Ndalilo
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 3,659
- 8,285
Kwahiyo zawadi kutoka taasisi ya uraisi ni sehemu ya stahiki kisheria?Kila level ya utumishi wa umma ina mafao na pensheni zake.
Labda ebu tuwekee hizo titles za watumishi unaosema walifanya kazi kwa uaminifu ili tuone na wao wanastahiki zipi unazotaka ziwe...!!?
