Kwanini Mama wa Kambo huwa na Visa?

Kwanini Mama wa Kambo huwa na Visa?

happy lady
Sijui kwa nini kina mama wa kambo wengi/ne wanatesa watoto wao wa kambo. Namfahamu mama mmoja sasa hivi ni mzee ambae aliwatunza watoto wa mume wake ambae aliwa zaa nje ya ndoa ( mind you nje ya ndoa na si kabla ya ndoa) yeye alibahatika kupata mtoto mmoja tu na mme wake.

Wakaamua mumpeleka mtoto wao nje ya nchi akiwa mdogo kupata elimu ' nzuri' sio hii ya kibongobongo. Mtoto akapata elimu nzuri na kazi hukohuko wala hamtambui mama yake, to cut long story short ni kuwa huyo mama analelewa na mtoto wake wa kambo.
Kiufupi mtunze mtoto wako wa kambo vizuri tu atakuthamini kuliko huyo mwanao wa kukuzaa ambae anaona after all kumtunza ni wajibu wako!
 
Last edited by a moderator:
Mwana

Sorry kuliko huyo mwanao wa kumzaa.
 
Last edited by a moderator:
happy lady

Inawezekana ikawa ni kweli ila ni familia chache sana zinaweza survive ivo!!!
 
Last edited by a moderator:
Bosco Saronga Makoi

Nilimuondoa meno matatu ya mbele kwa kutumia mtwangio baada ya kunichongea kwa mzee hadi akanipa kipigo cha mbwa mwizi kwa kosa ambalo alilifanya mwanae aliyekuja nae na kunisingizia mimi....kipigo ambacho kilipelekea nikateguka mkono wangu wa kulia...na huo ndio ukawa mwisho wa mimi kuishi kwa mzee....kwani baada ya tukio nilitoroka home.
 
Last edited by a moderator:
Nilimuondoa meno matatu ya mbele kwa kutumia mtwangio baada ya kunichongea kwa mzee hadi akanipa kipigo cha mbwa mwizi kwa kosa ambalo alilifanya mwanae aliyekuja nae na kunisingizia mimi....kipigo ambacho kilipelekea nikateguka mkono wangu wa kulia...na huo ndio ukawa mwisho wa mimi kuishi kwa mzee....kwani baada ya tukio nilitoroka home.....

hahahaha ulimfdanya vizur sana ungemaliza yote mdomon mkuu
 
Mama wa kambo ni wa kumlewesha viroba na kumshindilia ukuni ndo anakuwa na adabu
 
Kiukweli mie namshukuru Mungu nimeishi na mama wa kambo kuanzia darasa la kwanza mpaka namaliza shule hajawahi nitesa

Hongera sana, u 1/100,000 ... labda nikuulize, Baba je? Ulikua upo naye sawa??!!Sidhani ... wengi kama hatatekeleza ukatili yeye mwenyewe then ujue atamtumia ''Baba'' mwanzo mwisho, in short ''mama wa kambo'' wengi ni wajanja na anaweza asikuguse hata siku moja but you will never be favoured or appreciated, huta tetewa kwa uonevu ama kosa lolote utakalofanya, hutasifiwa maisha yako yote na zawadi utaziona sikukuu tu...mostly, you will never treated the same.

Mayai na matunda utaambiwa ni ya Baba ama 'wadogo zako' na shule lazima uende St.Kayumba, CBE ama VETA (kwa zamani) full stop. Kama ni msichana then ndo utakuwa msaidizi wa 'Dada wa Kazi' na kama ni mvulana kama mimi then kuchota maji, kuzibua mifereji ikiziba na kupiga pasi hadi sox na mapazia kutakuhusu.

(Am talking through experience)
 
Dawa ya mama wa kambo ni kusoma kwa bidii kama upo primary soma kwa bidii, kama upo sekondari au chuo kaza buti sana, mimi naye ni muhanga wa mama wa kambo ila Mungu ni mkubwa nilisoma kwa uchungu na bidii kubwa kwa ku-recall mateso aliyopata mama yangu toka kwa mzee na baada ya kutengana maisha aliyoishi mama yangu, kwa hiyo dawa pekee ya kuwamaliza hawa ni kusoma tu kwa bidii kubwa.

Well said Mkuu ... watakutabiria na kukuombea mabaya but shule huwa haimtupi mtu hata kama ni baada ya miaka 30, utatoka tu!
 
Bosco Saronga Makoi

Nilimuondoa meno matatu ya mbele kwa kutumia mtwangio baada ya kunichongea kwa mzee hadi akanipa kipigo cha mbwa mwizi kwa kosa ambalo alilifanya mwanae aliyekuja nae na kunisingizia mimi....kipigo ambacho kilipelekea nikateguka mkono wangu wa kulia...na huo ndio ukawa mwisho wa mimi kuishi kwa mzee....kwani baada ya tukio nilitoroka home.

Safi sana Mkuu! Hiyo imekaa poa sana!
 
Last edited by a moderator:
Hila kuna mama wa kambo wa jamaa angu dah! yani uwezi kugundua kama ni mama ake wa kambo anavyomlea Afu jamaa Baba ake na jamaa alishafark dah! jamaa akipta tatzo kama kapata yy afu ata mtot wa huyu Mama ajui ki2 kuhs kak ake dah! hyu mama Mungu amkumbuke
 
munisijo kiukweli yule mama ana roho yake kanikuta nasoma primary za st.kayumba ila sekondari kanitafutia shule nzuri sana na alikuwa anahakikisha naenda vizuri shule japo alikuwa anapinga nisipewe hela nyingi na mshua.Mie mshua wangu alikuwa mpole sana na nilikuwa kipenzi chake sasa nilikuwa nikienda shule anachukua either sabuni za kuogea au dawa ya mswaki ananiwekea hela maana yeye ndio alikuwa ananifanyia shopping utasikia ananisisitizia kuwa hakikisha hiyo dawa unaitunza watu wanadhani mshua mbahili kumbe kuna pesa ndani yake
 
Haa haaa...I love the dad.

Ila mimi nafikiri cha msingi ni baba mwenyewe aweke msimamo wake, mara nyingi mama wengi wa kambo wanafanikiwa 'ubaya' wao kwa kuwa baba hana muda na watoto. Na kila 'hadithi' anayoletewa na huyo mama ana-react bila ya kuifanyia kazi.
 
Bosco Saronga Makoi

Nilimuondoa meno matatu ya mbele kwa kutumia mtwangio baada ya kunichongea kwa mzee hadi akanipa kipigo cha mbwa mwizi kwa kosa ambalo alilifanya mwanae aliyekuja nae na kunisingizia mimi....kipigo ambacho kilipelekea nikateguka mkono wangu wa kulia...na huo ndio ukawa mwisho wa mimi kuishi kwa mzee....kwani baada ya tukio nilitoroka home.

Hakika alipata mavuno mazuri sana pum.b.afffff zake,mama wa kambo sio mama
 
Back
Top Bottom