Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,737
- 76,366
Ukiambiwa utoe ushahidi unaweza kuthibitisha, au ndio habari za kusikia!?Ana akili wakati ni blender????!!!

Haya mambo ya Dini ukiwaza sana unaweza ukajikuta unapotea zaidi, hayahitaji complications sana ki hivyo.Wakuu, heshima kwenu!
Ukifuatilia hafla nyingi za awamu hii ya 5, viongozi wamejijengea tabia ya kuanza hotuba zao kwa kutoa salamu kuu za kidini kama "Asalaam Aleiykum", " Tumsifu Yesu Kristo", "Bwana Yesu Asifiwe" nk
Imekuwa hivi sana kwa Mh. Rais Magufuli, Waziri Mkuu na pia kwa mawaziri na viongozi wengi wa juu.
Lakini hali ni tofauti kwa Makamu wa Rais, mama Samia. Ukifuatilia ufunguzi wa hotuba zake, huishia tu kusema "Asalaam Aleykum". Hasemi zile salamu nyingine za Wakristo.
Hii inajenga picha gani, wakuu?
Soma ulichokiandika hapo mwanzoni ndo utaelewa nilichokujibu. Umeonekana kuwadhalau wanao salimia kwa itikadi ya imani zote, ila wanaosalimia kwa itikadi ya imani moja unawaunga mkono.Hata ulichouliza mimi sikielewi maana umejaza mihemko yako. Wapi nilipowadharau wakristo?
Kwa nini anatumia lugha ya kiarabu kwa watu wanaotumia lugha ya kiswahili na lugha zao nyingine za asili?
hii ni lugha ya kiarabuAsalaam Aleiykum
NITATOA NA KUTHIBITISHA NILISHUHUDIA NA MACHO YANGU allah na mtume shahidUkiambiwa utoe ushahidi unaweza kuthibitisha, au ndio habari za kusikia!?
Acha upotoshaji. Mama yetu hataki unafiki.Si M'BAGUZI tu, bali ni M'DINI pia!
Anaona akitoa hizo salamu ambazo wengi wa kutoka Dini yake, wanaona ni salamu zetu sisi watuitao MAKAFIRI, atakuwa AMETUINUA JUUUUU!
Ubaguzi unamsumbua tu hakuna kingine.Japo pia hajavunja sheria yoyote ya nchi.Wakuu, heshima kwenu!
Ukifuatilia hafla nyingi za awamu hii ya 5, viongozi wamejijengea tabia ya kuanza hotuba zao kwa kutoa salamu kuu za kidini kama "Asalaam Aleiykum", " Tumsifu Yesu Kristo", "Bwana Yesu Asifiwe" nk
Imekuwa hivi sana kwa Mh. Rais Magufuli, Waziri Mkuu na pia kwa mawaziri na viongozi wengi wa juu.
Lakini hali ni tofauti kwa Makamu wa Rais, mama Samia. Ukifuatilia ufunguzi wa hotuba zake, huishia tu kusema "Asalaam Aleykum". Hasemi zile salamu nyingine za Wakristo.
Hii inajenga picha gani, wakuu?
Huyo sio mnafiki kama wengine.Wakuu, heshima kwenu!
Ukifuatilia hafla nyingi za awamu hii ya 5, viongozi wamejijengea tabia ya kuanza hotuba zao kwa kutoa salamu kuu za kidini kama "Asalaam Aleiykum", " Tumsifu Yesu Kristo", "Bwana Yesu Asifiwe" nk
Imekuwa hivi sana kwa Mh. Rais Magufuli, Waziri Mkuu na pia kwa mawaziri na viongozi wengi wa juu.
Lakini hali ni tofauti kwa Makamu wa Rais, mama Samia. Ukifuatilia ufunguzi wa hotuba zake, huishia tu kusema "Asalaam Aleykum". Hasemi zile salamu nyingine za Wakristo.
Hii inajenga picha gani, wakuu?
Soma ulichokiandika hapo mwanzoni ndo utaelewa nilichokujibu. Umeonekana kuwadhalau wanao salimia kwa itikadi ya imani zote, ila wanaosalimia kwa itikadi ya imani moja unawaunga mkono.
Yuko sahihi. Kwa vile serikali haina dini haipaswi kuingiza mambo yoyote yenye viashiria ya kidini kama " Tumsifu Yesu Kristu". Asalaam Aleykhum ni salaam ya kiarabu inayomaanisha " amani iwe nawe" na haina uhusiano na dini ya kiislamu.Wakuu, heshima kwenu!
Ukifuatilia hafla nyingi za awamu hii ya 5, viongozi wamejijengea tabia ya kuanza hotuba zao kwa kutoa salamu kuu za kidini kama "Asalaam Aleiykum", " Tumsifu Yesu Kristo", "Bwana Yesu Asifiwe" nk
Imekuwa hivi sana kwa Mh. Rais Magufuli, Waziri Mkuu na pia kwa mawaziri na viongozi wengi wa juu.
Lakini hali ni tofauti kwa Makamu wa Rais, mama Samia. Ukifuatilia ufunguzi wa hotuba zake, huishia tu kusema "Asalaam Aleykum". Hasemi zile salamu nyingine za Wakristo.
Hii inajenga picha gani, wakuu?
Wakuu, heshima kwenu!

Yuko sahihi. Kwa vile serikali haina dini haipaswi kuingiza mambo yoyote yenye viashiria ya kidini kama " Tumsifu Yesu Kristu". Asalaam Aleykhum ni salaam ya kiarabu inayomaanisha " amani iwe nawe" na haina uhusiano na dini ya kiislamu.
Amandla...
Tuna dini za imani nyingi sana ikiwepo wapagani, ukiamua kutoa salam kwa kuzingatia dini au imani flani, fanya hivyo kwa imani zote kitu ambacho hakiwezekani.
Ingekua amri yangu salam za dini au zenye kuashiria imani flani zisingekuwepo kabisa kwenye hafla za kiserikali, hasa kama tukio halina maudhui ya kiimani.
Hata hivyo hakuapa kulinda salam za kiimani.
Hivi unaelewa maana ya neno asalaam aleykum?Tuna dini za imani nyingi sana ikiwepo wapagani, ukiamua kutoa salam kwa kuzingatia dini au imani flani, fanya hivyo kwa imani zote kitu ambacho hakiwezekani.
Ingekua amri yangu salam za dini au zenye kuashiria imani flani zisingekuwepo kabisa kwenye hafla za kiserikali, hasa kama tukio halina maudhui ya kiimani.
Hata hivyo hakuapa kulinda salam za kiimani.
Wakristo hawana mtume anayeitwa Yesu. Acha kulazimisha vituA'salaam Alaykum, ni salamu RASMI ya kiislamu iliyofundishwa na Mwenyezi Mungu kupitia kwa Mtume wake Muhammad.... Kikristo salamu RASMI aliyofundisha Mtume wao Yesu ni Amani iwe kwenu/nanyi (japo kwa lugha aliyokuwa akizungumza yeye, kiebrania au kiyahudi)
Hizi nyingine za bwana yesu asifiwe au tumsifu yesu kristo zinawezaje kuitwa kuwa ni salamu kuwasalimia watu? Zimefundishwa na Mtume yupi salamu hizo? Seriously Hivi ukiambiwa msifie fulani inawezaje kuwa hiyo ni salamu kwa watu? Kuwa na akili ni jambo moja ila kutumia akili ni jambo jingine.
Hiyo bwana asifiwe ya kwenye siasa ni sawa na kusema Mungu oyeee!Wakuu, heshima kwenu!