Senior Boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 3,405
- 3,701
Achana nae hao ni wale wa dizaini za hot pot family...mboga saba....
Yeaah man.
Achana nae hao ni wale wa dizaini za hot pot family...mboga saba....
Mimi nauhakika wewe ni dogo kwangu na nimekuzidi kila kitu. Heshima ni kitu cha bure. Huu si mkwala ila angalia watu wengine si wakutukanwa ovyo.
Hawa wamama huwa wana miziki sana usipokuwa mvumulivu....unakata kamba.
hahaha ungeua tu wala usingekuwa na kosa yaan hawa wamama waacheni tu kama walivyo wamemeza roho ya simbaMkuu acha!' Acha kabisa!!
I have seen it all! Mi nikienda misibani simwagi chozi hata msiba uniguse vipi, watu hunishangaa ila naamini machozi yangu yaliisha wakati naishi na mama wa kambo!
Namshukuru Mungu kwa zawadi ya Baba aliyekuwa nguzo yangu pekee kuhakikisha nasimama na maisha yangu! Kama si yeye hakika mmoja kati yangu au yule mama asingekuwa na maisha!
Jamani kuna binadamu wengine ni wanyama japo tunaishi nao majumbani mwetu!
Lakini Mungu huwa ni mwaminifu kwetu sote....Mkuu acha!' Acha kabisa!!
I have seen it all! Mi nikienda misibani simwagi chozi hata msiba uniguse vipi, watu hunishangaa ila naamini machozi yangu yaliisha wakati naishi na mama wa kambo!
Namshukuru Mungu kwa zawadi ya Baba aliyekuwa nguzo yangu pekee kuhakikisha nasimama na maisha yangu! Kama si yeye hakika mmoja kati yangu au yule mama asingekuwa na maisha!
Jamani kuna binadamu wengine ni wanyama japo tunaishi nao majumbani mwetu!
Mkuu acha!' Acha kabisa!!

Bosco Saronga Makoi
Nilimuondoa meno matatu ya mbele kwa kutumia mtwangio baada ya kunichongea kwa mzee hadi akanipa kipigo cha mbwa mwizi kwa kosa ambalo alilifanya mwanae aliyekuja nae na kunisingizia mimi....kipigo ambacho kilipelekea nikateguka mkono wangu wa kulia...na huo ndio ukawa mwisho wa mimi kuishi kwa mzee....kwani baada ya tukio nilitoroka home.
Dah jamani pole sana ila wengine tunaijua miziki yote ya mama wa kambo na mashangazi aiseeh acha kabisa yaani hii unaambiwa weka mbali na watoto aiseeh!!!!
Kiukweli mie namshukuru Mungu nimeishi na mama wa kambo kuanzia darasa la kwanza mpaka namaliza shule hajawahi nitesa
Dawa ya mama wa kambo ni kusoma kwa bidii kama upo primary soma kwa bidii, kama upo sekondari au chuo kaza buti sana, mimi naye ni muhanga wa mama wa kambo ila Mungu ni mkubwa nilisoma kwa uchungu na bidii kubwa kwa ku-recall mateso aliyopata mama yangu toka kwa mzee na baada ya kutengana maisha aliyoishi mama yangu, kwa hiyo dawa pekee ya kuwamaliza hawa ni kusoma tu kwa bidii kubwa.
mi sisemi ila la uchungu halisahauliki
na hv ukubwani juzi tu hapa kuna kitu kanifanya daah