Uchaguzi 2020 Kwanini Marekani, Umoja wa Ulaya wanamuunga mkono Tundu Lissu? Kosa la Magufuli ni lipi?

Ni dhahiri hawa wazungu sasa wanaonyesha sura zao kamili kwa matamko yanayoendelea

Wanatishia wapo makini kwa jicho kubwa kuwa kuna ukandamizaji wa haki za binadamu na uhuru Tanzania wakilenga serikali na vyombo vya ulinzi na usalama

Mbinu hizi lazima tutazikwepa tu,
Mtego wao wa kwanza walilenga lissu asumbuliwe pale airport halafu wangetupiga vikwazo vya hakuna kuuza wala kuagiza vifaa tiba toka ulaya hivyo madawa yangekosekana mahosipitali na watu kufa ,Tukawashinda

Sasa Lissu anaitwa polisi na IGP ili wapate sababu lissu akishindwa waseme polisi Tanzania wametumika kuharibu uchaguzi hivyo IGP sirro na Kundi lake watafutwe na kufunguliwa mashtaka ya jinai huko ICC ,Afande Sirro ni Mzoefu wa medani najua huu mtego ataukwepa vizuri sana na hata barua imeandikwa kuelekea kwa Chama cha chadema na Sio Tundu lissu kama mgombea ,
Tundu lissu analazimisha barua zielekezwe kwake ili baadae ageuke kuwa Polisi na Nec wanafanya Personal attack kuharibu uchaguzi

Hawa mabeberu ni dhahiri wana maslahi na Lissu zaidi kuliko JPM kwanini?

Ndege za Bombadier na Boeing tumenunua kwao kwa cash hawakutupongeza wala kutusifia

Wawekezaji kwenye madini ni ndugu zao toka huko hawatupongezi wala kutusifia

Pesa zao tunazitumia vizuri na tumejenga miundombinu na kubandika mabango yao ya USAID au JAICA hawatupongezi wala kutusifia

Kuna mambo yanajificha nyuma ya pazia ni kama hawa watu wanasubiri sababu ya kutuwekea vikwazo tu

Hawa wazungu walipanga kutuwekea vikwazo ila sasa sababu wanaitafuta kupitia uchaguzi huu wa sasa

Wazungu wakishajua huna tekinolojia au utaalamu vikwazo ndio adhabu yao kwani wanajua hutamaliza miezi mitatu bila maisha kuanza kubadilika kwenye vifaa tiba na vipuli vya machine

Kwa umoja wetu tutashinda na JPM ni chaguo la kweli

Ile nguvu ya Lissu na maelfu ya wale wafuasi wake kuna jambo nyuma ya pazia

Nasikia wanauwezo wa kuwapa taarifa wafuasi wao wote kwa wakati mmoja huku wanatudanganya wanatumia whatssapp

Whatasapp gani ya kufanya watu wajaze viwanja vyenu kama vile kule marangu,Tunduma na kote mlikopita
Mbona hakwenda kuwasailimia marekani kwa muda huo wote wa miaka mkutano... hapo ndipo kwenye shida
 
Mataga oyee mfa maji haishi kutapa tapa yan
 
Kuna ukandamizwaji gani wa haki za binadamu Tanzania?

Hapa Tanzania kila kitu kipo sawa,Haya matamko na Resolution wanazotoa wazungu kwa maslahi ya nani?

Kuna mambo yanafikirisha zaidi kwa hawa wazungu

Leo hii Zimbabwe wanarudisha mashamba kwa wazungu tena,Kitu ambacho Mugabe alikikataa leo wanarudisha ardhi kwa mabeberu kwa kushindwa kupumua kwa vikwazo

Akina kabudi waliomba zimbabwe itolewe vikwazo imeshindikana sasa wameamua yaishe wawape ardhi
Sisi tunawahitaji wazungu kuliko wazungu wanavyotuhitaji sisi. Tangu tulivyoshindwa kuziunga fikra za Kwame Nkrumah za kuliunganisha Bara la Africa kabla viongozi wa Afrika hawajauonja utamu wa madaraka Basi huo ulikuwa mwisho wa nguzu zetu dhidi ya wazungu. Mawazo ya akina Nyerere ya kutaka nchi zijitawale kwanza Kisha ziungane kwa vipandevipande kwanza ndiko kulikolifikisha Bara hapa
 
Ni dhahiri hawa wazungu sasa wanaonyesha sura zao kamili kwa matamko yanayoendelea

Wanatishia wapo makini kwa jicho kubwa kuwa kuna ukandamizaji wa haki za binadamu na uhuru Tanzania wakilenga serikali na vyombo vya ulinzi na usalama

Mbinu hizi lazima tutazikwepa tu,
Mtego wao wa kwanza walilenga lissu asumbuliwe pale airport halafu wangetupiga vikwazo vya hakuna kuuza wala kuagiza vifaa tiba toka ulaya hivyo madawa yangekosekana mahosipitali na watu kufa ,Tukawashinda

Sasa Lissu anaitwa polisi na IGP ili wapate sababu lissu akishindwa waseme polisi Tanzania wametumika kuharibu uchaguzi hivyo IGP sirro na Kundi lake watafutwe na kufunguliwa mashtaka ya jinai huko ICC ,Afande Sirro ni Mzoefu wa medani najua huu mtego ataukwepa vizuri sana na hata barua imeandikwa kuelekea kwa Chama cha chadema na Sio Tundu lissu kama mgombea ,
Tundu lissu analazimisha barua zielekezwe kwake ili baadae ageuke kuwa Polisi na Nec wanafanya Personal attack kuharibu uchaguzi

Hawa mabeberu ni dhahiri wana maslahi na Lissu zaidi kuliko JPM kwanini?

Ndege za Bombadier na Boeing tumenunua kwao kwa cash hawakutupongeza wala kutusifia

Wawekezaji kwenye madini ni ndugu zao toka huko hawatupongezi wala kutusifia

Pesa zao tunazitumia vizuri na tumejenga miundombinu na kubandika mabango yao ya USAID au JAICA hawatupongezi wala kutusifia

Kuna mambo yanajificha nyuma ya pazia ni kama hawa watu wanasubiri sababu ya kutuwekea vikwazo tu

Hawa wazungu walipanga kutuwekea vikwazo ila sasa sababu wanaitafuta kupitia uchaguzi huu wa sasa

Wazungu wakishajua huna tekinolojia au utaalamu vikwazo ndio adhabu yao kwani wanajua hutamaliza miezi mitatu bila maisha kuanza kubadilika kwenye vifaa tiba na vipuli vya machine

Kwa umoja wetu tutashinda na JPM ni chaguo la kweli

Ile nguvu ya Lissu na maelfu ya wale wafuasi wake kuna jambo nyuma ya pazia

Nasikia wanauwezo wa kuwapa taarifa wafuasi wao wote kwa wakati mmoja huku wanatudanganya wanatumia whatssapp

Whatasapp gani ya kufanya watu wajaze viwanja vyenu kama vile kule marangu,Tunduma na kote mlikopita
Hivi kuna mtu mwenye lakini nzuri anaweza akamuunga mkono magufuli?
 
🔧🔧🔧🔧🔧🔧🔧🔧
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Tofautisha kumuunga mkono Lissu na Kuunga mkono, HAKI, UHURU NA KUHESHIMIANA ILI AMANI IKAZIDI KUTAMALAKI.
 
Mbona unaandika kama unaishi pluto? Hao wabeberu unaowazungumzia wewe wanachokisema sio kweli? Kuna uhuru wa habari? kuna uhuru wa kujieleza? Wanagapi wako kwa makosa ya kubambikiwa kisa tu wamekosoa serikali? Kama ni sheria mbona watu wa CCM wanatukana waziwazi watu hakuna wanalofanywa? Tanzania.sio kwamba watu wahaoni wananyamaza mtu akifikiria familia au ndugu zake kughangaika akiwa jela kwa kesi za utakatishaji anaona bora anyamaze tu.
Lipi hapo sio sahihi nirekebishe.
 
Ni dhahiri hawa wazungu sasa wanaonyesha sura zao kamili kwa matamko yanayoendelea

Wanatishia wapo makini kwa jicho kubwa kuwa kuna ukandamizaji wa haki za binadamu na uhuru Tanzania wakilenga serikali na vyombo vya ulinzi na usalama

Mbinu hizi lazima tutazikwepa tu,
Mtego wao wa kwanza walilenga lissu asumbuliwe pale airport halafu wangetupiga vikwazo vya hakuna kuuza wala kuagiza vifaa tiba toka ulaya hivyo madawa yangekosekana mahosipitali na watu kufa ,Tukawashinda

Sasa Lissu anaitwa polisi na IGP ili wapate sababu lissu akishindwa waseme polisi Tanzania wametumika kuharibu uchaguzi hivyo IGP sirro na Kundi lake watafutwe na kufunguliwa mashtaka ya jinai huko ICC ,Afande Sirro ni Mzoefu wa medani najua huu mtego ataukwepa vizuri sana na hata barua imeandikwa kuelekea kwa Chama cha chadema na Sio Tundu lissu kama mgombea ,
Tundu lissu analazimisha barua zielekezwe kwake ili baadae ageuke kuwa Polisi na Nec wanafanya Personal attack kuharibu uchaguzi

Hawa mabeberu ni dhahiri wana maslahi na Lissu zaidi kuliko JPM kwanini?

Ndege za Bombadier na Boeing tumenunua kwao kwa cash hawakutupongeza wala kutusifia

Wawekezaji kwenye madini ni ndugu zao toka huko hawatupongezi wala kutusifia

Pesa zao tunazitumia vizuri na tumejenga miundombinu na kubandika mabango yao ya USAID au JAICA hawatupongezi wala kutusifia

Kuna mambo yanajificha nyuma ya pazia ni kama hawa watu wanasubiri sababu ya kutuwekea vikwazo tu

Hawa wazungu walipanga kutuwekea vikwazo ila sasa sababu wanaitafuta kupitia uchaguzi huu wa sasa

Wazungu wakishajua huna tekinolojia au utaalamu vikwazo ndio adhabu yao kwani wanajua hutamaliza miezi mitatu bila maisha kuanza kubadilika kwenye vifaa tiba na vipuli vya machine

Kwa umoja wetu tutashinda na JPM ni chaguo la kweli

Ile nguvu ya Lissu na maelfu ya wale wafuasi wake kuna jambo nyuma ya pazia

Nasikia wanauwezo wa kuwapa taarifa wafuasi wao wote kwa wakati mmoja huku wanatudanganya wanatumia whatssapp

Whatasapp gani ya kufanya watu wajaze viwanja vyenu kama vile kule marangu,Tunduma na kote mlikopita
Sababu kubwa ni kukubali ushoga, FINITO!
Alishaonesha kwamba yeye ushoga atauweka ndani ya agenda zake.
 
Back
Top Bottom