Onyinyeme
Senior Member
- Aug 13, 2014
- 123
- 36
superstar1
Wazazi wangu walitengana nikiwa na umri wa miaka minane tu..!!!
Umenikumbusha maisha ya utotoni...!!! Nilala barazani... Nilishinda/Nililala njaa...Nilichapwa viboko (tena uchi wa mnyama..)... Mama wa kambo ni Ibilisi...!
Pole kwa changamoto hizo ndg....naamini kwa sasa Mungu hajakupungukia!
Last edited by a moderator: