Kwanini Makamu wa Rais hasemi "Bwana Asifiwe"?

Kwanini Makamu wa Rais hasemi "Bwana Asifiwe"?

Kwa maoni yangu
Yuko sahihi kabisa.
Katika hilo sio mnafiki.Wengi mnadanganywa kuwa tofauti ni lugha tu. Ukweli hakuchaguliwa kwa sababu ya lmani yake!

Anajua mungu Alleiker ) ni tofauti na Mungu wa utatu. Kwa hiyo yeyote anayefanya kinyume na lmani yake ,pasipo kujali cheo na nafasi yaje ni Unafiki tu; japo ni haki yake;! .Zipo salam nyingi tu za kutumia kuzungumza kwa watu wote pasipo kutumia hizi
za rohoni.
Tatizo ya watanzania na hasa viobgozi wetu hutumia dini kama kichaka cha kutafutia uungwaji mkono kwa njia ya salam I'l kuwa watakatifi uonekane mwenzao .
Madhara yake ndiyo haya tunayoyaona Leo.
 
Tafuta hotuba za hayati Mzee Mkapa, utagundua na yeye akishasema Assalam aleykum alikuwa hasema Bwana Yesu asifiwe wala tumsifu Yesu Kristo

..umeleta mfano mzuri sana.

..kwamba Mkapa alikuwa akitumia salamu ya Waislamu.

..kwa msingi huo, Mama Samia Suluhu naye anatakiwa atumie salamu ya Wakristo.

NB:

..binafsi nawaunga mkono Tundu Lissu, na Palamagamba Kabudi, na wengine, ambao hawana mazoea ya kusalimia "bwana yesu asifiwe" au "asaramareko."
 
Sasa kama imani ni tofaut alafu ukataka kujifanya huzitofautishi c ni unafiq?
Ni afadhali usisalimie kwa itikadi yoyote ya dinii, ilikutoa viulizo kama hivyo. Ila ukiwa kiongozi wa uma we we ni wawatanzania wote, hivyo jifunze tamaduni zao za heshima za kusaliimiana.
 
..umeleta mfano mzuri sana.

..kwamba Mkapa alikuwa akitumia salamu ya Waislamu.

..kwa msingi huo, Mama Samia Suluhu naye anatakiwa atumie salamu ya Wakristo.

NB:

..binafsi nawaunga mkono Tundu Lissu, na Palamagamba Kabudi, na wengine, ambao hawana mazoea ya kusalimia "bwana yesu asifiwe" au "asaramareko."
UNAJUA KWA NINI JINA LA YESU LINAOGOPWA??
 
Kwani "Asalaam Aleykum" ni salamu ya kiislamu?

..ni salamu ya Waislamu.

..utaratibu mzuri ni kuachana na salamu zinazotumiwa na madhehebu ya dini.

..salamu za Kidini ni utaratibu ulionza awamu ya 4 na umeshika kasi na kuota mizizi ktk awamu ya 5.
 
Ila kwa watu Zanzibar salamu iyo ya Asalam Aleykum Warahmatullah Wabarakatu ndio jadi yao usishangae
 
..Ndio.

..kwasababu ktk baraza la mawaziri kuna Wakristo 20 na Waislamu 3.
Sio sababu. Hujui sifa ya jina la YESU. Hili jina lipitalo majina yote nikiboko ya kila aina ya dhambi kwakuwa nitakatifu. Hivyo halitajwi hovyohovyo.
 
..ni salamu ya Waislamu.

..utaratibu mzuri ni kuachana na salamu zinazotumiwa na madhehebu ya dini.

..salamu za Kidini ni utaratibu ulionza awamu ya 4 na umeshika kasi na kuota mizizi ktk awamu ya 5.
Huna lolote wewe mpayukaji. Assalam al eykum ni neno la kiarabu likiwa na maana amani iwe nanyi. Huna lolote mganga njaa.
 
Hakuna sheria inayomlazimisha asalimie kwa namna gani. By the way, does it matter kwenye ulimwengu wa siasa?
Kusalimiana ni sehemu ya utamaduni wetu. Lakini kwa vile udini umetutawala basi maneno yoyote ya kiarabu tunayaona ya kiislamu. Mtu akisema "inshallah " tunamuona mdini lakini akisema " thank God" tunaona ni kawaida tu.

Amandla...
 
Kwanini atusalimu kiarabu! Yeye mwarabu, au sisi tunaosalimiwa ni waarabu?!
Mbona watu wanasalimiwa kwa kisukuma, kwa kihaa, kimakonde n.k. na hatuoni tatizo? Waarabu ni sehemu ya jamii yetu kama walivyo wasukuma, waha na wamakonde. Usiopopendezwa na hizo salamu usijibu.

Amandla....
 
..Wewee!!

..Tema mate chini!!

..Hivi akitokea Kiongozi Mchagga halafu akawa anasalimia "shimbonyi" kila mkutano wa kiserikali unadhani patakuwa salama?
 
Inajenga picha kwamba sio mnafiq.

Huyo mama kwanza sio muongo muongo maana kama mnakumbuka alivyosema kipindi kile cha kampeni kwamba hata mkimpgia kura mgombea mwingine lakini wa CCM ndio atakayeshinda. Kwani aliongopa?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Abuu umetisha.
 
Back
Top Bottom