niupunguf wa imani na akili kumnyima chakula mtoto hata mtumzima tu haifai.ila wanaume wawe responsible kwa matendo yao wanaume niwachonganishi.mtu huna future nae unazaa nae wanini?mtu umemchoka kwanini wewe uliwchoka usiwe wa kwanza kutoka nyumban unaamua kumfukuza mkeo aache watoto?jamani sio kitukidogo kulea mtoto wa mwenzio inahitaji roho wa Mungu.vinginevyo unaweza kufanya vitu vya ajabu.
kuna wamama wengine wanamalengo kaachwa ila bado anatamani na mara nyingine kaachwa kwa upumbavu wake mwenyewe basi hawezi nyamaza kila siku analeta zogo kwa mwenzie tena analeta zogo kwamtu anaekaa na watoto wake hivi unategemea nini kutokea? tuweresponsible kwa matendo yetu.
Pole ulielelewa na mama wa kambo mbovu.wengine tulipata bahati ya kuelewana na mama wakambo kuliko mzazi