Sasa mtu haziamini unatakaje? Unaelewa maana ya assalaam aleykum?Wakuu, heshima kwenu!
Ukifuatilia hafla nyingi za awamu hii ya 5, viongozi wamejijengea tabia ya kuanza hotuba zao kwa kutoa salamu kuu za kidini kama "Asalaam Aleiykum", " Tumsifu Yesu Kristo", "Bwana Yesu Asifiwe" nk
Imekuwa hivi sana kwa Mh. Rais Magufuli, Waziri Mkuu na pia kwa mawaziri na viongozi wengi wa juu.
Lakini hali ni tofauti kwa Makamu wa Rais, mama Samia. Ukifuatilia ufunguzi wa hotuba zake, huishia tu kusema "Asalaam Aleykum". Hasemi zile salamu nyingine za Wakristo.
Hii inajenga picha gani, wakuu?
"HANA" ingependeza zaidiHuyu ana akili.
Huu Upupu Mtupu hakuna la maana apoWakuu, heshima kwenu!
Ukifuatilia hafla nyingi za awamu hii ya 5, viongozi wamejijengea tabia ya kuanza hotuba zao kwa kutoa salamu kuu za kidini kama "Asalaam Aleiykum", " Tumsifu Yesu Kristo", "Bwana Yesu Asifiwe" nk
Imekuwa hivi sana kwa Mh. Rais Magufuli, Waziri Mkuu na pia kwa mawaziri na viongozi wengi wa juu.
Lakini hali ni tofauti kwa Makamu wa Rais, mama Samia. Ukifuatilia ufunguzi wa hotuba zake, huishia tu kusema "Asalaam Aleykum". Hasemi zile salamu nyingine za Wakristo.
Hii inajenga picha gani, wakuu?
Nadhani kila mwenye akili anaamini kuwa binadamu anayetumwa na Mwenyezi Mungu kuleta ujumbe kwa wanadamu anaitwa Mtume, kwa mujibu wa biblia Yesu anasema alitumwa na Mungu, sasa wewe unapinga umekuwa nani? Tulizana.Wakristo hawana mtume anayeitwa Yesu. Acha kulazimisha vitu
Tuondoe maamkizi ya kidini kwenye shughuli za serikaliSasa kama hataki kusema salamu za wengine hata ya dini yake akaushie tu Serikali haina dini
Unataka aseme hizo salamu kwa faida gani?Wakuu, heshima kwenu!
Ukifuatilia hafla nyingi za awamu hii ya 5, viongozi wamejijengea tabia ya kuanza hotuba zao kwa kutoa salamu kuu za kidini kama "Asalaam Aleiykum", " Tumsifu Yesu Kristo", "Bwana Yesu Asifiwe" nk
Imekuwa hivi sana kwa Mh. Rais Magufuli, Waziri Mkuu na pia kwa mawaziri na viongozi wengi wa juu.
Lakini hali ni tofauti kwa Makamu wa Rais, mama Samia. Ukifuatilia ufunguzi wa hotuba zake, huishia tu kusema "Asalaam Aleykum". Hasemi zile salamu nyingine za Wakristo.
Hii inajenga picha gani, wakuu?
Anaitumia kwakuwa Mama Mary majaliwa anasali kanisani kwahiyo naona ni sawa tuWaziri Mkuu
Uko sahihi kabisa. Na maelezo zaidi yako kwenye article hii: Rules of Greeting non-Muslims in Islam (Saying Salaam/Replying Salaam) | Virtual MosqueAna ijua imani yake. Hata wewe Mkristo unae sema Asalaam aleikum una kosea maana sio imani yako
Hiyo Biblia unayoinukuu kwa kusema "kwa mujibu wa biblia" inasema Yesu nani?Nadhani kila mwenye akili anaamini kuwa binadamu anayetumwa na Mwenyezi Mungu kuleta ujumbe kwa wanadamu anaitwa Mtume, kwa mujibu wa biblia Yesu anasema alitumwa na Mungu, sasa wewe unapinga umekuwa nani? Tulizana.
Tatizo umebebewa dini....Hiyo Biblia unayoinukuu kwa kusema "kwa mujibu wa biblia" inasema Yesu nani?
Hiyo Biblia unayoirefer hapo ina mahali popote inaposema Yesu ni mtume?
Hiyo Biblia unayoisema hapo (ambayo wewe binafsi huiamini) imezungumza sana na imesema sana kuwa Yesu ni nani, Tena imesema kwa uwazi kabisa.
Sasa tulizana mzee, huyo Yesu wa kwenye Biblia achana naye wala asikupe tabu, wewe komaa na mtume Issa wa kwenye Quran, huyo ndio mtume wenu kwa mujibu wa kitabu chenu... Usilazimishe mambo.
Na nikusaidie kitu kingine... unasema "kila anayetumwa na Mwenyezi Mungu kuleta ujumbe anaitwa Mtume"... hiyo ni kwa mujibu wa kitabu gani?Nadhani kila mwenye akili anaamini kuwa binadamu anayetumwa na Mwenyezi Mungu kuleta ujumbe kwa wanadamu anaitwa Mtume, kwa mujibu wa biblia Yesu anasema alitumwa na Mungu, sasa wewe unapinga umekuwa nani? Tulizana.
USILAZIMISHE MAMBO AISEETatizo umebebewa dini....
YOHANA MT. 7
16 Hapo Yesu akawajibu, “Mafundisho ninayofundisha si yangu, bali ni yake yeye aliyenituma. 17 Mtu anayependa kufanya yale anayotaka Mungu, atajua kama mafundisho yangu yametoka kwa Mungu, au mimi najisemea tu mwenyewe. 18 Yeye anayejisemea tu mwenyewe anatafuta sifa yake mwenyewe; lakini anayetafuta sifa ya yule aliyemtuma, huyo ni mwaminifu, na ndani yake hamna uovu wowote.