Tatizo ni kwamba si kila mwanaume anapenda show za kimalaya mkuu.
Kama jamaa alipiga na yeye hizo show za kibabe sijui..nahisi alijiuliza maswali haya,,hivi kama mimi kanipa show namna hii na sijahitaji vipi akipatikana mwenye anahitaji itakuwaje??atakuwa wangu tena?na hapa sijamuoa je nikimuoa siku nikishindwa kusimamia vidole si ndo ishakula kwangu??
Wenye show za kibabe mara nyingi si wife material mkuu.hahahahaha jamaa kaona anapelekwa jehanam mapemaaaa.mtz wa watu kayeyaaa..hahahahaaha
Wanaume bhana wakati mwingine unaweza kujua anataka hiki ukampa kumbe ndo unajitafutia tiket mwenyewe.shikamoon wanaume
Maskini mkeii wa watu loh..mpe pole tu.mapenzi kizungumkuti.