Hili jambo linanifanya nisiwaze kabisa kuhusu kuoa

Clever505

JF-Expert Member
Jul 27, 2020
1,099
2,030
Mkoa nilipo hapa kuna msichana ambaye tumetoka mkoa mmoja, kijiji kimoja yeye ameolewa huku, mimi bado sijaoa. Tumekaa muda mrefu bila mimi kujua kama na yeye yupo mkoani hapa ila yeye anajua uwepo wangu hapa. Alipopata namba yangu tukaanza kuwasiliana vizuri tu bila tatizo.

Yeye na mume wake pamoja na mtoto wao mmoja wanaishi pembeni kidogo ya mji, sasa siku moja akawa na safari ya kuja mjini ambapo mi naishi na ndo zilipo mishe zangu akahitaji tuonane. Nikamueleza sehemu ya kukutana ila ye akapendekeza tukutane ninapokaa. Kwa kuwa siku hiyo nilikuwa geto na kuna sehemu ambapo ilibidi niende kwa muda ule ikabidi nimwelekeze sehemu ya kutulia ili nikiwa narudi geto nimpitie lakini ye akasema anataka aje kwangu kisha niende ninapoenda ananisubiri kwangu. Nikakubaliana nae.

Nikamuelekeza ninapokaa akaja nikamwekea movie aangalie mi nikasepa. Baadae kurudi nikakuta mtoto wa watu amelala hana habari tena na movie. Alipoamka tukapiga stori kidogo time ikawa imeenda akawa anaaga ila cha kushangaza haondoki, nikamsoma anachokitaka ila mi nilikuwa namheshimu sana na kwa kweli nilishangaa kuona anataka tuivunje heshima yetu. Baada ya muda kidogo akaondoka.

Sasa kuanzia siku ile stori zake zikawa ni kama tumeshakuwa wapenzi. Mume wake anamjua bro wangu na huwa anawasiliana nae ila mi hanijui, siku moja asubuhi mapema sana akanipigia simu akajitambulisha kisha akaniuliza unamjua ( ) akataja jina la huyu msichana,. Kiukweli nilishtuka sana nikahisi ameziona zile texts zetu ila nikajikaza nikasema namjua.. Tukaongea kawaida tu na ile hofu ikanitoka.

Baadae yule msichana akanipigia akaniuliza nimeambiwa nini na mumewe nikamwambia jinsi ilivyokuwa. Kisha nikamuuliza imekuwaje huko hadi amenipigia akasema mume wake alikuwa na wasiwasi tu na mawasiliano yetu, basi nikamwambia kuanzia leo tusichati hayo mambo unayoyataka maana mi sitaki kuonekana naharibu ndoa yako maana hata home wakisikia itakuwa kitu mbaya akanielewa japo baada ya siku chache akaanza tena.

Akazoea sana kuniombaomba pesa nikawa nampa kila akiomba kwa sababu hakuwa akiomba pesa ndefu, nakumbuka pesa kubwa aliyowahi kuomba ni elfu6 tu. Kuna siku ambapo niliamua nisimpe ni siku aliponiomba akasema anataka akamnunulie mtoto wake begi la shule maana tayari mtoto wao alikuwa ameanza chekechea. Nikaona anaaza kuwa na mazoea mabaya kunitwisha mimi majukumu wakati baba mtoto yupo. Nikakausha nikajua atanuna ila haikuwa hivo, sikumpa na stori zetu ziliendelea Kama kawaida. Baada ya kuona yupo kawaida hata nisipompa pesa nikazoea kwamba siku zingine nampa siku zingine naMute.

Kuhusu kumchakata, mwanzo nilikuwa naichakata vizuri sana ile mbususu ila kila siku zinavoenda nikawa naumia sana moyo kuona nakula mke wa mtu. Ikawa hata nikiwa nae geto nakuwa sina amani kabisa hadi kupelekea game kuwa ya kiwango cha chini kiasi kwamba mi mwenyewe naliona hilo. Kufikia hapo vitu hivi viwili yaani kumpa pesa na kumchakata vyote vikawa hafifu. Kwenye mechi yetu huwa hatuna kabisa hofu kuhusu kufumaniwa kwa sababu mume wake ana wake wawili na wanakaa mikoa tofauti, pia huyu jamaa mishe zake ni za kusafiri...sasa huwa akisafiri ndo mke wake anapata nafasi ya kuja kwangu.

Najua kuna watu mtasema, "Uwe unatembea na kilainishi in case,; utanishukuru baadae". Ni kwamba hili jambo ni la umakini sana na mazingira tunayofanyia huu mgegedo ni magumu sana kwa mumewe kuyajua. Na pia huyu msichana yupo makini sana kufuta kila mawasiliano tunapoyafanya ila siku akija kusahau kufuta sijui itakuwaje.

Sasa kupitia huyu mwanamke nimegundua vitu hivi,
✓mwanamke hata umpe kila kitu atachepuka tu. Maana huyu show ninayompa ni mbovu kinoma kutokana na ile kukosa amani moyoni nikiwaza nakula mali ya watu na pia pesa nampa mara chache sana na si za kutosha ila bado mara kwa mara anakuja namkula.

✓Nawaza kwamba hata mimi nikija kuoa mke wangu atatafunwa na wengine tu kwa hiyo najikuta wazo la kuoa linakuwa na nguvu ndogo.

✓Jamaa mwenye huyu msichana kaseviwa vizuri kwenye simu jina la kimahaba na hata akipiga simu nikiwa karibu nasikia wanaongea vizuri tu ndio maana moyo unaniuma sana ninapokuwa namkula huyu msichana. Hapo nashindwa kuelewa huyu mwanamke anakosa nini kwa mumewe.

✓Nimejikuta sipendi kumnyandua huyu msichana ila kila akitaka kuja geto huwa nashindwa kabisa kumzuia. Shetani ana nguvu wazee

Nafanya dhambi ambayo nalazimika kuifanya maana mi sijawahi kumtaka aje ila ni yeye mara zote anataka kuja...Naogopa sana kuoa kwa sababu nahisi mke wangu anaweza kuwa kama huyu.

Nje ya point hiyo Jambo lingine linalonifanya niogope kuoa ni kwamba tangu nianze kujitegemea nimepanga na kuhama kwenye nyumba kama nne Ila zote nimeshuhudia wanawake wakiwanyanyasa wanaume. Sipendi kabisa kutawaliwa na mwanamke ila nikiona vile wanaume wanatawaliwa na wake zao najikuta nakata tamaa ya kuoa.
 
 u
Mkoa nilipo hapa kuna msichana ambaye tumetoka mkoa mmoja, kijiji kimoja yeye ameolewa huku, mimi bado sijaoa. Tumekaa muda mrefu bila mimi kujua kama na yeye yupo mkoani hapa ila yeye anajua uwepo wangu hapa. Alipopata namba yangu tukaanza kuwasiliana vizuri tu bila tatizo.

Yeye na mume wake pamoja na mtoto wao mmoja wanaishi pembeni kidogo ya mji, sasa siku moja akawa na safari ya kuja mjini ambapo mi naishi na
Uko unajifanya mwema mwenye huruma wakati kitendo unacho kifanya ni cha kishetani, kunyandua mke wa mtu, ambaye ameenda kumtafutia riziki, wewe na huyu mke wa jinga sana ndo maana huo mkoa wenu sisi tangu utotoni hilo kabila la huo mkoa tulikatazwa kuoa ko.
 
Mkoa nilipo hapa kuna msichana ambaye tumetoka mkoa mmoja, kijiji kimoja yeye ameolewa huku, mimi bado sijaoa. Tumekaa muda mrefu bila mimi
Wanaume bwana kweli sie vigeugeu...wnawake wakutupa mbususu tunalalama wasipotupa na kupiga mizinga tunalala.

Wewe kula mbususu hiyo sii anaileta. Yeye hapo mwenzio anatafuta mafiga matatu maana mme wake tayari ana warembo watatu wakugegeda.

Pelekea moto mbususu hiyo. Kuoa wee wala usiogope mzeya. Kama hela ipo wee chukua pisi kali weka ndani. Jambo moja tuu ukumbuke; mwanamke pekee ambaye hatagegedwa nje ya ndoa ni yule ambaye ulimuoa akiwa bikra na wewe ukiwa hujui uke wa mwanamke una fananaje
 
Duh kwa hiyo nijiandae mke wangu kutafunwa🙆

Binafsi natambua Fake Love ipo kwa kiwango kikubwa,
Mimi najua kupenda sana tena kupitilizaa yani, nimgumu kupenda ili nikipenda napenda mazima..

Ila kinachokuja kunisaidi ni kitu kimoja, nikidate na demu mnafiki kwenye mahusiano yani nakuwa namuota mala kwa mala, tena namuota Makosa yake wazi wazi na tabia zake mbaya..

nikiamka natafakariii na kuendelea na Muahusiano. I LOVE SEX, to much.
lakini nashukuru tu nakua najua hali halisi ya Mahusiano yangu.
 
 u

Uko unajifanya mwema mwenye huruma wakati kitendo unacho kifanya ni cha kishetani, kunyandua mke wa mtu, ambaye ameenda kumtafutia riziki, wewe na huyu mke wa jinga sana ndo maana huo mkoa wenu sisi tangu utotoni hilo kabila la huo mkoa tulikatazwa kuoa ko.
Sijataja mkoa mkuu, tambua kwamba kwa mwanaume kukataa kuchakata ni Jambo gumu sana
 
Binafsi natambua Fake Love ipo kwa kiwango kikubwa,
Mimi najua kupenda sana tena kupitilizaa yani, nimgumu kupenda ili nikipenda napenda mazima..

Ila kinachokuja kunisaidi ni kitu kimoja, nikidate na demu mnafiki kwenye mahusiano yani nakuwa namuota mala kwa mala, tena namuota Makosa yake wazi wazi na tabia zake mbaya..

nikiamka natafakariii na kuendelea na Muahusiano. I LOVE SEX, to much.
lakini nashukuru tu nakua najua hali halisi ya Mahusiano yangu.
Hata mimi ilitokea kuna demu wangu namuota sana vibaya ila sikulitilia uzito sana hilo kwa sababu nilihisi ndoto zangu zilikuwa zinakuja kulingana na vile nilikuwa namuwaza, nilikuwa nawaza hanipendi.
 
 u

Uko unajifanya mwema mwenye huruma wakati kitendo unacho kifanya ni cha kishetani, kunyandua mke wa mtu, ambaye ameenda kumtafutia riziki, wewe na huyu mke wa jinga sana ndo maana huo mkoa wenu sisi tangu utotoni hilo kabila la huo mkoa tulikatazwa kuoa ko.
Hujui nguvu ya mbususu wewe au utakuwa Una matatizo ya kikojoleo.Mwwnamke akija kwako mkawa wawili hizo nguvu ya kukataa kuchakata unaitoa wapi?

Juzi Tu hapo natoka zangu mishe narudi home sin hili wala lile nafika nyumbani Ile nataka nifungue geti nasikia mdada ananiambia waaooooh nikageuka kumbe mke wa mshikaji wangu nyumba ya pili na bonge la slay queen,bonge la demu unaambiwa!!

Nikamwambia mambo akajibu poa,nilitaka nikuwaoo Ila kumbe ndani sijavaa sidiria,maziwa yatakuchoma ukapata nyege.Si ndy nikaangalia vizuri kifuani!! Lahaulaa..mtoto amevaa shati la bwanake alafu vifungo viwili vya juu hajafunga ziwa hili hapa unaliona,jeupee limetuna km embe dodo inayokaribia kukomaa kokwa

Muda huo huo akili ikahama nikaweka mikono mfukoni kumshika shingo jogoo asiwike asije kuniaibisha getini

Nikamwambia mambo vp jamaa yupo wapi,nikajibiwa hayupo tangu asubuhi,nikamwambia karibu ndani,akajibu kuna nini kwako cha kunikaribisha satoh,nikamjibu ndani kuna juice Tu ya parachichi na embe mixer..hiyo tunaongea hayo yote huku tunatembea,tukawa tumeshafika home mlangoni

Nikafungua ghetto nikavaa vest nikamwambia karibu juice,akaingia ndani akakaa kwenye sofa Mimi nipo bize kueka vitu Sawa

Nikawasha TV bibie huku anakunyea zake juice Mimi wala sina mawazo yoyote mabaya kichwani,akaniambia weka azam two niangalie marudio ya kessari,mpaka hapo sina wazo lolote Baya kichwani,nikamwekea na Mimi nikakaa niangalie kumsapoti maana siangaliagi hiyo tamthiliya imekaa kitoto Sana

Hapa ndy mambo yakaanza,maswali ya hovyo na mitego

Sasa akawa haniiti shemeji ananiita jina langu moja Kwa moja..satoh sasa unaishi vp hapa bila mwanamke Una nyumba nzuri( ingawa si yangu nimepanga Ila ni nyumba Kali kweli ambayo hata ukiwa na demu mpya ukimleta hapo atapafurahia)..nikamjibu atakuja tu siku moja utamwona,akauliza kumbe unae eeh,hapo anauliza huku ameshachanua mapaja na amevaa taiti..muda huo ndy akili ikawa imeshaanza kuhama sasa,maana kitumbua hiki hapa kimevimba hatari,niliaga naenda kununua ndizi ndy nikaishia huko nikampigia simu funguo aweke sehemu Fulani Ila alimaind sn maana alinambia nimemkimbia au nimemwona yeye Malaya sn..so jamaangu usiombe mwanamke akuamulie kukutega,kuruka inahitaji uwe na roho mtakatikfu au neema ya bwana ikushukie

Sikula mzigo Ila ananisumbua na meseji za hovyo sn Hadi Leo na ni mke wa mshikaji wangu,zile Stori za kuniita mume mume mbele ya mumewe na jamaa anachukua poa kumbe bibie anamaanisha kweli...kuna wahuni hawatapenda Stori ilivyoishia ..imeisha vby km ya bongo muvi

Mleta mada Mimi sikulaumu hata kidogo,kukaa na mwanamke ndani na siyo mamaako au dadaako na usifanye chochote Kwa mwanaume inakuwa kitu kigumu japo inawezekana ukiwa na msimamo..
 
Mkoa nilipo hapa kuna msichana ambaye tumetoka mkoa mmoja, kijiji kimoja yeye ameolewa huku, mimi bado sijaoa. Tumekaa muda mrefu bila mimi kujua kama na yeye yupo mkoani hapa ila yeye anajua uwepo wangu hapa. Alipopata namba yangu tukaanza kuwasiliana vizuri tu bila tatizo.

Yeye na mume wake pamoja na mtoto wao mmoja wanaishi pembeni kidogo ya mji, sasa siku moja akawa na safari ya kuja mjini ambapo mi naishi na ndo zilipo mishe zangu akahitaji tuonane. Nikamueleza sehemu ya kukutana ila ye akapendekeza tukutane ninapokaa. Kwa kuwa siku hiyo nilikuwa geto na kuna sehemu ambapo ilibidi niende kwa muda ule ikabidi nimwelekeze sehemu ya kutulia ili nikiwa narudi geto nimpitie lakini ye akasema anataka aje kwangu kisha niende ninapoenda ananisubiri kwangu. Nikakubaliana nae.

Nikamuelekeza ninapokaa akaja nikamwekea movie aangalie mi nikasepa. Baadae kurudi nikakuta mtoto wa watu amelala hana habari tena na movie. Alipoamka tukapiga stori kidogo time ikawa imeenda akawa anaaga ila cha kushangaza haondoki, nikamsoma anachokitaka ila mi nilikuwa namheshimu sana na kwa kweli nilishangaa kuona anataka tuivunje heshima yetu. Baada ya muda kidogo akaondoka.

Sasa kuanzia siku ile stori zake zikawa ni kama tumeshakuwa wapenzi. Mume wake anamjua bro wangu na huwa anawasiliana nae ila mi hanijui, siku moja asubuhi mapema sana akanipigia simu akajitambulisha kisha akaniuliza unamjua ( ) akataja jina la huyu msichana,. Kiukweli nilishtuka sana nikahisi ameziona zile texts zetu ila nikajikaza nikasema namjua.. Tukaongea kawaida tu na ile hofu ikanitoka.

Baadae yule msichana akanipigia akaniuliza nimeambiwa nini na mumewe nikamwambia jinsi ilivyokuwa. Kisha nikamuuliza imekuwaje huko hadi amenipigia akasema mume wake alikuwa na wasiwasi tu na mawasiliano yetu, basi nikamwambia kuanzia leo tusichati hayo mambo unayoyataka maana mi sitaki kuonekana naharibu ndoa yako maana hata home wakisikia itakuwa kitu mbaya akanielewa japo baada ya siku chache akaanza tena.

Akazoea sana kuniombaomba pesa nikawa nampa kila akiomba kwa sababu hakuwa akiomba pesa ndefu, nakumbuka pesa kubwa aliyowahi kuomba ni elfu6 tu. Kuna siku ambapo niliamua nisimpe ni siku aliponiomba akasema anataka akamnunulie mtoto wake begi la shule maana tayari mtoto wao alikuwa ameanza chekechea. Nikaona anaaza kuwa na mazoea mabaya kunitwisha mimi majukumu wakati baba mtoto yupo. Nikakausha nikajua atanuna ila haikuwa hivo, sikumpa na stori zetu ziliendelea Kama kawaida. Baada ya kuona yupo kawaida hata nisipompa pesa nikazoea kwamba siku zingine nampa siku zingine naMute.

Kuhusu kumchakata, mwanzo nilikuwa naichakata vizuri sana ile mbususu ila kila siku zinavoenda nikawa naumia sana moyo kuona nakula mke wa mtu. Ikawa hata nikiwa nae geto nakuwa sina amani kabisa hadi kupelekea game kuwa ya kiwango cha chini kiasi kwamba mi mwenyewe naliona hilo. Kufikia hapo vitu hivi viwili yaani kumpa pesa na kumchakata vyote vikawa hafifu. Kwenye mechi yetu huwa hatuna kabisa hofu kuhusu kufumaniwa kwa sababu mume wake ana wake wawili na wanakaa mikoa tofauti, pia huyu jamaa mishe zake ni za kusafiri...sasa huwa akisafiri ndo mke wake anapata nafasi ya kuja kwangu. Najua kuna watu mtasema, "Uwe unatembea na kilainishi in case,; utanishukuru baadae". Ni kwamba hili jambo ni la umakini sana na mazingira tunayofanyia huu mgegedo ni magumu sana kwa mumewe kuyajua. Na pia huyu msichana yupo makini sana kufuta kila mawasiliano tunapoyafanya ila siku akija kusahau kufuta sijui itakuwaje.

Sasa kupitia huyu mwanamke nimegundua vitu hivi,
✓mwanamke hata umpe kila kitu atachepuka tu. Maana huyu show ninayompa ni mbovu kinoma kutokana na ile kukosa amani moyoni nikiwaza nakula mali ya watu na pia pesa nampa mara chache sana na si za kutosha ila bado mara kwa mara anakuja namkula.

✓Nawaza kwamba hata mimi nikija kuoa mke wangu atatafunwa na wengine tu kwa hiyo najikuta wazo la kuoa linakuwa na nguvu ndogo.

✓Jamaa mwenye huyu msichana kaseviwa vizuri kwenye simu jina la kimahaba na hata akipiga simu nikiwa karibu nasikia wanaongea vizuri tu ndio maana moyo unaniuma sana ninapokuwa namkula huyu msichana. Hapo nashindwa kuelewa huyu mwanamke anakosa nini kwa mumewe.

✓Nimejikuta sipendi kumnyandua huyu msichana ila kila akitaka kuja geto huwa nashindwa kabisa kumzuia. Shetani ana nguvu wazee

Nafanya dhambi ambayo nalazimika kuifanya maana mi sijawahi kumtaka aje ila ni yeye mara zote anataka kuja...Naogopa sana kuoa kwa sababu nahisi mke wangu anaweza kuwa kama huyu.

Nje ya point hiyo Jambo lingine linalonifanya niogope kuoa ni kwamba tangu nianze kujitegemea nimepanga na kuhama kwenye nyumba kama nne Ila zote nimeshuhudia wanawake wakiwanyanyasa wanaume. Sipendi kabisa kutawaliwa na mwanamke ila nikiona vile wanaume wanatawaliwa na wake zao najikuta nakata tamaa ya kuoa.
Mke wa mtu sumu,.... siku za mwizi arobaini
 
Wanadamu wote walioamua kutanguliza matamanio badala ya akili wamepata hasara kubwa maishani mwao na wote wapo kwenye foleni ya maangamizo...........

Yanapotangulia matamanio huziba uwezo wa akili kufanya kazi ipasavyo na hivyo kupelekea kufanya mambo yanayokugharimu baadae........

YULE AMBAYE HAIKUMFAA AKILI YAKE BASI UTAMDHURU UJINGA WAKE..........
 
Hujui nguvu ya mbususu wewe au utakuwa Una matatizo ya kikojoleo.Mwwnamke akija kwako mkawa wawili hizo nguvu ya kukataa kuchakata unaitoa wapi?

Juzi Tu hapo natoka zangu mishe narudi home sin hili wala lile nafika nyumbani Ile nataka nifungue geti nasikia mdada ananiambia waaooooh nikageuka kumbe mke wa mshikaji wangu nyumba ya pili na bonge la slay queen,bonge la demu unaambiwa!!

Nikamwambia mambo akajibu poa,nilitaka nikuwaoo Ila kumbe ndani sijavaa sidiria,maziwa yatakuchoma ukapata nyege.Si ndy nikaangalia vizuri kifuani!! Lahaulaa..mtoto amevaa shati la bwanake alafu vifungo viwili vya juu hajafunga ziwa hili hapa unaliona,jeupee limetuna km embe dodo inayokaribia kukomaa kokwa

Muda huo huo akili ikahama nikaweka mikono mfukoni kumshika shingo jogoo asiwike asije kuniaibisha getini

Nikamwambia mambo vp jamaa yupo wapi,nikajibiwa hayupo tangu asubuhi,nikamwambia karibu ndani,akajibu kuna nini kwako cha kunikaribisha satoh,nikamjibu ndani kuna juice Tu ya parachichi na embe mixer..hiyo tunaongea hayo yote huku tunatembea,tukawa tumeshafika home mlangoni

Nikafungua ghetto nikavaa vest nikamwambia karibu juice,akaingia ndani akakaa kwenye sofa Mimi nipo bize kueka vitu Sawa

Nikawasha TV bibie huku anakunyea zake juice Mimi wala sina mawazo yoyote mabaya kichwani,akaniambia weka azam two niangalie marudio ya kessari,mpaka hapo sina wazo lolote Baya kichwani,nikamwekea na Mimi nikakaa niangalie kumsapoti maana siangaliagi hiyo tamthiliya imekaa kitoto Sana

Hapa ndy mambo yakaanza,maswali ya hovyo na mitego

Sasa akawa haniiti shemeji ananiita jina langu moja Kwa moja..satoh sasa unaishi vp hapa bila mwanamke Una nyumba nzuri( ingawa si yangu nimepanga Ila ni nyumba Kali kweli ambayo hata ukiwa na demu mpya ukimleta hapo atapafurahia)..nikamjibu atakuja tu siku moja utamwona,akauliza kumbe unae eeh,hapo anauliza huku ameshachanua mapaja na amevaa taiti..muda huo ndy akili ikawa imeshaanza kuhama sasa,maana kitumbua hiki hapa kimevimba hatari,niliaga naenda kununua ndizi ndy nikaishia huko nikampigia simu funguo aweke sehemu Fulani Ila alimaind sn maana alinambia nimemkimbia au nimemwona yeye Malaya sn..so jamaangu usiombe mwanamke akuamulie kukutega,kuruka inahitaji uwe na roho mtakatikfu au neema ya bwana ikushukie

Sikula mzigo Ila ananisumbua na meseji za hovyo sn Hadi Leo na ni mke wa mshikaji wangu,zile Stori za kuniita mume mume mbele ya mumewe na jamaa anachukua poa kumbe bibie anamaanisha kweli...kuna wahuni hawatapenda Stori ilivyoishia ..imeisha vby km ya bongo muvi

Mleta mada Mimi sikulaumu hata kidogo,kukaa na mwanamke ndani na siyo mamaako au dadaako na usifanye chochote Kwa mwanaume inakuwa kitu kigumu japo inawezekana ukiwa na msimamo..
Kisa chako nikajua mwisho utakuwa umegonga mzigo ila umeweza kumshinda shetani, hongera kwa hilo.
 
Wanadamu wote walioamua kutanguliza matamanio badala ya akili wamepata hasara kubwa maishani mwao na wote wapo kwenye foleni ya maangamizo...........

Yanapotangulia matamanio huziba uwezo wa akili kufanya kazi ipasavyo na hivyo kupelekea kufanya mambo yanayokugharimu baadae........

YULE AMBAYE HAIKUMFAA AKILI YAKE BASI UTAMDHURU UJINGA WAKE..........
Mkuu nimejitahidi sana kukwepa dhambi hii ila wanawake wana ushawishi sana.
 
Back
Top Bottom