Kwanini Makonda hakumuita Askofu Pengo?

Acha Blaa blaa Pengo na Gwajima,kakobe,Mzee wa Bapa,nk nk wote wako sawa tu!wote ni Maaskofu,kama gwajima ameitwa kuhojiwa kwa kutuhumiwa basi hata pengo ikithibitika nae anapaswa kuhojiwa! No one is above the Law,double standard haitakiwi
 
Mkuu hapo mstari wa 3 Askofu amekatazwa kunywa pombe? Jibu hilo tu kwa faida yangu bila kuongeza chochote ...
Mkuu sina jibu zaidi ya kilichoandikwa, huamini tafta biblia isome taratibu mkuu MTAZAMO

Kwa nyongeza tu, soma Tito 1 utakuta maneno mazuri zaidi

Kwa nini hakumuita sheikh mkuu wa Dar es Salaam ai Mufti Mkuu?
Pengo na dawa za kulevya sio Leo, hayo yalisemwa toka 2012 hata huyo Makonda alikuwa hana wazo na wala hajui kama atakuwa mkuu wa mkoa, na ktk orodha ya kwanza ilisikika kuwa madawa ya kulevya na wakuu wa dini wamo, naye Pengo alihisi tetesi za jina lake kuwemo ktk orodha tizama attachment ya mtoa mada sio unakurupuka. Kama ktk orodha hiyo kungekua na tetesi ya jina la shekhe bila shaka waislam wangekuwa wakwanza kumshughulikia bila kun'goja kuitwa na Makonda, TAKBIR INGEPIGWA vijana wakafunga kazi KATIKA UISLAM HAKUNA CHAKA LA KUJIFICHA MUOVU WALA KUTETEA MAOVU kama kwenu, nadhani kama una afya nzuri ya akili utakumbuka jinsi rais mmoja mstaafu alivyo shughulikiwa na kijana pale kareem jee.
 
Acha Blaa blaa Pengo na Gwajima,kakobe,Mzee wa Bapa,nk nk wote wako sawa tu!wote ni Maaskofu,kama gwajima ameitwa kuhojiwa kwa kutuhumiwa basi hata pengo ikithibitika nae anapaswa kuhojiwa! No one is above the Law,double standard haitakiwi
Unafikiri Pengo ni rahisi rahisi tu kumpelekesha kama hao uliowataja!!
 
Heli mm sjasema
 
Kama hawo MAKADINALI wangekua na ukuu huo kama ilivyo ndoto yako hapo, bila shaka zisingekuwepo KASHFA kwao za KULAWITI vijana wadogo wa kiume mpaka leo KANISA linagharamika kuwaomba radhi wote walioathiriwa.
 
Mkuu @Interestedobserver kama umesoma basi ulienda shule kukariri,maana kama sivyo utakuwa unafahamu hizi scandal za vatican na drugs kwa enzi zile na sio eti habari za kwenye novel,ukisearch utaona vyanzo vya media halali kabisa kama guardian,daily mail,
 
MFUMO KRISTO
Catholic Church controls the government...
Gwajima mwenyewe anajua yaliyo mpata baada ya kejeli zake za mandondo ya wapi!
 
Acha Blaa blaa Pengo na Gwajima,kakobe,Mzee wa Bapa,nk nk wote wako sawa tu!wote ni Maaskofu,kama gwajima ameitwa kuhojiwa kwa kutuhumiwa basi hata pengo ikithibitika nae anapaswa kuhojiwa! No one is above the Law,double standard haitakiwi
Muulize huyo Gwajima kilichomkuta aliporopoka kumuhusu Pengo
 
Naweza tu kukupa hongera kwa kuongeza idadi ya post zako mkuu ila mengine nimemezea!!
 
Why ridhiwani hakuitwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…