinda

Sasa Lissu anaitwa polisi na IGP ili wapate sababu lissu akishindwa waseme polisi Tanzania wametumika kuharibu uchaguzi hivyo IGP sirro na Kundi lake watafutwe na kufunguliwa mashtaka ya jinai huko ICC ,Afande Sirro ni Mzoefu wa medani najua huu mtego ataukwepa vizuri sana na hata barua imeandikwa kuelekea kwa Chama cha chadema na Sio Tundu lissu kama mgombea ,
Tundu lissu analazimisha barua zielekezwe kwake ili baadae ageuke kuwa Polisi na Nec wanafanya Personal attack kuharibu uchaguzi

Hawa mabeberu ni dhahiri wana maslahi na Lissu zaidi kuliko JPM kwanini?

Ndege za Bombadier na Boeing tumenunua kwao kwa cash hawakutupongeza wala kutusifia

Wawekezaji kwenye madini ni ndugu zao toka huko hawatupongezi wala kutusifia

Pesa zao tunazitumia vizuri na tumejenga miundombinu na kubandika mabango yao ya USAID au JAICA hawatupongezi wala kutusifia

Kuna mambo yanajificha nyuma ya pazia ni kama hawa watu wanasubiri sababu ya kutuwekea vikwazo tu

Hawa wazungu walipanga kutuwekea vikwazo ila sasa sababu wanaitafuta kupitia uchaguzi huu wa sasa

Wazungu wakishajua huna tekinolojia au utaalamu vikwazo ndio adhabu yao kwani wanajua hutamaliza miezi mitatu bila maisha kuanza kubadilika kwenye vifaa tiba na vipuli vya machine

Kwa umoja wetu tutashinda na JPM ni chaguo la kweli

Ile nguvu ya Lissu na maelfu ya wale wafuasi wake kuna jambo nyuma ya pazia

Nasikia wanauwezo wa kuwapa taarifa wafuasi wao wote kwa wakati mmoja huku wanatudanganya wanatumia whatssapp

Whatasapp gani ya kufanya watu wajaze viwanja vyenu kama vile kule marangu,Tunduma na kote mlikopita
Darasa la saba humu mnatupotezea mda, sio mahali penu
 
Mnavyowanyanyasa wapinzani mnaona sawa kabisa. Sasa mnaanza kulia kwa kuambiwa tu ukweli
 
Yametimia sasa,Polisi wamekwepa mtego
Sasa Mkuu mbona mnajitekenya na kucheka wenyewe. Sio NEC wala sio Msajili aliyepeleka barua na bodaboda.

Kama upo karibu na watu wa koridoni itakuwa ushaelewa kuwa hali ni mbaya
 
Kama mi ninavyoshangaa kwa nin NEC, msajili na polis wanaipendelea ccm kiasi hicho? Kwa nini wasikae katikati kuachia umma uamue mgombea wanayemtaka?
 
Haijawahi tokea katika Afrika hii..Kiongozi ambaye anaipeleka nchi yake katika maendeleo na kukua kiuchumi kupendwa na Mzungu hata siku moja.

Ndio maana ikitokea mpinzani yeyote atataka kugombea katika nchi husika lazima hawa wazungu wamshike mkono huyo kiongozi ili amuangushe yule raisi atakae inyanyua nchi ya kiafrika.

Ndicho kinachoenda kutokea,watamuinua T.L kwa njia yeyote ili J.P.M atoke katika hiki kiti cha Urais.Ili hawa wazungu wapate njia ya kuvuna mali na akili zetu.

N:B Hakuna Mzungu anayependa maendeleo ya nchi za Africa,kikubwa wanataka kuendelea kututawala tuwe chini yao tu.
 
Wanachofanya Polisi na Tume ni kutaka kumtoa Lissu kwenye reli kuhusu jukumu lake la kuendesha mikutano, kimsingi hakuna mashtaka yoyote.
 
Ni dhahiri hawa wazungu sasa wanaonyesha sura zao kamili kwa matamko yanayoendelea

Wanatishia wapo makini kwa jicho kubwa kuwa kuna ukandamizaji wa haki za binadamu na uhuru Tanzania wakilenga serikali na vyombo vya ulinzi na usalama

Mbinu hizi lazima tutazikwepa tu,
Mtego wao wa kwanza walilenga lissu asumbuliwe pale airport halafu wangetupiga vikwazo vya hakuna kuuza wala kuagiza vifaa tiba toka ulaya hivyo madawa yangekosekana mahosipitali na watu kufa ,Tukawashinda

Sasa Lissu anaitwa polisi na IGP ili wapate sababu lissu akishindwa waseme polisi Tanzania wametumika kuharibu uchaguzi hivyo IGP sirro na Kundi lake watafutwe na kufunguliwa mashtaka ya jinai huko ICC ,Afande Sirro ni Mzoefu wa medani najua huu mtego ataukwepa vizuri sana na hata barua imeandikwa kuelekea kwa Chama cha chadema na Sio Tundu lissu kama mgombea ,
Tundu lissu analazimisha barua zielekezwe kwake ili baadae ageuke kuwa Polisi na Nec wanafanya Personal attack kuharibu uchaguzi

Hawa mabeberu ni dhahiri wana maslahi na Lissu zaidi kuliko JPM kwanini?

Ndege za Bombadier na Boeing tumenunua kwao kwa cash hawakutupongeza wala kutusifia

Wawekezaji kwenye madini ni ndugu zao toka huko hawatupongezi wala kutusifia

Pesa zao tunazitumia vizuri na tumejenga miundombinu na kubandika mabango yao ya USAID au JAICA hawatupongezi wala kutusifia

Kuna mambo yanajificha nyuma ya pazia ni kama hawa watu wanasubiri sababu ya kutuwekea vikwazo tu

Hawa wazungu walipanga kutuwekea vikwazo ila sasa sababu wanaitafuta kupitia uchaguzi huu wa sasa

Wazungu wakishajua huna tekinolojia au utaalamu vikwazo ndio adhabu yao kwani wanajua hutamaliza miezi mitatu bila maisha kuanza kubadilika kwenye vifaa tiba na vipuli vya machine

Kwa umoja wetu tutashinda na JPM ni chaguo la kweli

Ile nguvu ya Lissu na maelfu ya wale wafuasi wake kuna jambo nyuma ya pazia

Nasikia wanauwezo wa kuwapa taarifa wafuasi wao wote kwa wakati mmoja huku wanatudanganya wanatumia whatssapp

Whatasapp gani ya kufanya watu wajaze viwanja vyenu kama vile kule marangu,Tunduma na kote mlikopita
Hiyo taarifa ya Lissu kuungwa mkono na Marekani na Ulaya umeitoa wapi? Ufipa?
 
Ukiona jirani anachukizwa na ukatili ndani ya familia yako jua,ukatili wako umevuka viwango vya kawaida.
 
Mavi yanagonga chupi dadeq zenu
 
Acha kukuza mambo kuliko uhalisia, kama USA ingemuunga mkono tundu wasingehitaji kujificha popote, hata ungeshamuona kwenye mainstream media zao kama CNN &Co. akihojiwa na kupewa airtime, ni lini ulimuona tundu akipewa airtime na cnn au hata al jazeera tu?
Niwekee article moja hapa ya mainstream media ya USA ikimuongelea tundu lisu, ...
Fisiem mwenzako huyo mshaanza kupoteana
 
Ni dhahiri hawa wazungu sasa wanaonyesha sura zao kamili kwa matamko yanayoendelea

Wanatishia wapo makini kwa jicho kubwa kuwa kuna ukandamizaji wa haki za binadamu na uhuru Tanzania wakilenga serikali na vyombo vya ulinzi na usalama

Mbinu hizi lazima tutazikwepa tu,
Mtego wao wa kwanza walilenga lissu asumbuliwe pale airport halafu wangetupiga vikwazo vya hakuna kuuza wala kuagiza vifaa tiba toka ulaya hivyo madawa yangekosekana mahosipitali na watu kufa ,Tukawashinda

Sasa Lissu anaitwa polisi na IGP ili wapate sababu lissu akishindwa waseme polisi Tanzania wametumika kuharibu uchaguzi hivyo IGP sirro na Kundi lake watafutwe na kufunguliwa mashtaka ya jinai huko ICC ,Afande Sirro ni Mzoefu wa medani najua huu mtego ataukwepa vizuri sana na hata barua imeandikwa kuelekea kwa Chama cha chadema na Sio Tundu lissu kama mgombea ,
Tundu lissu analazimisha barua zielekezwe kwake ili baadae ageuke kuwa Polisi na Nec wanafanya Personal attack kuharibu uchaguzi

Hawa mabeberu ni dhahiri wana maslahi na Lissu zaidi kuliko JPM kwanini?

Ndege za Bombadier na Boeing tumenunua kwao kwa cash hawakutupongeza wala kutusifia

Wawekezaji kwenye madini ni ndugu zao toka huko hawatupongezi wala kutusifia

Pesa zao tunazitumia vizuri na tumejenga miundombinu na kubandika mabango yao ya USAID au JAICA hawatupongezi wala kutusifia

Kuna mambo yanajificha nyuma ya pazia ni kama hawa watu wanasubiri sababu ya kutuwekea vikwazo tu

Hawa wazungu walipanga kutuwekea vikwazo ila sasa sababu wanaitafuta kupitia uchaguzi huu wa sasa

Wazungu wakishajua huna tekinolojia au utaalamu vikwazo ndio adhabu yao kwani wanajua hutamaliza miezi mitatu bila maisha kuanza kubadilika kwenye vifaa tiba na vipuli vya machine

Kwa umoja wetu tutashinda na JPM ni chaguo la kweli

Ile nguvu ya Lissu na maelfu ya wale wafuasi wake kuna jambo nyuma ya pazia

Nasikia wanauwezo wa kuwapa taarifa wafuasi wao wote kwa wakati mmoja huku wanatudanganya wanatumia whatssapp

Whatasapp gani ya kufanya watu wajaze viwanja vyenu kama vile kule marangu,Tunduma na kote mlikopita
Hapa umeropoka tu

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Mishale inatoka kila kona!View attachment 1587832
Shame on you! You don't know what's happening on the grounds and the inner feelings of most Tanzanian's in respects of their sovereignty, dignity, choice and rights.

As a sovereign state we will dictate and conduct our internal issues in the best manner to suit our common desire norms and interests, without external coercion or influences from the likes of Tom and Jerry!!!

This time around these Tom and Jerries will get a shock of their lives for the candidate they incubate and cherish will never close the river of fame!!!
 
Back
Top Bottom