MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,011
- 16,748
Swali lako ni sawa na Kuuliza kwanini Wakili Tundu Lissu hamfanyii Fujo Rais John Magufuli?Huwa najiuliza sana, Mamba anakula nyama na Kiboko anakula nyasi, lakini wanaishi sehemu moja. Kwa tabia ya Mamba anakula mnyama yoyote anayekatiza mbele yake. Sasa mbona hamtafuni Kiboko na yuko nae muda mwingi?