Kwanini mapenzi yanakuwa magumu..

Kwanini mapenzi yanakuwa magumu..

Tatizo kampa vyote adi Mombasa yake. sasa sisi watz hatuwezi kuoa mwanamke anayetoa Mombasa.
Yeye awape mbele kati na nyuma hao Wakenya ndo wanawezana
Hehehhe
Sasa ye alienda kusaka demu wa Mombasa wa nini?!
Si ndio akakaribishwa mombasa na mombasa
Ahahahaha watz wengine muwe mnajifikiria basi maana mnaaibisha taifa letu na uzalendo wetu
 
Hatupendagi umalaya sie
Inshort na wala usijidanganye maam..

Hakuna mwanamke Duniani asie Malaya

Ndo ukae ukujia ivooo!

Kama utaenda leba au ushapita leba ujue ushapitia mengi basi tu heshima tunawekeana ndio maana hatuitani malaya!
 
We umezaliwa jana au?
Unataka kushindana na Money Penny au?!
Me sijazaliwa leo ivoo hakuna nisichokijua chini ya jua labda wewe Ben 10
Kuzaliwa nimezaliwa leo.
Kushindana nini???
Ben 10??

Huyu malaya jamaa kashtukia mchezo mapema.
 
Kwaiyo unataka waliokaa kama gogo sio?
Makubwa kweli wanaume mnatofautiana
Si kwamba mimi nataka wanao kaa kama gogo soma vizuri utanielewa,nasema si kila mwanaume anataka show za kimalaya kutoka kwa mwanamke kuna wengine ukifanya hivyo anakuchukulia malaya kweli na sio ufundi,lazima mwanamke usome mazingira ni kama nyinyi tu kuna mwanamke ukitaka kuleta ufundi sijui kunyonya k sijui nini aludi na ataki ndo iko ivyo
 
Sa we ulitaka ampe nini
Mahusiano ya miezi 6 we unataka agawe gogo tu?
Embu tuone wewe ndani ya miezi 6 ya mahusiano utatoa nini?!

Be Realistic Maam!
Bado namchuna aisee na outing za Mara kwa mara kuliwa kwa manati huku nalia akiwa ananigonga halafu sitikisiki zaid ya kulia na kumwambia ni dhambi hivyo
 
Ugumu haupo ugum huleta wewe au urahis unao wewe mapenzi sio leo kesho geto utambui skoloji yake mwisho wa day mambo hutimbia kombo
 
Sukari au asali na utamu wake wote inakifu sembuse mapenzi jamaa kuna kitu kilikua kinamkera pamoja na kupata show za kibabe hakukifurahia,hata kugawa tigo kuna utalaamu wake sio unafokoa na kutoka na kinyesi wengine wataaalam bwana hukioni hata mara moja.
 
Si kwamba mimi nataka wanao kaa kama gogo soma vizuri utanielewa,nasema si kila mwanaume anataka show za kimalaya kutoka kwa mwanamke kuna wengine ukifanya hivyo anakuchukulia malaya kweli na sio ufundi,lazima mwanamke usome mazingira ni kama nyinyi tu kuna mwanamke ukitaka kuleta ufundi sijui kunyonya k sijui nini aludi na ataki ndo iko ivyo
Du! Aludi?!
Aya baalia nimekusoma... barida!
 
Bado namchuna aisee na outing za Mara kwa mara kuliwa kwa manati huku nalia akiwa ananigonga halafu sitikisiki zaid ya kulia na kumwambia ni dhambi hivyo

Mdogowangu naomba uwe realistic
Hauwezi mchuna mwanaume miezi 6 yeye anakuangalia.. kwani huyo mwanaume zoba au?

Alafu ongea kama upo karne hii ya 21 ya akina Kazi tu na sio ile nyingine

Otherwise mijeda itakuwa inasoma comment yako inakuona haupo serious
 
Ugumu haupo ugum huleta wewe au urahis unao wewe mapenzi sio leo kesho geto utambui skoloji yake mwisho wa day mambo hutimbia kombo
Bro rudia kusoma hapo nimeandika alimpa utamu baada ya miezi 3 mpaka 6
 
Sukari au asali na utamu wake wote inakifu sembuse mapenzi jamaa kuna kitu kilikua kinamkera pamoja na kupata show za kibabe hakukifurahia,hata kugawa tigo kuna utalaamu wake sio unafokoa na kutoka na kinyesi wengine wataaalam bwana hukioni hata mara moja.
Dah!
Unajua tumefunga Ramadhan kinyesi tena? Dah aya we
 
samahani kama ntakukwaza tatizo si kusema shoo... nyumba nzuri ni manukato safi na usafi kama hakuna hata kama unampa za kimalaya bado bila bila tuuu
Iyo miezi 3 waliokuwa wanapeana mechi kwanini asingeondoka mapema akaja kuondoka mwexi wa 6

Ivi unajua mazingira ndugu yangu?! Ukipiga mechi moja alafu mazingira mabovu jamaa akirudi basi demu is highly favored by the Lord!
 
Back
Top Bottom